Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

Very true!... Makampuni yameuliwa ovyo ovyo kabisa!.. .
 
uko sahihi uchumi wa watu umekufa serikali ndio ila vihela vya kukopa. serikali nzuri inahakikisha kunakuwepo na kiasi kikubwa cha pesa kwenye nzunguko.
 
Hayo makampuni unayoyasema JPM ndio aliyainua Sasa kaipa kampuni ya kienyeji kujenga uwanja wa ndege kiiila siku mnamtukana nayo Bora awape suma JKT,

Tatizo ni Lissu na matapeli wenzie kutukana wenzao kilasiku, tumejenga flyover nayeye kapita hapohapo kwenda kununua maparachichi mawili kariakoo eti anasema lingejengwa kijijini, ovyo
 
Pole mkuu kwa msongo wa mawazo. Kipindi JK anamaliza muda wake, ni wewe na hao akina MECCO mliungana kumtukana matusi mazito na mlisema kabisa JK hafai kabisa kuwa kiongozi, na hakuna aliyenyambulisha umuhimu wa sekta binafsi kama ulivyofanya. Mlihakikisha mnaungana kuipinga serikali ya JK. Mkitoa rushwa na kufanya vitu substandard. Mliweka gharama mara 10 ya ile gharama halisi na mkafurahia maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…