Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

Nilivyoona huu uzi nimekumbuka wimbo wa vijana wa WCB(WASAFI) unaitwa ZILIPENDWA.

Mleta uzi nakushauri kausikilize ni wimbo mzuri sana tena pale msanii LAVA LAVA anaimba mistari yake na mashairi yenye majibu wa huu UZI wako.
 
Sawa.... ila ukweli ni kwamba Lisu akipata kura nyingi hata Magu akishinda things wont be the same... Kuna baadhi ya mambo yatabadilika


Siyo kweli kwamba atabadilika, wahenga wanasema: aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Isitoshe ni mtu mwenye kiburi sana, mjuaji na inaonekana huwa hashauriki.
 
Very true!... Makampuni yameuliwa ovyo ovyo kabisa!.. .


For those which are still operating,, they are in horrible condition, kicking their last kicks.

Magu sijui ana roho ya aina gani!!! --- Ukiangalia wote wanaomshabikia ni wale ama wanayo maslahi binafsi kwake au hawajui chochote kinachoendelea katika nchi hii,, wapowapo tu.
 
Pole mkuu kwa msongo wa mawazo. Kipindi JK anamaliza muda wake, ni wewe na hao akina MECCO mliungana kumtukana matusi mazito na mlisema kabisa JK hafai kabisa kuwa kiongozi, na hakuna aliyenyambulisha umuhimu wa sekta binafsi kama ulivyofanya.


Ili kurejesha heshima yake JK akampendekeza mtu mbaya ili aje afanye mabaya aje akumbukwe kwamba ni bora yeye kuliko huyu bwana, kweli JK amechanga karata zake vyema ingawa huyu bwana mara nyingine huwa anashambuliaa uongozi wa JK kwa mafumbo.
 
Shida ni kwamba hata uki appeal bado unatakiwa ulipe aslimia fulani kubwa tu wakati ukisubiria majibu ya rufaa yako.
Kwa hili wateja wakiwamo wamiliki wa baishara au viongozi wa makampuni tunatakiwa kujua nini kinatakiwa na wapi tunakosea, na TRA wanatakiwa kutoa elimu na msaada kwa wateja ili kujenga kwa wateja
 
Mara nyingi Tra wanakulainisha tu kwa Kodi kubwa ili rushwa itoke kirahisi

Nadhani ifike mahala hata kama wamiliki na viongozi wa makampuni wanatumia wafanyakazi au washauri wao kwenye kuwasilisha taarifa TRA na wao pia wawe na zile ABC za kodi na wanachohitaji TRA.
Mara nyingi haya matatizo yanaanzia kwenye ucheleweshaji wa taarifa na makosa yanayopatikana na maofisa kwenye taarifa zilizowakilishwa.
 
wewe tangu lini ccm wakataka maendeleo yako..wanataka uendelee kua fukara, mjinga, na struggling person ili waendelee kuku exploit ..wanataka wakukute kwenye duka lako au kibanda wakulipishe tozo kibao wakisikia una kampuni ndio kabisaa
 
Kwa kusoma tu tatizo ni accountant wako. Clearly lazima kuwe na utaratibu wa kuandaa accounts za trading period, ukiwa nayo tayari pamoja na receipts zako za trade payables, trade receivables na sales receipts; TRA awawezi kukukadiria kodi wala VAT utalipa kilicho halali na si ajabu ukawadai VAT.

Sheria za kodi ni complicated kama ujasomea accounts uwezi kujua mambo ya allowed and disallowed incomes before taxation na TRA wanaweza kukuchomokea lolote, hizi ndio sababu unakuta makampuni makubwa yanalipa kodi ndogo kwa sababu accountants wao wanazielewa sheria zetu which for the most part are copy and paste from UK with little twinkling.

If you ask me tatizo lilipo kuna biashara nyingi hazina sababu ya kuajiri accountants for full time bases kutokana na size yake, but there is a gap in the market to provide one off services. Hakuna accounting firms Tanzania za kuwafanyia kazi wafanyabiashara wadogo wadogo for 1 time fees in quarterly basis na ndio hapo TRA wakija wanawatangwa tu pengine huna records za ku backup your period of account trading.

Lakini michezo hiyo uwezi kusikia wanafanyiwa makampuni makubwa wenye accountants wao, if anything huko wanalipa kodi ndogo kwa sheria hizo hizo mnazolalamikia.
 
Kupiga chini ccm na mifumo yake yote
 
Ushauri mzuri wa kutosha kwa wale wanaoilaumu TRA
Umeweka vitu clear sana Kilatha nadhani watakuelewa.
 
Tena ni useless vibaya sana.... Bashiru na Pole Pole sikujua kama ni hopeless namna hii
 
Kwa uchumi, rating kwa Magufuli, between 0-10 nampa 2! Ajira zote zilizouawa kwa kuua kampuni hizo binafsi pia zimepunguza mapato ya page kwa serikali. Kufidia ni TRA kubandika kodi kwa wafanya biashara wachache waliopo.
 
Utawala huu hakuna janja janja,mpe tu lissu kura yako atakufufulia Richmond,hakuna tatizo
Ukimaliza muhula wake ndio utajua. Hakuna upigaji dili uliowahi tokea kama wa awamu hii. Mipango ya dili zake haionekani kwa sababu ya sheria kali za kudhibiti vyombo vya habari.
 
Magufuli anachojua ni kutumia vyombo vya dola kutisha wawekezaji ambao anaona hawapo katika mrengo wake .
Alimtisha Manji akaondoa huduma zake za Kibiashara.
Zakaria wa Tarime na mke wake wote wapo ndani.
Alipoingia akamtisha Bakheresa akalipa kodi bilioni 1...mzee akakubali tu alipe wakati hadaiwi kodi.
Akamtishia Diallo rafiki yake Lowasa akamfungia kituo chake cha utangazaji cha Sahara media.
Akampiga mkwara Mo Dewji ,akamteka kijana wa watu akatoa mkopo wa mabilioni watu walipe korosho.
Bado haitoshi aka dili na Mzee Shamte hadi mzee wa watu akaaga dunia akiwa jela.
Orodha ni ndefu ila huyu mrundi hafai hata kidogo.
 

Najaribu kufikiri hivi Magufuli atakapokuwa OUT kuanzia tarehe 29/10/2020, ni siri ngapi za ubaya na uovu wake zitakuwa revealed?

For sure kabisa, hata walioua watu, kuteka watu na kuwapoteza na hata waliompiga risasi 16 Tundu Lissu tutakuwa very shocked watakapojulikana.!!

Hili linamtisha sana Magufuli na watu wake. Hawataki kabisa kuliona linatokea. Wako tayari kumwaga damu kubaki hapo walipo!!

But, the question is;

Can someone fight with his/her own destiny?

Hapa ndipo ulipo ukomo wa UJINGA wa mwanadamu. Huwezi kupambana na nature ama mambo ya asili hata kidogo!!!
 
Kuna mwanga kidogo kwa Mgombea wa CDM amejipanga sio boya.
System haiwez linda mtu mmoja kwa maslahi yake binafsi.
Magufuli naona mwisho wake kama wa Ghadaf,kama wa Bashiri .
Let's fight.
 

In 2014, I was briefly in one of neighouring countries, I held a discussion with one Prof. and he had more less similar views about his country as it was about my country then.

You are complaining while setuation obtained on the ground is so defferent today. I was previllaged to meet a big man then 2014 in Davos i said the following to him though he was uncharactaristicaly so disturbed.

I said to him "I have said this repeatedly and my friends have not been happy with it.
Generally speaking, if you are rich in this country Tanzania you are a thief. It is such that you can not make genuine money from the business. You can not be a billionaire in this country unless you have stolen from the public. The nature of business in this country, the amount of interest charged on loans in this country, The procurement and tendering procedures in this country, are such that anybody really who has made money one will have to make it from the government and two he would not have done genuine business.

We are been ruled by a class of people who are basically thieves.
We are hoping that one day Tanzanians will get a leadership that is truly a leadership of people who work for the people.

There is no single government project in this country that is people-centred. Every project we go into does not have people anywhere in the configuration.

Our parliament is full of people who should not be there and we have no mechanism of stopping .

We are talking about for example of education.
It's good to demand that people be educated because education is like religion that brings out the best in men in terms of value and in terms of attitude.

But look at most of the degrees we have today in this country, a good number of them really are not even worth the paper on which they are written. They are the most corrupt, even as we demand people should be educated.

I am wondering what would be easier for you Mr. President, be somebody of integrity ? or somebody to have a degree?

If the system lets through Conmen and thrives free, why demand a paper from somebody?.

This is what i asked him then, but today I am a happy man, Tanzania have a government of the people for the people".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…