Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.... ila ukweli ni kwamba Lisu akipata kura nyingi hata Magu akishinda things wont be the same... Kuna baadhi ya mambo yatabadilika
Very true!... Makampuni yameuliwa ovyo ovyo kabisa!.. .
Pole mkuu kwa msongo wa mawazo. Kipindi JK anamaliza muda wake, ni wewe na hao akina MECCO mliungana kumtukana matusi mazito na mlisema kabisa JK hafai kabisa kuwa kiongozi, na hakuna aliyenyambulisha umuhimu wa sekta binafsi kama ulivyofanya.
VOTE HIM OUT!.
Kwa hili wateja wakiwamo wamiliki wa baishara au viongozi wa makampuni tunatakiwa kujua nini kinatakiwa na wapi tunakosea, na TRA wanatakiwa kutoa elimu na msaada kwa wateja ili kujenga kwa watejaShida ni kwamba hata uki appeal bado unatakiwa ulipe aslimia fulani kubwa tu wakati ukisubiria majibu ya rufaa yako.
Mara nyingi Tra wanakulainisha tu kwa Kodi kubwa ili rushwa itoke kirahisi
Kwa kusoma tu tatizo ni accountant wako. Clearly lazima kuwe na utaratibu wa kuandaa accounts za trading period, ukiwa nayo tayari pamoja na receipts zako za trade payables, trade receivables na sales receipts; TRA awawezi kukukadiria kodi wala VAT utalipa kilicho halali na si ajabu ukawadai VAT.Nadhani ifike mahala hata kama wamiliki na viongozi wa makampuni wanatumia wafanyakazi au washauri wao kwenye kuwasilisha taarifa TRA na wao pia wawe na zile ABC za kodi na wanachohitaji TRA.
Mara nyingi haya matatizo yanaanzia kwenye ucheleweshaji wa taarifa na makosa yanayopatikana na maofisa kwenye taarifa zilizowakilishwa.
Kupiga chini ccm na mifumo yake yoteSi kweli na hili huwezi kuthibitisha. Tunaweza kusema ya kuwa serikali inafanya uonezi kwa makampuni binafsi hasa hasa madogo ila kuna makampuni haiwezi kuyaondoa sababu nchi haina mpango huo na haiwezi kufanya baadhi ya kazi.
Ngoja nikupe mfano, serikali yenyewe inadai imekuja kubaini ya kuwa kwenye hii miradi kuna upigaji mkubwa sana. Sasa kama ni kweli,hapa kunaonyesha udhaifu mkubwa wa serikali yenyeww kupitia watendaji wake. Mkandarasi au mtu binafsi huwa hapigi deal mwenyewe bali anapiga deal na serikali husika. Kwahiyo serikali ilitakiwa kwanza iwaajiri watu ambao hawana tamaa na kuweka mfumo mzuri juu ya hilo.
Kinachokuja kutokea ni miradi mingi inayofanywa na serikali yenyewe ina kuja kuwa na ubora mdogo sana, na hapa kuna sababu za kumridhisha mtawala na si uhaslisi. Mifano iko mingi katika hili.
Lakini labda nikuulize,ni mfumo gani huo unao ukusudia na ni hatua zipi ?
Ushauri mzuri wa kutosha kwa wale wanaoilaumu TRAKwa kusoma tu tatizo ni accountant wako. Clearly lazima kuwe na utaratibu wa kuandaa accounts za trading period, ukiwa nayo tayari pamoja na receipts zako za trade payables and receivables TRA awawezi kukukadiria kodi wala VAT utalipa kilicho halali na si ajabu ukawadai VAT.
Sheria za kodi ni complicated kama ujasomea accounts uwezi kujua mambo ya allowed and disallowed incomes before taxation na TRA wanaweza kukuchomokea lolote, hizi ndio sababu unakuta makampuni makubwa yanalipa kodi ndogo kwa sababu accountants wao wanazielewa sheria zetu which for the most part are copy and paste from UK with little twinkling.
If you ask me tatizo lilipo kuna biashara nyingi hazina sababu ya kuajiri accountants for full time bases kutokana na size yake, but there is a gap in the market to provide one off services hakuna accounting firms Tanzania za kuwafanyia kazi wafanyabiashara wadogo wadogo on 1 time fees quarterly na ndio hapo TRA wakija wanawatangwa tu pengine huna records za ku backup your period of account trading.
Lakini michezo hiyo uwezi kusikia wanafanyiwa kampuni kubwa wenye accountants wao, if anything huko wanalipa kodi ndogo kwa sheria hizo hizo mnazolalamikia.
Tena ni useless vibaya sana.... Bashiru na Pole Pole sikujua kama ni hopeless namna hiiWell and good
Kama amefagia vitaasisi na vikampuni (vya sekta binafsi) ambavyo vilikuwa haviwajibiki ktk kulipa kodi nk nk
Sasa hebu tujibu swali hili muhimu, kwamba, serikali yake inafanya na imefanya juhudi gani kuandaa mazingira bora kwa ajili ya private sector inayowajibika kustawi?
Iweje awe anaamuru kandarasi za umma/serikali za majenzi, upishi na chochote kile zifanywe na TBA, SUMA JKT, Magereza, JWT ambazo ni taasisi za serikali tena pasipo ushindani?
Si unakumbuka alilipa Jeshi la wananchi (JWT) kazi ya kununua korosho mikoa ya kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kazi ambayo ilipaswa ifanywe na makampuni ya sekta binafsi kwa ushindani? Hakujua madhara ya maamuzi yake haya kiuchumi?
Kiongozi wa nchi (Rais) wa namna hii anakuwa anajua namna kusimamia na kuendesha uchumi kweli?
Let's be honest, Magufuli ndiye problem ktk nchi hii!!
He must go out ama la Mungu akimjalia kuendelea, basi ni lazima abadilike ingalau kwa kuazima akili njema ya kuongoza nchi toka kwa wenye nazo else ataiharibu nchi hii kuliko maelezo!!
Bahati mbaya nyingine kwake ni kuwa hata chama chake CCM kiko mfukoni mwake mwenyewe peke yake.
CCM ya kina Polepole na Bashiru is useless. Haina ubavu wala uwezo wa kumrejesha njiani anapokuwa off line..!
Ni shida juu ya shida..
Kwa uchumi, rating kwa Magufuli, between 0-10 nampa 2! Ajira zote zilizouawa kwa kuua kampuni hizo binafsi pia zimepunguza mapato ya page kwa serikali. Kufidia ni TRA kubandika kodi kwa wafanya biashara wachache waliopo.Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni hayo.... na wale ambao walijiajiri kwa kufungua makampuni kwa sasa wanalia kilio cha kusaga meno, baada ya kuwindup makampuni yao....
Nilikuwa naongea na Mwanasheria moja jana anasema kazi nyingi anazopata kwa sasa ni kuwindup makampuni. Kwa mwezi anawindup makampuni 46-50 na kwa upande mwingine anafungua 2-3 tu. Sasa cheki hiyo ratio mwenyewe uone.. The private sector is tottaly dead!. Na ndio sector ambayo ingechukua vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo. UD inamwaga kila mwaka, UDOM inamwaga kila mwaka, Mzumbe, Tumaini, Muhimbili, TIA na wengine wengi. zaidi ya vyuo 40.... Sasa vijana hao wote hawawezi kuajiriwa sijui na SUMA JKT, TBA,NHC ambao kwa sasa ndio wanafanya kazi zote mpaka za kufagia barabara wakati hizo zilikuwa ni kazi za vikundi vya wanawake na vijana katika mitaa chini ya usimamizi wa Halmashauri.
Jakaya kipindi anatoka aliacha makampuni ya ujenzi ya ndani yalioweza kushindana na Wachina kibao. But look now they are all dead. Kivipi, TRA Kuwabambikizia kesi za madeni, kazi kubwa zote wamechukua makampuni ya nje, kazi za ndani zote za serikali anafanya SUMA JKT, TBA, NHC, mpaka na Magereza. Is simpe local contractors can not survive in that circumstance. Ok!.. Mpaka yale maujenzi ya Halmashauri wameleta mfumo wa Force Account ambao ni ulaji wa watu wa manunuzi bila kujua wanauwa private sekta... Tuliona enzi za Jakaya akipambana kuweka mazingira bora, ndio maana tukaona wazawa wakiflourish kama vile SKOL (now is dead), DELEMONTE (now is dead), MILEMBE (now is dead), MECCO (now id dead), CASPIAN (is almost dead kabaki na kazi za Barrik tu)... the list is endless..
Sasa kwa hali kama hiyo how can You dare to vote for this man again!. No, way unless atuambie kuwa atabadilika na kubadili mfumo wake wa kuuwa makampuni ya ndani. Wahenge wanasema kuuwa uchumi ni suala la siku 2 au tatu ila kuujemga ni miaka 10 t0 20... Hii miaka 5 uchumi umekufa kabisa, mpaka kuja kusimamisha uchumi is not now and haitatokkea kama hatobadilika au kama wananchi tusipoamua kumpa kura Lisu
Ukimaliza muhula wake ndio utajua. Hakuna upigaji dili uliowahi tokea kama wa awamu hii. Mipango ya dili zake haionekani kwa sababu ya sheria kali za kudhibiti vyombo vya habari.Utawala huu hakuna janja janja,mpe tu lissu kura yako atakufufulia Richmond,hakuna tatizo
Magufuli anachojua ni kutumia vyombo vya dola kutisha wawekezaji ambao anaona hawapo katika mrengo wake .Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni hayo.... na wale ambao walijiajiri kwa kufungua makampuni kwa sasa wanalia kilio cha kusaga meno, baada ya kuwindup makampuni yao....
Nilikuwa naongea na Mwanasheria moja jana anasema kazi nyingi anazopata kwa sasa ni kuwindup makampuni. Kwa mwezi anawindup makampuni 46-50 na kwa upande mwingine anafungua 2-3 tu. Sasa cheki hiyo ratio mwenyewe uone.. The private sector is tottaly dead!. Na ndio sector ambayo ingechukua vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo. UD inamwaga kila mwaka, UDOM inamwaga kila mwaka, Mzumbe, Tumaini, Muhimbili, TIA na wengine wengi. zaidi ya vyuo 40.... Sasa vijana hao wote hawawezi kuajiriwa sijui na SUMA JKT, TBA,NHC ambao kwa sasa ndio wanafanya kazi zote mpaka za kufagia barabara wakati hizo zilikuwa ni kazi za vikundi vya wanawake na vijana katika mitaa chini ya usimamizi wa Halmashauri.
Jakaya kipindi anatoka aliacha makampuni ya ujenzi ya ndani yalioweza kushindana na Wachina kibao. But look now they are all dead. Kivipi, TRA Kuwabambikizia kesi za madeni, kazi kubwa zote wamechukua makampuni ya nje, kazi za ndani zote za serikali anafanya SUMA JKT, TBA, NHC, mpaka na Magereza. Is simpe local contractors can not survive in that circumstance. Ok!.. Mpaka yale maujenzi ya Halmashauri wameleta mfumo wa Force Account ambao ni ulaji wa watu wa manunuzi bila kujua wanauwa private sekta... Tuliona enzi za Jakaya akipambana kuweka mazingira bora, ndio maana tukaona wazawa wakiflourish kama vile SKOL (now is dead), DELEMONTE (now is dead), MILEMBE (now is dead), MECCO (now id dead), CASPIAN (is almost dead kabaki na kazi za Barrik tu)... the list is endless..
Sasa kwa hali kama hiyo how can You dare to vote for this man again!. No, way unless atuambie kuwa atabadilika na kubadili mfumo wake wa kuuwa makampuni ya ndani. Wahenge wanasema kuuwa uchumi ni suala la siku 2 au tatu ila kuujemga ni miaka 10 t0 20... Hii miaka 5 uchumi umekufa kabisa, mpaka kuja kusimamisha uchumi is not now and haitatokkea kama hatobadilika au kama wananchi tusipoamua kumpa kura Lisu
Tena ni useless vibaya sana.... Bashiru na Pole Pole sikujua kama ni hopeless namna hii
Magufuli anachojua ni kutumia vyombo vya dola kutisha wawekezaji ambao anaona hawapo katika mrengo wake .
Alimtisha Manji akaondoa huduma zake za Kibiashara.
Zakaria wa Tarime na mke wake wote wapo ndani.
Alipoingia akamtisha Bakheresa akalipa kodi bilioni 1...mzee akakubali tu alipe wakati hadaiwi kodi.
Akamtishia Diallo rafiki yake Lowasa akamfungia kituo chake cha utangazaji cha Sahara media.
Akampiga mkwara Mo Dewji ,akamteka kijana wa watu akatoa mkopo wa mabilioni watu walipe korosho.
Bado haitoshi aka dili na Mzee Shamte hadi mzee wa watu akaaga dunia akiwa jela.
Orodha ni ndefu ila huyu mrundi hafai hata kidogo.
Kuna mwanga kidogo kwa Mgombea wa CDM amejipanga sio boya.Najaribu kufikiri hivi Magufuli atakapokuwa OUT kuanzia tarehe 29/10/2020, ni siri ngapi za ubaya na uovu wake zitakuwa revealed?
For sure kabisa, hata walioua watu, kuteka watu na kuwapoteza na hata waliompiga risasi 16 Tundu Lissu tutakuwa very shocked watakapojulikana.!!
Hili linamtisha sana Magufuli na watu wake. Hawataki kabisa kuliona linatokea. Wako tayari kumwaga damu kubaki hapo walipo!!
But, the question is;
Can someone fight with his/her own destiny?
Hapa ndipo ulipo ukomo wa UJINGA wa mwanadamu. Huwezi kupambana na nature ama mambo ya asili hata kidogo!!!
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni hayo.... na wale ambao walijiajiri kwa kufungua makampuni kwa sasa wanalia kilio cha kusaga meno, baada ya kuwindup makampuni yao....