Kufa ni kufanya nini?


Kwa sasa katika maisha ya dunia hii ukiwa na mwili unatumia milango yako ya ufahamu kupata taarifa. Mfano pua inakupabtaarifa ya harufu, masikio yanakupa taarifa ya waves vibration au sauti, macho yanakupa taarifa ya kuona hali ni rangi na kadhalika lakini ukifa sio kwamba ufahamu unakosa kujua hali zilivyo.

Leo hii ukiwa unaota ndoto macho hayatumiki lakini unaona, masikio ya mwili ulio nao hayasikii lakini kwenye ndito unaweza kusikia sauti. Kwa sababu Milango hii ya ufahamu inakusaidia kwa sasa ni kama ufahamu unautumia mwili kufanya kazi ambayo hata ufahamu ukiwa peke yake unaweza kufahamu. Ndio maana hata ukifa utaweza kuona kusikia na kadhalika na utagundua maisha ya mwili yapo limited.

Ufahamu ni energy iliyo pure na haiwezi kuharibiwa wala kufanyiwa chochote katika dunia ya kifizikia. Lakini mwili unachoka na unapatikana upya. Hivyo sababu ya ufahamu kuuacha mwili ni kama kufanya recycling ya mwili na ufahamu kuchukua hali mpya.
 

We jamaa unaongea vitu gani wewe.
 
dini hiyo ya kweli ni ipi mkuu???

Ni dini ya kisasa inayoamini na kufundisha ukweli kama ulivyofunuliwa kwetu kupitia sayansi asili, sayansi Jamii, sayansi ya kiroho na sayansi akili.
Hivyo kile kilichothibitishwa kwa usahihi kupitia hayo hapo juu ndio dini/njia ya kweli
 

Hakika wewe ni nuru hapa jamiiforums :thumbup:
 

okey nimekuelewa... na kwA mtu ambaye alisha experience out of body experiences (OBE) anaelewa unamaanisha nini.
na baadh wapo watakuona unasema nonsense au umewehuka
 
Ni dini ya kisasa inayoamini na kufundisha ukweli kama ulivyofunuliwa kwetu kupitia sayansi asili, sayansi Jamii, sayansi ya kiroho na sayansi akili.
Hivyo kile kilichothibitishwa kwa usahihi kupitia hayo hapo juu ndio dini/njia ya kweli

teh teh teh... .. . ila mkuu tatzo ni kuwa hata Muslim and Catholic hawatak waumin waijue hiyo njia ya ukwel, wanataka tubak wafuas tu
 
Maisha baada ya kifo? yanategemea nini?I mean hayo ni kwa watu wote? na kwanini tusiishi moja kwa moja pasi na kufa?

ndio kuna maisha baada ya kifo, ni kwa watu wote pia,
kwanini tusiishi bila kufa hilo ni kosa la adam baada ya kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya alijisahau kula na lile tunda la uzima ambalo lingetufanya tuishi milele bila kufa.
 

uko sahihi sana mkuu ila tunatofautiana kidogo tuu hapo kwenye mambo ya jehanam ila sio big deal
 

duh! inawezekana asee mana mwili uko very complex,,tujuze zaidi
 
kwa mtindo huu, mimi natamani nikifa nisizikwe waniweke tu sehemu hadi nitakapoharibika basi ndio wanizike.maana nafikiri umestuka upo kaburini au frijini hv inakuwaje haya ni mateso sana.

hayo mawazo ht mm ninayo asee,yan ht km ni kaburin bc waniwekee lile la mfuniko tuu sio lile dongo la kilo 700,,hehe
 
Duuuuh me napita tuuh👣👣👣👣
 

ahsante mkuu kwa maelezo ya kitaalamu kabisa,,binadamu amembwa kwa namna ya ajabu sana
 

Naomba nieleweshe zaidi hasa pale Mungu alipomwambia Adam baada ya kula lile tunda. "Hakika utakufa" je alikuwa na maana roho ya Adamu itakufa au mwili wa Adam maana kama nimekuelewa vizuri umesema mtu/roho hafi ila roho inahama na kuuacha mwili.
 
Chukua vijiko viwili vya sumu ya panya,changanya kwenye glasi moja yenye bia(robo Lita) .Koroga taratibu kuepuka kumwaga,kunywa yote Mara moja ili ifanye kazi kiufasaha zaidi,kisha jifungie chumbani kwako na ufunguo ulale,baada ya siku mbili uje utuletee majibu.

NB: Hakikisha uwe peke yako kuepusha usumbufu na dawa kutokufanya kazi,ukaja kunilaumu.
 
hayo mawazo ht mm ninayo asee,yan ht km ni kaburin bc waniwekee lile la mfuniko tuu sio lile dongo la kilo 700,,hehe

inabid hawa ambao wanaharakisha mtu azikwe siku hiyohiyo(kuanzia saa 10) waache#
 

kama nina aleji na sumu ya panya na bia nitumie njia gani nyingine???
 
Naomba nieleweshe zaidi hasa pale Mungu alipomwambia Adam baada ya kula lile tunda. "Hakika utakufa" je alikuwa na maana roho ya Adamu itakufa au mwili wa Adam maana kama nimekuelewa vizuri umesema mtu/roho hafi ila roho inahama na kuuacha mwili.

alimaanisha kuwa mwili ndio utakufa... .. . ndio maana akasema "kama ulivyotoka mavumbini nawe utarudi mavumbini" akimaanisha kuwa mwili wa binadam uliumbwa kwa udongo nao utarudi tena kwenye udongo, ila hakumaanisha ile pumzi aliyo mpulizia.

Je unaijua sababu ya mungu kumfukuza adamu katika bustani ya edeni na kuweka malaika wenye mapanga makali yazungukayo ili adam asirudi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…