Kufa ni kufanya nini?

mkuu,
haya mambo sio occult? nasikia freemason huwa wanajitahidi sana kumaster haya mambo.
 
Ninavyojua kufa ni ile hali ya silver cord kukata, hivo hutenganisha mwili na roho.
.·.= kitendo cha mwili kuachana na roho ndio kufa.
 
Lakini hili litakuwa halina ushahidi mkuu

Na hapa ndio kuna shida,
hivi areta unajua kuwa ni vigumu sana kuthibitisha mambo ya kiroho kwa kutumia sayans? ,ila ni rahisi sana kuthibitisha mambo ya kisayansi kwa kiroho....
Cc jimena
 
Na hapa ndio kuna shida,
hivi areta unajua kuwa ni vigumu sana kuthibitisha mambo ya kiroho kwa kutumia sayans? ,ila ni rahisi sana kuthibitisha mambo ya kisayansi kwa kiroho....
Cc jimena

Hehehe labda yathibitishwe kiroho kama itawezekana
 
Na hapa ndio kuna shida,
hivi areta unajua kuwa ni vigumu sana kuthibitisha mambo ya kiroho kwa kutumia sayans? ,ila ni rahisi sana kuthibitisha mambo ya kisayansi kwa kiroho....
Cc jimena

Nimekupata :thumbup:
 
I was about to ask roho ni nini? Ila Nakuabaliana na wewe kuwa hili halina ushahidi

Ndio maana inatakiwa ukusanye vyote kuanzia kwenye dini hadi upaganini alafu uchambue ujue cha kweli ni kipi.

Tutafute kweli kila mahali
 
Tatizo kuna watu neno imani kwao hutafsiri ni uongo tu moja kwa moja,matoke yake kuna mambo yanashindikana kufahamika.
 
Hivi dini maana yake ni nini???
Cc; Jimena, Aretasludovick

Dini ni njia.
Kama kiongozi wa hiyo dini/njia amesema wanaume ni wanawake na wanawake ni wanaume, basi haina budi kukubali. Tena kwa 100%.

Lakini kumbuka dini ya kweli ipo moja tu! Hizi nyingine ni blah blah tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…