Kufananisha mafuriko ya Rufiji na yanayotokea sehemu nyingine ya nchi ni kutaka kuficha udhaifu wa viongozi na watendaji

Mbogi

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2021
Posts
803
Reaction score
997
Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji.

Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu,

1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa ambalo sasa inakwenda kumezwa Rufiji nzima haiwezi kuwa sawa na kujaa kwa maji katika mitaro, barabara na sehemu ndogo jirani na miundo mbinu hiyo, tofauti na huko Rufiji ambako tunaona kimo cha nyumba nzima ikizama majini.

2. Hayo yanayoitwa mafuriko ktk maeneo mengine huchukua muda mfupi usiozidi wiki moja kuisha na kisha shughuli zingine kuendelea na hii hudhihirisha sababu yake kuwa ni mvua, yatofauti na Rufiji ambako yalianza tangu kutangazwa kwa bwawa kujaa na hadi sasa hakuna dalili ya kupungua bali ni kuongezeka kwa namna hii ni wazi Rufiji ipo sababu ya ziada ya mafuriko hayo

3. Kufananisha mafuriko yoyote na yale ya Rufiji ni kuwahadaa wananchi na kuwapa viongozi na watendaji nguvu ya kutowajibika ktk uzembe ambao wamekuwa wakiufanya kwa maksudi wakitufanya sisi wananchi kama wajinga.

4. Ikumbukwe kuwa moja ya hoja za kuhalalisha ujenzi wa bwawa la Rufiji ilikuwa ni kupunguza au kumaliza tatizo la mafuriko lililowahi tokea kwa kujenga miundo mbinu mingine saidizi itakayo weza kutumika kwa uzalishaji pale bwawa litakapo kuwa limezidiwa. Sasa tujiulize hali hii iliyo kinyume nini kimetikea?

5. Wanaodai kuwa mvua ni nyingi mwaka huu kiasi cha husabanisha hayo mafuriko ya Rufiji, nao pia ni uongo kwa sababu bado mvua za mwaka huu hazijawa nyingi kufikia vipimo vya miaka ya nyuma ambayo haikuwahi kushuhudiwa ukubwa wa mafuriko ya eneo kubwa karibia lote la Rufiji likizama.

Ukweli usemwe, kuteleza si kuanguka, viongozi, watendaji na chawa wao wasiendelee kuwafanya wananchi wajinga kwa kulazimisha sisi wananchi tuione nyeupe huku kukiwa ni giza Totoro "nyeusi"
 
2. Hayo yanayoitwa mafuriko ktk maeneo mengine huchukua muda mfupi usiozidi wiki moja kuisha na shughuli zingine kuendelea tofauti na Rufiji ambako yalianza tangu kutangazwa kwa bwawa kujaa na hadi sasa hakuna dalili ya kupungua bali ni kuongezeka.

3. Kufananisha mafuriko yote na yale ya Rufiji ni kuwahadaa wananchi na kuwapa viongozi na watendaji nguvu ya kutowajibika ktk uzembe ambao wamekuwa wakiufanya kwa maksudi wakitufanya sisi wananchi kama waninga.

4. Ikumbukwe kuwa moja ya hoja za kuhalalisha ujenzi wa bwawa la Rufiji ilikuwa ni kupunguza au kumaliza tatizo la mafuriko lililowahi tokea kwa kujenga miundo mbinu mingine saidizi itakayo weza kutumika kwa uzalishaji pale bwawa litakapo kuwa limezidiwa. Sasa tujiulize hali hii iliyo kinyume nini kimetikea?

5. Wanaodai kuwa mvua ni nyingi mwaka huu kiasi cha husabanisha hayo mafuriko ya Rufiji, nao pia ni uongo kwa sababu bado mvua za mwaka huu hazijawa nyingi kufikia vipimo vya miaka ya nyuma ambayo haikuwahi kushuhudiwa ukubwa wa mafuriko ya eneo kubwa karibia lote la Rufiji likizama.

Ukweli usemwe, kuteleza si kuanguka, viongozi na watendaji na chawa wao wasiendelee kuwafanya wananchi wajinga kwa kulazimisha waone nyeupe huku kukiwa ni giza Totoro "nyeusi"
Lakini mkuu umeshindwa kujustify bwawa la Nyerere limehusikaje

Ungetupa analysis ingetufunza
 
Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji.

Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu,

1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa ambalo sasa inakwenda kumezwa Rufiji nzima haiwezi kuwa sawa na kujaa kwa maji katika mitaro, barabara na sehemu ndogo jirani na miundo mbinu hiyo, tofauti na huko Rufiji ambako tunaona kimo cha nyumba nzima ikizama majini.

2. Hayo yanayoitwa mafuriko ktk maeneo mengine huchukua muda mfupi usiozidi wiki moja kuisha na kisha shughuli zingine kuendelea na hii hudhihirisha sababu yake kuwa ni mvua, yatofauti na Rufiji ambako yalianza tangu kutangazwa kwa bwawa kujaa na hadi sasa hakuna dalili ya kupungua bali ni kuongezeka kwa namna hii ni wazi Rufiji ipo sababu ya ziada ya mafuriko hayo

3. Kufananisha mafuriko yoyote na yale ya Rufiji ni kuwahadaa wananchi na kuwapa viongozi na watendaji nguvu ya kutowajibika ktk uzembe ambao wamekuwa wakiufanya kwa maksudi wakitufanya sisi wananchi kama wajinga.

4. Ikumbukwe kuwa moja ya hoja za kuhalalisha ujenzi wa bwawa la Rufiji ilikuwa ni kupunguza au kumaliza tatizo la mafuriko lililowahi tokea kwa kujenga miundo mbinu mingine saidizi itakayo weza kutumika kwa uzalishaji pale bwawa litakapo kuwa limezidiwa. Sasa tujiulize hali hii iliyo kinyume nini kimetikea?

5. Wanaodai kuwa mvua ni nyingi mwaka huu kiasi cha husabanisha hayo mafuriko ya Rufiji, nao pia ni uongo kwa sababu bado mvua za mwaka huu hazijawa nyingi kufikia vipimo vya miaka ya nyuma ambayo haikuwahi kushuhudiwa ukubwa wa mafuriko ya eneo kubwa karibia lote la Rufiji likizama.

Ukweli usemwe, kuteleza si kuanguka, viongozi, watendaji na chawa wao wasiendelee kuwafanya wananchi wajinga kwa kulazimisha sisi wananchi tuione nyeupe huku kukiwa ni giza Totoro "nyeusi"
IMG-20240409-WA0057.jpg
 
Ukweli huu hapa wanamchi wenyewe wa Rufuji hawana shida na hayo mafuriko sikikiza mzee huyu kwao kawaida tu

View: https://youtu.be/2F3ASLW3sPY?si=iutj4TMUBMwpA3aY

Moja kati za majukumu ya serikali ni kutoa elimu na ushawishi kwa wananchi wake pale inapoona wako ktkt hali ya hatari waishio mabondeni, kwa maana hii bado serikali ilipaswa kuwaondoa ktk maeneo hayo mapema kama ambavyo tumeshuhudia wengine wakiondolewa mabondeni ktk sehemu mbalimbali.

Hata hivyo bado maelezo ya mwananchi huyo yanao ukakasi kidogo kwa kuangalia uhalisia wa madhari ya picha za mafuriko, huyo anasema mafuriko hayo hata mwaka miaka minne nyuma yamekuwepo, jiulize nyumba hizo zinazonekana zingeweza kuwa hivyo kama mafuriko kama haya yangetokea miaka minne iliyopita?

Hakuna anayekataa kuwa mafuriko hayakuwahi tokea Rufiji bali ni kwamba hayajawahi fikia kiwango hiki hata huyo mwananchi anyesema 1974 hayakufikia kiwango hiki na kipindi hicho mvua ilikuwa kubwa Sana kuliko hii ya sasa
 
Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji.

Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu,

1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa ambalo sasa inakwenda kumezwa Rufiji nzima haiwezi kuwa sawa na kujaa kwa maji katika mitaro, barabara na sehemu ndogo jirani na miundo mbinu hiyo, tofauti na huko Rufiji ambako tunaona kimo cha nyumba nzima ikizama majini.

2. Hayo yanayoitwa mafuriko ktk maeneo mengine huchukua muda mfupi usiozidi wiki moja kuisha na kisha shughuli zingine kuendelea na hii hudhihirisha sababu yake kuwa ni mvua, yatofauti na Rufiji ambako yalianza tangu kutangazwa kwa bwawa kujaa na hadi sasa hakuna dalili ya kupungua bali ni kuongezeka kwa namna hii ni wazi Rufiji ipo sababu ya ziada ya mafuriko hayo

3. Kufananisha mafuriko yoyote na yale ya Rufiji ni kuwahadaa wananchi na kuwapa viongozi na watendaji nguvu ya kutowajibika ktk uzembe ambao wamekuwa wakiufanya kwa maksudi wakitufanya sisi wananchi kama wajinga.

4. Ikumbukwe kuwa moja ya hoja za kuhalalisha ujenzi wa bwawa la Rufiji ilikuwa ni kupunguza au kumaliza tatizo la mafuriko lililowahi tokea kwa kujenga miundo mbinu mingine saidizi itakayo weza kutumika kwa uzalishaji pale bwawa litakapo kuwa limezidiwa. Sasa tujiulize hali hii iliyo kinyume nini kimetikea?

5. Wanaodai kuwa mvua ni nyingi mwaka huu kiasi cha husabanisha hayo mafuriko ya Rufiji, nao pia ni uongo kwa sababu bado mvua za mwaka huu hazijawa nyingi kufikia vipimo vya miaka ya nyuma ambayo haikuwahi kushuhudiwa ukubwa wa mafuriko ya eneo kubwa karibia lote la Rufiji likizama.

Ukweli usemwe, kuteleza si kuanguka, viongozi, watendaji na chawa wao wasiendelee kuwafanya wananchi wajinga kwa kulazimisha sisi wananchi tuione nyeupe huku kukiwa ni giza Totoro "nyeusi"
TUkuamini wewe mwenye chuki na usiye na elimu yoyote au tuwaamini wataalamu wetu,poor you.
 
Attachments

  • 434023459_844654391038458_3652656629156941309_n.jpg
    434023459_844654391038458_3652656629156941309_n.jpg
    122 KB · Views: 5

Hayo mafuriko mnasema tu lakini wala hakuna picha na video kama ushahidi ili tujionee kama kweli mafuriko hayo yako kama mnavyosema. Tafadhali ambatanisha na kavideo au picha
 
Unauliza mafuriko rufiji huko yamekuwepo hata kabla ya uwepo wa Bwawa
 
TUkuamini wewe mwenye chuki na usiye na elimu yoyote au tuwaamini wataalamu wetu,poor you.
Kuona hakuhitaji elimu, mafuriko tunayaona elimu gani tena, hao wenye elimu ndo wametuongezea matatizo na wala hakuna chuki yoyote bali tu tatizo litatuliwe na siyo kuhadaa hata yale yanayoonekan
 
Nijibu kama gavoo yetu imesema mafuriko hayahusiani na bwawa ila wewe unasema chanzo ni bwawa tuamini wewe au gavoo
 
Basi nasi tujiulize, walituambia kuwa ujenzi wa bwawa utapunguza au kuondoa mafuriko sas je imekuwaje mafuriko yametokea na kuwa makubwa kuliko yaliayowahi kutokea.
 
Back
Top Bottom