Kufanana na Mdingi namna hii, poa sana !

Hata hapa TZ kuna mtu ukimwambia kuwa jana umelala na njaa anakushangaa sana! Wapo sana hapa Duniani watu wenye maisha kama ya huyo Dogo!

Kweli kama ilivyo kwa watoto wetu kuhusu kupanda Public Bus(Daladala).Sijui kama itatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…