Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

Kuepuka lawama situmii tena WhatsApp

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Hamna kitu kinanikera kama

“nakuona online”,
“[emoji848] blue tick no reply”,
“mzee baba unasoma meseji zangu hujibu”

Ninaudhika sana hivyo nimeamua sitaki tena whatsapp tuma meseji ya kawaida kama ina umuhimu nitajibu kama haina hutakuwa na uhakika hata kama nimeona
 
Polee sana Mkuu,ukiona hivyo unajiongeza tu,kwamba huyoo mtu hataki umtumie msg ndio maana anakukazia na wewe unakausha!

Kwahiyo mtu mmoja anakufanya uache kutumia WhatsApp?
 
Weka sasa namba yako ya simu tutume hizo meseji za kawaida..
 
Weka sasa namba yako ya simu tutume hizo meseji za kawaida..
 
Simu yako mwenyewe,line yako,bando lako iweje ujikalifishe nafsi,kwani lazima kumjibu,mi nikiamua sikujibu text wala calls na huniambii chochote na tukikutana mtaani nakuwekea tinted vilevile,hata kama unanidai,ukitaka nikujibu nininulie simu na uniwekee kifurushi,lakini sio unletee utawala wako kwenye mali yangu.
 
Asipokujibu si unaachana nae tu ndio hivyo vitu vikuumize kichwa
 
Back
Top Bottom