Kufa ni kufanya nini?

Kufa ni kufanya nini?

alimaanisha kuwa mwili ndio utakufa... .. . ndio maana akasema "kama ulivyotoka mavumbini nawe utarudi mavumbini" akimaanisha kuwa mwili wa binadam uliumbwa kwa udongo nao utarudi tena kwenye udongo, ila hakumaanisha ile pumzi aliyo mpulizia.
Je unaijua sababu ya mungu kumfukuza adamu katika bustani ya edeni na kuweka malaika wenye mapanga makali yazungukayo ili adam asirudi tena???

Sijui mkuu naomba unijuze
 
Chukua vijiko viwili vya sumu ya panya,changanya kwenye glasi moja yenye bia(robo Lita) .Koroga taratibu kuepuka kumwaga,kunywa yote Mara moja ili ifanye kazi kiufasaha zaidi,kisha jifungie chumbani kwako na ufunguo ulale,baada ya siku mbili uje utuletee majibu.

NB: Hakikisha uwe peke yako kuepusha usumbufu na dawa kutokufanya kazi,ukaja kunilaumu.

Sasa kwani unaemshauri hapa ni panya? Nashangaa kuona maelezo yako umeyatoa kwa kutumia sumu ya panya ilhali unamshauri binadamu
 
okey nimekuelewa... na kwA mtu ambaye alisha experience out of body experiences (OBE) anaelewa unamaanisha nini.
na baadh wapo watakuona unasema nonsense au umewehuka

Asante. Kusema ukweli mimi sio mfuatiliaji wa Out Of Body Experience. Kwa upande wangu meditation ndio njia tosha inayosaidia mimi kuihisi hali ya kuwa empty bila kutumia njia nyingine. Hali ya ufahamu kutengana na mwili na kila kitu na kuwa empty bila wazo wala hisia.

Labda kwa aliyewahi kuzoea Out Of Body experience lakini kwangu mimi situmii concepts au elimu za New Ages. Napendelea zaidi mafundisho ya watawa (Monks) wa Zen Buddhism hasa katika kutafuta experience ya Emptiness na mafundisho ya Ufahamu kwa ujumla. .
 
alimaanisha kuwa mwili ndio utakufa... .. . ndio maana akasema "kama ulivyotoka mavumbini nawe utarudi mavumbini" akimaanisha kuwa mwili wa binadam uliumbwa kwa udongo nao utarudi tena kwenye udongo, ila hakumaanisha ile pumzi aliyo mpulizia.
Je unaijua sababu ya mungu kumfukuza adamu katika bustani ya edeni na kuweka malaika wenye mapanga makali yazungukayo ili adam asirudi tena???

Haya mambo yanachanganya sana. Kwani hiyo bustani ya edeni bado ipo??? si ilikuwa hapa hapa duniani au ilikuwa mbinguni.....
 
Haya mambo yanachanganya sana. Kwani hiyo bustani ya edeni bado ipo??? si ilikuwa hapa hapa duniani au ilikuwa mbinguni.....

Mi hata sielewi, maswala hayo Bennie 369 ndo mtaalam ngoja aje atatuambia
 
Last edited by a moderator:
Mi hata sielewi, maswala hayo Bennie 369 ndo mtaalam ngoja aje atatuambia

Je,KweliKulikuwa naBustaniya Edeni?
JE, UNAJUA ile hadithi kuhusu Adamu na Hawa na bustani ya Edeni? Watu wengi ulimwenguni wanaijua. Tunakutia moyo uisome hadithi hiyo. Utaipata katika andiko la . Huu ndio muhtasari wa hadithi hiyo:

Yehova Mungu anamuumba mwanadamu kutokana na mavumbi na kumwita Adamu, kisha anamweka katika bustani iliyo katika eneo linaloitwa Edeni. Mungu mwenyewe ndiye mpandaji wa bustani hii. Imetunzwa vizuri, na ina miti mingi yenye kupendeza inayozaa matunda. Katikati ya bustani hii kuna mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Mungu anawakataza wanadamu wasile matunda ya mti huo, akisema kuwa wasipotii watapatwa na kifo.Baada ya muda, Yehova anamuumba Hawa, msaidizi wa Adamu, kutokana na ubavu mmoja wa Adamu. Mungu anawapa kazi ya kutunza butani na kuwaambia wazaane na kuijaza dunia.

Hawa anapokuwa peke yake, nyoka anaongea naye, akimshawishi ale matunda aliyokatazwa akidai kuwa Mungu amemdanganya na anamnyima kitu fulani kizuri, kitakachomfanya awe kama Mungu. Anashawishika na kula matunda ya mti huo. Baadaye, Adamu anajiunga naye kutomtii Mungu. Yehova anachukua hatua na kutangaza hukumu juu ya Adamu, Hawa, na nyoka.

Baada ya wanadamu kufukuzwa kutoka katika bustani hiyo ya kiparadiso, malaika wanailinda njia ya kuingia humo.
Wakati fulani lilikuwa jambo la kawaida kwa wasomi, watu wenye akili, na wanahistoria kukubali kuwa matukio katika kitabu cha Biblia cha Mwanzo ni ya kweli na yalitukia. Siku hizi, watu wengi wanatilia shaka mambo hayo. Lakini wana sababu gani za kutilia shaka simulizi la Mwanzo kuhusu Adamu, Hawa, na bustani ya Edeni? Acheni tuchunguze sababu nne kuu.

1. Je, bustani ya Edeni ilikuwa mahali halisi?
Kwa nini watu wana shaka kuhusu jambo hilo? Huenda falsafa ilichangia kuwapo kwa shaka hizo. Kwa karne nyingi, wanatheolojia walikuwa wakifikiria kuwa bustani ya Mungu bado ilikuwa mahali fulani. Hata hivyo, kanisa liliathiriwa na wanafalsafa Wagiriki kama Plato na Aristotle, walioamini kuwa hakuna kitu kikamilifu duniani. Ukamilifu ungeweza kupatikana mbinguni pekee.

Kwa hiyo, wanatheolojia wakakata kauli kuwa lazima Paradiso ya kwanza iwe ilikuwa karibu na mbinguni. Wengine walisema kuwa bustani hiyo ilikuwa juu ya mlima mrefu sana hivi kwamba haingeweza kuathiriwa na dunia iliyopotoka; wengine walisema ilikuwa katika Ncha ya Kaskazini au Ncha ya Kusini; nao wengine walisema ilikuwa karibu na au juu ya mwezi.

Haishangazi kuwa simulizi kuhusu bustani ya Edeni lilianza kuonekana kama jambo la kuwaziwa tu. Wasomi fulani wa kisasa wanasema kuwa habari kuhusu mahali ambapo Edeni ilikuwa ni upuuzi mtupu, wakisisitiza kuwa hakujawahi kuwapo na mahali kama hapo.

Hata hivyo, Biblia haielezi kuhusu bustani ya Edeni kwa njia hiyo. Katika
, tunajifunza mambo kadhaa kuhusu eneo hilo. Bustani hiyo ilikuwa mashariki ya eneo linaloitwa Edeni. Maji katika bustani hiyo yalitoka katika mto ambao ulikuwa chanzo cha mito minne. Majina ya mito hiyo yote minne yanatajwa na pia maelezo mafupi kuhusu mahali ilikoelekea.

Wasomi wengi wametamani sana kujua habari kuhusu eneo la Edeni, hivyo wengi wao wametumia sehemu hii ya Biblia kujaribu kutafuta eneo hilo la kale liko mahali gani. Hata hivyo, wasomi hao wametoa maoni mengi tofauti-tofauti kuhusu eneo hilo. Je, hilo linamaanisha kuwa maelezo halisi kuhusu eneo la Edeni, bustani hiyo, na mito yake ni uwongo au ni hadithi tu?

Wazia: Matukio ya simulizi la bustani ya Edeni yaliyotokea miaka 6,000 hivi iliyopita. Musa ndiye aliyeandika simulizi hilo, na huenda alitumia masimulizi yaliyopitishwa kwa mdomo au hata maandishi fulani yaliyokuwapo wakati huo.

Hata hivyo, Musa aliandika simulizi hilo miaka 2,500 hivi baada ya matukio hayo. Tayari matukio katika Edeni yalikuwa historia ya kale. Je, baada ya karne nyingi kupita, huenda alama hizo kuu kama mito imebadili mikondo yake? Uso wa dunia unabadilika kila mara. Eneo ambapo bustani ya Edeni ilikuwa linaathiriwa sana na matetemeko ya ardhiasilimia 17 ya matetemeko yote duniani, yanatukia katika eneo hilo.

Katika maeneo kama hayo, mabadiliko katika uso wa dunia ni jambo la kawaida. Zaidi ya hayo, huenda Gharika ya siku za Noa ilibadili uso wa eneo hilo katika njia ambazo hatuwezi kuzielewa leo.

Hata hivyo, kuna mambo machache ya hakika tunayojua: Simulizi la kitabu cha Mwanzo linataja kuwa bustani ya Edeni ilikuwa mahali halisi. Mito miwili kati ya mito minne inayotajwa katika simulizi hiloEfratina Tigri, au Hidekelibado ipo hadi leo, na baadhi ya vyanzo vyake viko karibu-karibu. Simulizi hilo linataja majina ya maeneo ambapo mito hiyo ilipitia na hata inataja kihususa maliasili zinazojulikana sana katika eneo hilo.

Habari hizo ziliwasaidia Waisraeli wa kale waliosoma simulizi hilo kuelewa mambo mengi.
Je, hadithi na hekaya zinawasaidia watu kuelewa mambo vizuri? Au huwa zinakosa mambo hususa ambayo yanaweza kuthibitishwa kwa urahisi kuwa ya kweli au ya uwongo, au hata kukanushwa? Hadithi nyingi huanza hivi: Hapo zamani za kale katika nchi moja ya mbali. Lakini, historia hutoa habari hususa, kama lifanyavyo simulizi kuhusu Edeni.

2. Je, tunaweza kuamini kuwa Mungu alimuumba Adamu kutokana na mavumbi na Hawa kutokana na ubavu mmoja wa Adamu?

Wanasayansi wa kisasa wamethibitisha kuwa mwili wa mwanadamu una elementi fulanikama vile hidrojeni, oksijeni, na kaboniambazo zinapatikana katika udongo. Lakini elementi hizo zilikusanywa kwa njia gani na kuwa mwili wa kiumbe hai?

Wanasayansi wengi wanataja kuwa uhai ulijitokeza wenyewe, ukianzia na viumbe visivyo tata na kubadilika polepole, na baada ya mamilioni ya miaka ukawa tata hata zaidi. Hata hivyo, maneno visivyo tata yanaweza kupotosha kwa kuwa viumbe vyote vilivyo haihata chembe ndogo zisizoweza kuonekana kwa machoni tata sana.

Hakuna uthibitisho wowote unaoonyesha kuwa kuna aina yoyote ya uhai uliojitokeza wenyewe au unaoweza kujitokeza wenyewe. Badala yake, kuna uthibitisho ulio wazi kuwa viumbe vyote vilibuniwa na mbuni mwenye akili nyingi zaidi kuliko ya wanadamu. .

Hebu wazia ukisikiliza muziki mtamu au ukifurahia kuona mchoro wenye kupendeza au ukistaajabia jambo fulani la kitekinolojia, kisha unasisitiza kuwa hakuna mtu aliyebuni vitu hivyo. Bila shaka, hilo ni jambo lisilopatana na akili! Lakini vitu hivyo haviwezi kufikia utata, uzuri, au hata hekima iliyohusika katika kuubuni mwili wa mwanadamu. Ni jambo lisilowazika kusema kuwa mwili wa mwanadamu haukuumbwa.

Zaidi ya hayo, simulizi la Mwanzo linaeleza kuwa kati ya viumbe vyote duniani, wanadamu peke yao ndio walioumbwa kwa mfano wa Mungu. ( ) Ndiyo maana ni wanadamu pekee walio na uwezo wa kubuni vitu kama afanyavyo Mungu, wakati fulani wakibuni vitu vyenye kupendeza kama muziki, sanaa, na tekinolojia.

Hivyo, si ajabu kwamba Mungu ana uwezo mkubwa wa kubuni kuliko ule tulio nao.
Je, kuna ugumu wowote kumuumba mwanamke kwa kutumia ubavu wa mwanamume? Mungu angeweza kutumia njia nyingine, lakini mbinu hii aliyotumia kumuumba mwanamke ina umaana mkubwa.

Alitaka mwanamume na mwanamke wawe na uhusiano wa karibu, kana kwamba wao ni mwili mmoja. ( ) Jinsi mwanamume na mwanamke wanavyokamilishana, wakifanyiza uhusiano thabiti ambao unawaimarisha wote wawili, ni uthibitisho ulio wazi kuwa kuna Muumba mwenye hekima na upendo.

Zaidi ya hayo, wataalamu wa kisasa wa chembe za urithi wamekiri kuwa yaelekea wanadamu walitokana na mwanamume na mwanamke mmoja. Kwa hiyo, je, simulizi la Mwanzo ni la kweli?

3. Je, habari kuhusu mti wa ujuzi na mti wa uzima ni hadithi tu?
Kwa kweli, simulizi la Mwanzo halionyeshi kwamba miti hiyo ilikuwa na nguvu fulani zisizo za kawaida. Badala yake, ilikuwa miti halisi ambayo Yehova aliiweka iwakilishe jambo fulani.
Je, wanadamu hawafanyi hivyo nyakati nyingine?

Kwa mfano, hakimu anaweza kumwonya mtu asiidharau mahakama. Hilo halimaanishi kwamba hakimu anazuia viti, meza, nembo za taifa, kuta, na vitu vingine vilivyo ndani ya mahakama hiyo visidharauliwe, bali anataka kulinda mfumo wa kisheria unaowakilishwa na mahakama hiyo. Watawala mbalimbali wametumia fimbo ya ufalme na taji kuwa ishara ya mamlaka yao.

Hivyo, ile miti miwili iliwakilisha nini? Kumekuwa na maoni mengi yasiyoeleweka kuhusu jambo hilo. Kuna jibu la kweli na rahisi, lakini lenye umaana mkubwa sana. Mti wa ujuzi wa mema na mabaya unawakilisha pendeleo ambalo ni la Mungu pekee,yaani, haki ya kuamua yaliyo mema na yaliyo mabaya. ( ) Ndio sababu lilikuwa kosa kuiba matunda ya mti huo! Kwa upande mwingine, mti wa uzima uliwakilisha zawadi ambayo Mungu pekee ndiye aliye na uwezo wa kuitoa, yaani, uzima wa milele. .

4. Je, nyoka anayesemwa kuwa aliongea, ni hadithi tu?
Kwa kweli, huenda simulizi hilo la Mwanzo likawa gumu kueleweka, hasa ikiwa msomaji hatazingatia Biblia yote nzima. Hata hivyo, pole kwa pole Maandiko hufunua fumbo hilo lenye kutatanisha.

Ni nani au ni nini kilichomwezesha nyoka kuongea? Watu wa Israeli la kale walijua mambo mengine yaliyowasaidia kupata uelewevu zaidi kuhusu jinsi nyoka huyo alivyohusika. Kwa mfano, walijua kwamba ingawa wanyama hawaongei, kiumbe wa roho anaweza kumfanya mnyama aonekane kama anaongea. Musa pia aliandika simulizi kuhusu Balaamu. Simulizi hilo linasema kuwa Mungu alimtuma malaika amfanye punda wa Balaamu aongee kama mwanadamu.

Je, roho wengine, kutia ndani wale ambao ni maadui wa Mungu, wanaweza kufanya miujiza? Musa alikuwa amewaona makuhani wa Misri wenye kufanya miujiza wakiiga baadhi ya miujiza ya Mungu, kama kugeuza fimbo iwe nyoka. Uwezo wa kufanya miujiza kama hiyo ungeweza tu kutoka kwa maadui wa Mungu walio katika makao ya roho. .

Pia, yaelekea kuwa Musa ndiye aliyeongozwa na roho ya Mungu kuandika kitabu cha Ayubu. Kitabu hicho kinaeleza mambo mengi kumhusu adui mkubwa wa Mungu, Shetani, ambaye kwa uwongo alitilia shaka utimilifu wa watumishi wa Yehova. ( )

Je, Waisraeli hao wa kale walikata kauli kuwa Shetani alimtumia nyoka katika bustani ya Edeni, na kumfanya aonekane kama anaongea na hivyo kumdanganya Hawa avunje utimilifu wake kwa Mungu? Huenda ikawa hivyo.
Je, Shetani ndiye aliyemfanya nyoka aseme uwongo?

Baadaye Yesu alimtaja Shetani kuwa mwongo na baba ya uwongo. ( ) Baba ya uwongo ndiye aliyesema uwongo wa kwanza kuwahi kusemwa duniani. Uwongo huo wa kwanza unapatikana katika maneno ambayo nyoka alimwambia Hawa. Akipinga onyo la Mungu kuwa kula matunda yaliyokatazwa kutasababisha kifo,nyoka alisema hivi: Hakika hamtakufa. ( ) Kwa wazi, Yesu alijua kuwa Shetani alimtumia nyoka kusema uwongo. Ufunuo ambao Yesu alimpa mtume Yohana unadhihirisha jambo hilo, kwa kumwita Shetani nyoka wa zamani. .

Je, itakuwa kupita mipaka kuamini kuwa kiumbe wa roho mwenye nguvu aliweza kumtumia nyoka na kumfanya aonekane kama anaongea? Ingawa wanadamu hawana nguvu kama viumbe wa roho, wao pia wanaweza kufanya sanamu ionekane kama inatoa sauti, kumbe ni mwanadamu anayetoa sauti hiyo.

Uthibitisho Ulio Hakika Kabisa
Je, hukubali kuwa watu wanaotilia shaka simulizi la Mwanzo hawana msingi mzuri wa kufanya hivyo? Kwa upande mwingine, kuna uthibitisho mwingi wa kwamba simulizi hilo ni historia ya kweli.

Kwa mfano, Yesu Kristo anaitwa shahidi mwaminifu na wa kweli. ( ) Kwa kuwa alikuwa mtu makamilifu, Yesu hakuwahi kusema uwongo wala kuipotosha kweli. Zaidi ya hayo, alifundisha kuwa alikuwapo muda mrefu kabla ya kuja duniani akiwa mwanadamuna hata, alikuwa kando ya Baba yake, Yehova, kabla ya ulimwengu kuwako. (
) Kwa hiyo, alikuwa hai wakati uhai ulipoanza duniani. Hivyo basi, Yesu ambaye ndiye shahidi mwenye kutegemeka zaidi ya mashahidi wote anasema nini?

Yesu aliwataja Adamu na Hawa kuwa watu halisi. Alitaja ndoa yao alipokuwa akifafanua kanuni ya Yehova kuhusu kufunga ndoa na mwenzi mmoja tu. ( ) Ikiwa Adamu na Hawa hawakuwahi kuwapo na bustani walimoishi ilikuwa hadithi tu, basi ama Yesu alikuwa amedanganywa au alikuwa mwongo. Yesu hangeweza kudanganywa wala kusema uwongo!

Yeye alikuwa mbinguni akitazama tukio hilo lenye kuhuzunisha lilipotokea katika bustani ya Edeni. Je, kunaweza kuwa na uthibitisho mwingine wenye kutegemeka zaidi ya huo?
Kwa hiyo, kutoamini simulizi la kitabu cha Mwanzo ni kukosa imani katika Yesu. Pia, kutoamini simulizi hilo kunafanya isiwezekane kuelewa baadhi ya mafundisho muhimu ya Biblia na ahadi zake zenye kufariji. Acheni tuone kwa nini inaweza kuwa hivyo.
Cc; majoto and Jimena
 
Last edited by a moderator:
Je,KweliKulikuwa naBustaniya Edeni?
JE, UNAJUA ile hadithi kuhusu Adamu na Hawa na bustani ya Edeni? Watu wengi ulimwenguni wanaijua. Tunakutia moyo uisome hadithi hiyo. Utaipata katika andiko la . Huu ndio muhtasari wa hadithi hiyo:
Yehova Mungu anamuumba mwanadamu kutokana na mavumbi na kumwita Adamu, kisha anamweka katika bustani iliyo katika eneo linaloitwa Edeni. Mungu mwenyewe ndiye mpandaji wa bustani hii. Imetunzwa vizuri, na ina miti mingi yenye kupendeza inayozaa matunda. Katikati ya bustani hii kuna “mti wa ujuzi wa mema na mabaya.” Mungu anawakataza wanadamu wasile matunda ya mti huo, akisema kuwa wasipotii watapatwa na kifo.Baada ya muda, Yehova anamuumba Hawa, msaidizi wa Adamu, kutokana na ubavu mmoja wa Adamu. Mungu anawapa kazi ya kutunza butani na kuwaambia wazaane na kuijaza dunia.
Hawa anapokuwa peke yake, nyoka anaongea naye, akimshawishi ale matunda aliyokatazwa akidai kuwa Mungu amemdanganya na anamnyima kitu fulani kizuri, kitakachomfanya awe kama Mungu. Anashawishika na kula matunda ya mti huo. Baadaye, Adamu anajiunga naye kutomtii Mungu. Yehova anachukua hatua na kutangaza hukumu juu ya Adamu, Hawa, na nyoka. Baada ya wanadamu kufukuzwa kutoka katika bustani hiyo ya kiparadiso, malaika wanailinda njia ya kuingia humo.
Wakati fulani lilikuwa jambo la kawaida kwa wasomi, watu wenye akili, na wanahistoria kukubali kuwa matukio katika kitabu cha Biblia cha Mwanzo ni ya kweli na yalitukia. Siku hizi, watu wengi wanatilia shaka mambo hayo. Lakini wana sababu gani za kutilia shaka simulizi la Mwanzo kuhusu Adamu, Hawa, na bustani ya Edeni? Acheni tuchunguze sababu nne kuu.
1. Je, bustani ya Edeni ilikuwa mahali halisi?
Kwa nini watu wana shaka kuhusu jambo hilo? Huenda falsafa ilichangia kuwapo kwa shaka hizo. Kwa karne nyingi, wanatheolojia walikuwa wakifikiria kuwa bustani ya Mungu bado ilikuwa mahali fulani. Hata hivyo, kanisa liliathiriwa na wanafalsafa Wagiriki kama Plato na Aristotle, walioamini kuwa hakuna kitu kikamilifu duniani. Ukamilifu ungeweza kupatikana mbinguni pekee. Kwa hiyo, wanatheolojia wakakata kauli kuwa lazima Paradiso ya kwanza iwe ilikuwa karibu na mbinguni. Wengine walisema kuwa bustani hiyo ilikuwa juu ya mlima mrefu sana hivi kwamba haingeweza kuathiriwa na dunia iliyopotoka; wengine walisema ilikuwa katika Ncha ya Kaskazini au Ncha ya Kusini; nao wengine walisema ilikuwa karibu na au juu ya mwezi. Haishangazi kuwa simulizi kuhusu bustani ya Edeni lilianza kuonekana kama jambo la kuwaziwa tu. Wasomi fulani wa kisasa wanasema kuwa habari kuhusu mahali ambapo Edeni ilikuwa ni upuuzi mtupu, wakisisitiza kuwa hakujawahi kuwapo na mahali kama hapo.
Hata hivyo, Biblia haielezi kuhusu bustani ya Edeni kwa njia hiyo. Katika
, tunajifunza mambo kadhaa kuhusu eneo hilo. Bustani hiyo ilikuwa mashariki ya eneo linaloitwa Edeni. Maji katika bustani hiyo yalitoka katika mto ambao ulikuwa chanzo cha mito minne. Majina ya mito hiyo yote minne yanatajwa na pia maelezo mafupi kuhusu mahali ilikoelekea. Wasomi wengi wametamani sana kujua habari kuhusu eneo la Edeni, hivyo wengi wao wametumia sehemu hii ya Biblia kujaribu kutafuta eneo hilo la kale liko mahali gani. Hata hivyo, wasomi hao wametoa maoni mengi tofauti-tofauti kuhusu eneo hilo. Je, hilo linamaanisha kuwa maelezo halisi kuhusu eneo la Edeni, bustani hiyo, na mito yake ni uwongo au ni hadithi tu?
Wazia: Matukio ya simulizi la bustani ya Edeni yaliyotokea miaka 6,000 hivi iliyopita. Musa ndiye aliyeandika simulizi hilo, na huenda alitumia masimulizi yaliyopitishwa kwa mdomo au hata maandishi fulani yaliyokuwapo wakati huo. Hata hivyo, Musa aliandika simulizi hilo miaka 2,500 hivi baada ya matukio hayo. Tayari matukio katika Edeni yalikuwa historia ya kale. Je, baada ya karne nyingi kupita, huenda alama hizo kuu kama mito imebadili mikondo yake? Uso wa dunia unabadilika kila mara. Eneo ambapo bustani ya Edeni ilikuwa linaathiriwa sana na matetemeko ya ardhi—asilimia 17 ya matetemeko yote duniani, yanatukia katika eneo hilo. Katika maeneo kama hayo, mabadiliko katika uso wa dunia ni jambo la kawaida. Zaidi ya hayo, huenda Gharika ya siku za Noa ilibadili uso wa eneo hilo katika njia ambazo hatuwezi kuzielewa leo.
Hata hivyo, kuna mambo machache ya hakika tunayojua: Simulizi la kitabu cha Mwanzo linataja kuwa bustani ya Edeni ilikuwa mahali halisi. Mito miwili kati ya mito minne inayotajwa katika simulizi hilo—Efratina Tigri, au Hidekeli—bado ipo hadi leo, na baadhi ya vyanzo vyake viko karibu-karibu. Simulizi hilo linataja majina ya maeneo ambapo mito hiyo ilipitia na hata inataja kihususa maliasili zinazojulikana sana katika eneo hilo. Habari hizo ziliwasaidia Waisraeli wa kale waliosoma simulizi hilo kuelewa mambo mengi.
Je, hadithi na hekaya zinawasaidia watu kuelewa mambo vizuri? Au huwa zinakosa mambo hususa ambayo yanaweza kuthibitishwa kwa urahisi kuwa ya kweli au ya uwongo, au hata kukanushwa? Hadithi nyingi huanza hivi: “Hapo zamani za kale katika nchi moja ya mbali.” Lakini, historia hutoa habari hususa, kama lifanyavyo simulizi kuhusu Edeni.
2. Je, tunaweza kuamini kuwa Mungu alimuumba Adamu kutokana na mavumbi na Hawa kutokana na ubavu mmoja wa Adamu?
Wanasayansi wa kisasa wamethibitisha kuwa mwili wa mwanadamu una elementi fulani—kama vile hidrojeni, oksijeni, na kaboni—ambazo zinapatikana katika udongo. Lakini elementi hizo zilikusanywa kwa njia gani na kuwa mwili wa kiumbe hai?
Wanasayansi wengi wanataja kuwa uhai ulijitokeza wenyewe, ukianzia na viumbe visivyo tata na kubadilika polepole, na baada ya mamilioni ya miaka ukawa tata hata zaidi. Hata hivyo, maneno “visivyo tata” yanaweza kupotosha kwa kuwa viumbe vyote vilivyo hai—hata chembe ndogo zisizoweza kuonekana kwa macho—ni tata sana. Hakuna uthibitisho wowote unaoonyesha kuwa kuna aina yoyote ya uhai uliojitokeza wenyewe au unaoweza kujitokeza wenyewe. Badala yake, kuna uthibitisho ulio wazi kuwa viumbe vyote vilibuniwa na mbuni mwenye akili nyingi zaidi kuliko ya wanadamu. — .
Hebu wazia ukisikiliza muziki mtamu au ukifurahia kuona mchoro wenye kupendeza au ukistaajabia jambo fulani la kitekinolojia, kisha unasisitiza kuwa hakuna mtu aliyebuni vitu hivyo. Bila shaka, hilo ni jambo lisilopatana na akili! Lakini vitu hivyo haviwezi kufikia utata, uzuri, au hata hekima iliyohusika katika kuubuni mwili wa mwanadamu. Ni jambo lisilowazika kusema kuwa mwili wa mwanadamu haukuumbwa. Zaidi ya hayo, simulizi la Mwanzo linaeleza kuwa kati ya viumbe vyote duniani, wanadamu peke yao ndio walioumbwa kwa mfano wa Mungu. ( ) Ndiyo maana ni wanadamu pekee walio na uwezo wa kubuni vitu kama afanyavyo Mungu, wakati fulani wakibuni vitu vyenye kupendeza kama muziki, sanaa, na tekinolojia. Hivyo, si ajabu kwamba Mungu ana uwezo mkubwa wa kubuni kuliko ule tulio nao.
Je, kuna ugumu wowote kumuumba mwanamke kwa kutumia ubavu wa mwanamume? Mungu angeweza kutumia njia nyingine, lakini mbinu hii aliyotumia kumuumba mwanamke ina umaana mkubwa. Alitaka mwanamume na mwanamke wawe na uhusiano wa karibu, kana kwamba wao ni “mwili mmoja.” ( ) Jinsi mwanamume na mwanamke wanavyokamilishana, wakifanyiza uhusiano thabiti ambao unawaimarisha wote wawili, ni uthibitisho ulio wazi kuwa kuna Muumba mwenye hekima na upendo.
Zaidi ya hayo, wataalamu wa kisasa wa chembe za urithi wamekiri kuwa yaelekea wanadamu walitokana na mwanamume na mwanamke mmoja. Kwa hiyo, je, simulizi la Mwanzo ni la kweli?
3. Je, habari kuhusu mti wa ujuzi na mti wa uzima ni hadithi tu?
Kwa kweli, simulizi la Mwanzo halionyeshi kwamba miti hiyo ilikuwa na nguvu fulani zisizo za kawaida. Badala yake, ilikuwa miti halisi ambayo Yehova aliiweka iwakilishe jambo fulani.
Je, wanadamu hawafanyi hivyo nyakati nyingine? Kwa mfano, hakimu anaweza kumwonya mtu asiidharau mahakama. Hilo halimaanishi kwamba hakimu anazuia viti, meza, nembo za taifa, kuta, na vitu vingine vilivyo ndani ya mahakama hiyo visidharauliwe, bali anataka kulinda mfumo wa kisheria unaowakilishwa na mahakama hiyo. Watawala mbalimbali wametumia fimbo ya ufalme na taji kuwa ishara ya mamlaka yao.
Hivyo, ile miti miwili iliwakilisha nini? Kumekuwa na maoni mengi yasiyoeleweka kuhusu jambo hilo. Kuna jibu la kweli na rahisi, lakini lenye umaana mkubwa sana. Mti wa ujuzi wa mema na mabaya unawakilisha pendeleo ambalo ni la Mungu pekee,yaani, haki ya kuamua yaliyo mema na yaliyo mabaya. ( ) Ndio sababu lilikuwa kosa kuiba matunda ya mti huo! Kwa upande mwingine, mti wa uzima uliwakilisha zawadi ambayo Mungu pekee ndiye aliye na uwezo wa kuitoa, yaani, uzima wa milele.— .
4. Je, nyoka anayesemwa kuwa aliongea, ni hadithi tu?
Kwa kweli, huenda simulizi hilo la Mwanzo likawa gumu kueleweka, hasa ikiwa msomaji hatazingatia Biblia yote nzima. Hata hivyo, pole kwa pole Maandiko hufunua fumbo hilo lenye kutatanisha.
Ni nani au ni nini kilichomwezesha nyoka kuongea? Watu wa Israeli la kale walijua mambo mengine yaliyowasaidia kupata uelewevu zaidi kuhusu jinsi nyoka huyo alivyohusika. Kwa mfano, walijua kwamba ingawa wanyama hawaongei, kiumbe wa roho anaweza kumfanya mnyama aonekane kama anaongea. Musa pia aliandika simulizi kuhusu Balaamu. Simulizi hilo linasema kuwa Mungu alimtuma malaika amfanye punda wa Balaamu aongee kama mwanadamu.—
.
Je, roho wengine, kutia ndani wale ambao ni maadui wa Mungu, wanaweza kufanya miujiza? Musa alikuwa amewaona makuhani wa Misri wenye kufanya miujiza wakiiga baadhi ya miujiza ya Mungu, kama kugeuza fimbo iwe nyoka. Uwezo wa kufanya miujiza kama hiyo ungeweza tu kutoka kwa maadui wa Mungu walio katika makao ya roho.— .
Pia, yaelekea kuwa Musa ndiye aliyeongozwa na roho ya Mungu kuandika kitabu cha Ayubu. Kitabu hicho kinaeleza mambo mengi kumhusu adui mkubwa wa Mungu, Shetani, ambaye kwa uwongo alitilia shaka utimilifu wa watumishi wa Yehova. ( ) Je, Waisraeli hao wa kale walikata kauli kuwa Shetani alimtumia nyoka katika bustani ya Edeni, na kumfanya aonekane kama anaongea na hivyo kumdanganya Hawa avunje utimilifu wake kwa Mungu? Huenda ikawa hivyo.
Je, Shetani ndiye aliyemfanya nyoka aseme uwongo? Baadaye Yesu alimtaja Shetani kuwa ‘mwongo na baba ya uwongo.’ ( ) “Baba ya uwongo” ndiye aliyesema uwongo wa kwanza kuwahi kusemwa duniani. Uwongo huo wa kwanza unapatikana katika maneno ambayo nyoka alimwambia Hawa. Akipinga onyo la Mungu kuwa kula matunda yaliyokatazwa kutasababisha kifo,nyoka alisema hivi: “Hakika hamtakufa.” ( ) Kwa wazi, Yesu alijua kuwa Shetani alimtumia nyoka kusema uwongo. Ufunuo ambao Yesu alimpa mtume Yohana unadhihirisha jambo hilo, kwa kumwita Shetani “nyoka wa zamani.”— .
Je, itakuwa kupita mipaka kuamini kuwa kiumbe wa roho mwenye nguvu aliweza kumtumia nyoka na kumfanya aonekane kama anaongea? Ingawa wanadamu hawana nguvu kama viumbe wa roho, wao pia wanaweza kufanya sanamu ionekane kama inatoa sauti, kumbe ni mwanadamu anayetoa sauti hiyo.
Uthibitisho Ulio Hakika Kabisa
Je, hukubali kuwa watu wanaotilia shaka simulizi la Mwanzo hawana msingi mzuri wa kufanya hivyo? Kwa upande mwingine, kuna uthibitisho mwingi wa kwamba simulizi hilo ni historia ya kweli.
Kwa mfano, Yesu Kristo anaitwa “shahidi mwaminifu na wa kweli.” ( ) Kwa kuwa alikuwa mtu makamilifu, Yesu hakuwahi kusema uwongo wala kuipotosha kweli. Zaidi ya hayo, alifundisha kuwa alikuwapo muda mrefu kabla ya kuja duniani akiwa mwanadamu—na hata, alikuwa kando ya Baba yake, Yehova, “kabla ya ulimwengu kuwako.” (
) Kwa hiyo, alikuwa hai wakati uhai ulipoanza duniani. Hivyo basi, Yesu ambaye ndiye shahidi mwenye kutegemeka zaidi ya mashahidi wote anasema nini?
Yesu aliwataja Adamu na Hawa kuwa watu halisi. Alitaja ndoa yao alipokuwa akifafanua kanuni ya Yehova kuhusu kufunga ndoa na mwenzi mmoja tu. ( ) Ikiwa Adamu na Hawa hawakuwahi kuwapo na bustani walimoishi ilikuwa hadithi tu, basi ama Yesu alikuwa amedanganywa au alikuwa mwongo. Yesu hangeweza kudanganywa wala kusema uwongo! Yeye alikuwa mbinguni akitazama tukio hilo lenye kuhuzunisha lilipotokea katika bustani ya Edeni. Je, kunaweza kuwa na uthibitisho mwingine wenye kutegemeka zaidi ya huo?
Kwa hiyo, kutoamini simulizi la kitabu cha Mwanzo ni kukosa imani katika Yesu. Pia, kutoamini simulizi hilo kunafanya isiwezekane kuelewa baadhi ya mafundisho muhimu ya Biblia na ahadi zake zenye kufariji. Acheni tuone kwa nini inaweza kuwa hivyo.
Cc; majoto and Jimena

Mkuu maelezo ni marefu sanaaaa ila nimeyasoma vyema na kuyaelewa.

1. Bado hujaelezea hiyo bustani ipo eneo gani kijiografia?

2. Huo mti upo kweli wenye hilo tunda kama jibu ni ndio thibitisha kauli?

3. Bado hujathibitisha kuhusu huyu nyoka aliyeongea,

4. Kwenye safina usifike, mana vile vipimo tu haviningii akilini kuwa vilitosha kujaza kila kilichopo duniani tena viwili viwili.

Naona niishie hapa kwa leo. Asante sana kwa ushirikiano mkuu
Cc aretasludovick
 
Last edited by a moderator:
Mkuu maelezo ni marefu sanaaaa ila nimeyasoma vyema na kuyaelewa.

1. Bado hujaelezea hiyo bustani ipo eneo gani kijiografia?

2. Huo mti upo kweli wenye hilo tunda kama jibu ni ndio thibitisha kauli?

3. Bado hujathibitisha kuhusu huyu nyoka aliyeongea,

4. Kwenye safina usifike, mana vile vipimo tu haviningii akilini kuwa vilitosha kujaza kila kilichopo duniani tena viwili viwili.

Naona niishie hapa kwa leo. Asante sana kwa ushirikiano mkuu
Cc aretasludovick

Nashindwa kuiamini biblia sababu inajipinga sana.
Ninayo mengi kichwani ambayo hayajapata majibu bado. Ni nani yupo tayari kunijibu kwa usahihi?
 
Last edited by a moderator:
Kwa maelezo yangu binafsi kufa ni
1.hali ya roho/uhai/pumzi kutengana na mwili
2.kutoka kwenye ulimwengu wa kidunia na kuingia kwenye ulimwengu wa kiroho
3.kufaulu mtihani wa kuingia kwenye hatua nyingine ya maisha kwenye ulimwengu mwingine usioonekana

Lakini pia kuna maelezo mengine kuwa tunakufa mara nyingi kabla hatujafa kabisa
Kwamba wewe wa leo si wewe wa juzi jana wiki iliyopita mwaka uliopita nk nk. Wewe wa jioni hii unayesoma post hii si wewe wa asubuhi ya leo na hutakuwa wewe wa kesho
 
[/COLOR]4424339]Sasa kwani unaemshauri hapa ni panya? Nashangaa kuona maelezo yako umeyatoa kwa kutumia sumu ya panya ilhali unamshauri binadamu

Lengo langu ajue maana ya kufa,siyo lazima atumie sumu ya panya hata sumu yoyote ingawa sijui kama kuna sumu ya binadamu.:smokin:
 
kuliwahi kutokea utata kuhusu suala lako'ila ndugu CHESTY kakujibu vizuri sana kimaandiko yaani bibilia
kufa kisayansi ni pale either ubongo au moyo ukishindwa kufanya kazi
1.moyo ukifa utasababisha damu kutozunguka mwilini na kama unavyofahamu ubongo ukikosa oxygen kwa Zaidi ya sec.8 madhala huanza kutokea mfano kuzimia
so hii hali ikiendelea kwa muda ubongo hufa,ubongo ukiwa maana yake sasa hakutakuwa na ufahamu au mawasiriano yoyote kati ya kiungo kimoja na kiungo kingine
hii itapelekea navyo kufa
ilishawahitokea moyo ukasimama lkn kutokana na utaalamu uliopo wakaunganisha na mashine ili iendelee kusukuma damu ili kiungo muhimu ubongo usife uendelee kupata oxygenated blood kwa muda wakati wanashughulikia moyo uwe sawa
tofauti na ubongo ukisha kufa hauwezi tena kuwa rehealed
so either of those once dies you also die
 
Kufa ni hali ya roho kutenganishwa na kiwiliwili.Muunganiko wa roho na kiwiliwili ndio hufanya nafsi kuwa hai.
 
Mkuu maelezo ni marefu sanaaaa ila nimeyasoma vyema na kuyaelewa.

1. Bado hujaelezea hiyo bustani ipo eneo gani kijiografia?

2. Huo mti upo kweli wenye hilo tunda kama jibu ni ndio thibitisha kauli?

3. Bado hujathibitisha kuhusu huyu nyoka aliyeongea,

4. Kwenye safina usifike, mana vile vipimo tu haviningii akilini kuwa vilitosha kujaza kila kilichopo duniani tena viwili viwili.

Naona niishie hapa kwa leo. Asante sana kwa ushirikiano mkuu
Cc aretasludovick

ile bustan according to bible ipo duniani, lkn ilipotea baada ya mafuriko ya nuhu, pamoja na ule mti ulisombwa na mafuriko maana yale mafurikoo hayakua ya mchezomchezo asee.
kuhusu nyoka cjajua ulitaka kusema nn???

kuhusu uthibisho pitia old testament (genesis).

ila naomba usimuite aretasludovick maana hacheli kukinukisha.
 
Last edited by a moderator:
ile bustan according to bible ipo duniani, lkn ilipotea baada ya mafuriko ya nuhu, pamoja na ule mti ulisombwa na mafuriko maana yale mafurikoo hayakua ya mchezomchezo asee.
kuhusu nyoka cjajua ulitaka kusema nn???

kuhusu uthibisho pitia old testament (genesis).

ila naomba usimuite aretasludovick maana hacheli kukinukisha.

Duh! Sijakuelewa mkuu 🙄
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa katika maisha ya dunia hii ukiwa na mwili unatumia milango yako ya ufahamu kupata taarifa. Mfano pua inakupabtaarifa ya harufu, masikio yanakupa taarifa ya waves vibration au sauti, macho yanakupa taarifa ya kuona hali ni rangi na kadhalika lakini ukifa sio kwamba ufahamu unakosa kujua hali zilivyo. Leo hii ukiwa unaota ndoto macho hayatumiki lakini unaona, masikio ya mwili ulio nao hayasikii lakini kwenye ndito unaweza kusikia sauti. Kwa sababu Milango hii ya ufahamu inakusaidia kwa sasa ni kama ufahamu unautumia mwili kufanya kazi ambayo hata ufahamu ukiwa peke yake unaweza kufahamu. Ndio maana hata ukifa utaweza kuona kusikia na kadhalika na utagundua maisha ya mwili yapo limited.

Ufahamu ni energy iliyo pure na haiwezi kuharibiwa wala kufanyiwa chochote katika dunia ya kifizikia. Lakini mwili unachoka na unapatikana upya. Hivyo sababu ya ufahamu kuuacha mwili ni kama kufanya recycling ya mwili na ufahamu kuchukua hali mpya.

kweli elimu ni bahari kwa hiyo mtu anaweza akafa akaziliwa tena kivingine?
 
ile bustan according to bible ipo duniani, lkn ilipotea baada ya mafuriko ya nuhu, pamoja na ule mti ulisombwa na mafuriko maana yale mafurikoo hayakua ya mchezomchezo asee.
kuhusu nyoka cjajua ulitaka kusema nn???

kuhusu uthibisho pitia old testament (genesis).

ila naomba usimuite aretasludovick maana hacheli kukinukisha.

Sijaelewa hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom