Bishanga unavyopenda nyumba ndogo ndo tufahamiane live uje home uanze kumtamani bint yangu au mke wangu si itakuwa balaa hapa jf?
Kukutana na Kufahamiana fahamiana sio kuzuri wala nini hasa kukutana bila sababu za msingi.
hahahahaha! Kuna watu huwezi pata wazo la kufahamiana nao hata kidunchu.
'Masoud amekuwa jambazi,ukikutana naye ukimbilie mbali'Bishanga unavyopenda nyumba ndogo ndo tufahamiane live uje home uanze kumtamani bint yangu au mke wangu si itakuwa balaa hapa jf?
hahahahaha! Kuna watu huwezi pata wazo la kufahamiana nao hata kidunchu.
hamna ubaya kujuana,unless hujiamini......mtu akikujia na mbovu mbovu zake kisa anakufahamu si na wewe unamjibia mbovu tu?
yaani baby Husn kweli kweli kabisa yamekuwa hayo,poa bana!
mbona wewe unafahamiana na Rejao,shauri ya mpua?
Spot on.i concur with you TF,na proof ya hili ni jinsi watu wanavyotaniana humu ndani hata kama hawajuani,na si wote wanataniana,mfano spirin anamtania Klloro na malaria sugu,Kaizer anamtania Ashadii,SL ,AD, Husn wanamtania
TF n.k you see kutaniana means they are comfortable with each other hata kama hawafahamiani kwa sura.Na kuna watu humu ma long timer katu hawataniani mfano Lizzy na Dena....you see? Kwa hiyo hata kama hatufahamiani lakini suala la vibe liko pale pale.
Just an observation,msinitoe macho mwanawane!
kama mimi na wewe tulivyofahamiana baada ya kujenga uamnifu,au sio kongosho?
Ha ha ha...hii kali!.Unapanga Kukutana na Mtu kama Boflo halafu kwa Mshangao unakuta kwamba Boflo ni Baba yako LoL!
Ha ha ha...hii kali!.
kama vile ambavyo mi na wewe hatudhuriani,au vipi?
Hapo inabidi mtu uwe mpole tu...he he he.Au Bujibuji teh teh teh
mbona wewe unafahamiana na Rejao,shauri ya mpua?