LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mkuu JPM mchagueni nyie, sisi tumechoka kuchagua Rais msimangaji na mbaguuzi.yeye Kwake wanawake ni weupe tuuu....hapanaaaHayo makampuni unayoyasema JPM ndio aliyainua Sasa kaipa kampuni ya kienyeji kujenga uwanja wa ndege kiiila siku mnamtukana nayo Bora awape suma jkt,
Tatizo Ni Lissu na matapeli wenzie kutukana wenzao kilasiku, tumejenga flyover nayeye kapita hapohapo kwenda kununua maparachichi mawili kariakoo eti anasema lingejengwa kijijini, ovyo
Haahaa atachaguliwa alikopeleka mboga, wanageita na watanzania wengine watampiga wamtakaye asiyewagua...ni mtazamo wako unalazimisha iwe Geita
huwezi kumridhisha kila mtu,hiyo ndio mature ya maisha sorry kamanda
Hahahahahaa. Aladin na Taa ya Ajabu.Lakini kile cheo ni kitamu bwana, kama kushika Aladdin lamp. Ukiita Chato AirPort imetokea.
uzuri wa kura ni siriHaahaa atachaguliwa alikopeleka mboga, wanageita na watanzania wengine watampiga wamtakaye asiyewagua...
Wewe binafsi na wanaokuzunguka vipi maisha yenu?yameboreka au yamedoda?Muwe mnatumia akili kufikiri.unaposema uchumi umekufa unamaanisha nini wakati huo huo nchi imeingia uchumi wa kati? Na makampuni gani una maanisha ? Maana makampuni hayo yalikuwa hayalipi kodi,hayalipi NSSF, PSSF .leo wamekabwa yalipe mnasema eti sector binafsi imekufa!! Mfano mmoja ni mwambie.kuna hospital moja ywnye ngazi ya wilaya ilikuwa na manesi wa nne since 1995
wengine ni medical attendants. Na hawa alikuwa wanasaini mikataba miwili mkataba wa wazi na mkataba wa siri ili kikwepa kodi.sector binafsi isiyowajibika Ifage tu.
Hawa vijana wa pale Lumumba nawajua sana wasikupe tabu... Ijumaa wakishapewa pilau ya Mandi pale Lumumba basi akili yao inawaruka. Na hawana majukumu ya kifamilia.... Swali zuri, tokea tumeingia uchumi wa kati maisha yake yameboreka?Wewe binafsi na wanaokuzunguka vipi maisha yenu?yameboreka au yamedoda?
Hajawahi kujiajiri hata kuuza genge la nyanya. Maisha yote ameajiriwa na serikali. Akiona matajri anaamini ni majizi. Akaanza na kuwafanya malaika waishi kama mashetani bila sababu yoyote.Kabisa.... Jamaa alipoingia alikuwa na mentality kwamba private sector ni maadui wakubwa wa maendeleo ya nchi. But alisahau kuwa ni private sector ndio inaajiri zaidi..... Leo hii mpaka kazi za wanawake wa vikundi kazi zake zimechukuliwa na SUMA JKT..... Uppuzi mkubwa kweli
Kura ni kwa Lissu tu. Magufuli must goUnapoteza Kura yako
hebu jaribu kutomchagua uone utakavyojutaMkuu jpm mchagueni nyie, sisi tumechoka kuchagua rais msimangaji na mbaguuzi.yeye Kwake wanawake ni weupe tuuu....hapanaaa
Sio Rais gani yupo madarakani au nani alikuwa waziri mkuuRichond ilitokea wakati chama gani kiko madarakani vile!
Hii imfikie Tundu popote alipoView attachment 1596542
Kikwete Kiswahili ana kisanifu utafikiri Shaban Robert.
Kwa hiyo kesho JPM akiamua kujenga reli kutoka Chato mpaka Mwanza ni sawa tu kwa kuwa haijengwi Kenya?kwani chato ipo kenya?
Mambo ya ovyo kweli kweli!.......Dah mdau umenikumbusha Fasjet Airlines. Just imagine familia mgapi zilikua zinafurahi kuwepo kwa Fastjet. Kuanzia wafanyakazi na familia zao mpaka abiria wapya ambao hawajawahi panda ndege walianza kupanda kwa bei nafuu.
Kampuni ilikuja pigwa katafunua ya hatari mpk ikaondoka ili iipishe Atcl. Na viongozi wa serekali walifanya party kabisa kuanguka kwa Fastjet.
Kwani kungekua na shida gani Fastjet iwepo na ATCL iwepo. Si ndio ajira zingekuwepo mara dufu?
Serekali inapiga domo ajira zitaongezeka lkn in reality ukiangalia kilichofanyika ndani ya miaka mi5 ni kuwatoa walioajiriwa wengi na kuwaajiri wachache.