Tuanzie nguvu halisi ya kuvutaLabda zingewekwa criteria zinazoshindanishwa hapa.
Labda tena labda unywaji wa mafuta. Lakini sioni chochote ambacho Subaru Forester inaweza kulinganishwa na LC300. Hio ni dharau lwa LC300.Labda zingewekwa criteria zinazoshindanishwa hapa.
Wanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa kiufundi na matumizi halisi ya mazingira yetu ya Tanzania.
Kwanza kabisa, ni muhimu kuelewa haya ni magari ya madaraja mawili tofauti kabisa. Land Cruiser 300 ni full size heavy duty SUV iliyoundwa kwa kazi nzito, safari ndefu, kuvuta mizigo na kupita maeneo magumu. Subaru Forester SJG ni compact SUV yenye AWD nzuri sana kwa matumizi ya kila siku na barabara za mazingira yetu.
Hapo tu tayari tunalinganisha ndizi na nanasi!!
Ukianza na suala la nguvu na torque, hapa LC300 inaongoza bila mjadala. Sasa kule insta kuna dogo naona alipata 'D' ya fizikia naona anadanganya umma nikasema acha nami nitoe maoni yangu hapa!
Injini LC 300 series za V6 twin-turbo (hasa diesel 3.3L kwenye baadhi ya matoleo) zina torque kubwa sana inayofika karibu 700Nm (hii torque ni magari machache sana hapa bongo yanafikia US wanafikia hii sababu ya aina ya magari wanayopendelea kumiliki yaani premium higher performance vehicles).
Hii 700 si torque ya kimasihara asee! sio mchezo (kwa asieelewa torque hii ni kama nguvu ya mtu anayesukuma mlango mzito kadri anavyokuwa na nguvu ndivyo mlango unavyofunguka kirahisi).
Torque ya LC ni ya kuvuta trailer, kupanda milima na kusukuma gari zito kwenye matope au mchanga mzito bila kusumbuka. Sasa hii forester SJG hata ile ya turbo 2.0XT, ina nguvu nzuri kwa daraja lake lakini haiwezi kulinganishwa na torque ya LC300. Hii ni physics tu ya watengenezaji, si mapenzi ya brand naona dogo kule analeta tu mapenzi ya subaru!
Ukija kwenye mfumo wa uendeshaji, Subaru anajulikana kwa 'symmetrical AWD' yake ambayo ni bora sana kwa utulivu wa ndinga barabarani, mvua, kona na barabara za udongo zisizo kali. Lakini LC300 iko level nyingine. Ina low-range gearbox, diff lock, crawl control, multi-terrain select na mfumo wa E-KDSS unaosaidia suspension kujirekebisha kwenye off-road ngumu. Hii ina maana LC300 imeundwa kupita sehemu ambazo Forester itahitaji dereva awe makini sana au aishie kugeuza.
Ground clearance na uwezo wa kuvuka maji na matuta pia ni tofauti. LC300 iko juu zaidi, ina clearance kubwa na uwezo wa kuvuka maji marefu zaidi. Hii ndiyo sababu utaona mashirika, miradi ya ujenzi, safari za porini na hata watu wa mikoani wanaitegemea sana Land Cruiser. Ni gari la kuaminika kwenye mazingira ambayo barabara si lami tu.
Kwenye suala la kuvuta trela na kubeba mizigo, LC300 inaweza kuvuta hadi tani 3.5 bila shida. Hapa Forester haipo hata karibu. Forester ni nzuri kwa familia, safari za kawaida na matumizi ya mjini na highway, lakini si gari la kuvuta trela nzito au kubeba kazi nzito kila siku.
Lakini kusema SJG inaweza kuipiku LC300 kwa uwezo wa jumla wa kiutendaji na off-road ya kueleweka kama kule kwetu igowole, hapo tunakuwa tunajipa moyo tu. LC300 imejengwa kwa filosofi ya 'durability', torque na mazingira tata.
Kwa mazingira yetu kibongobongo, ukiongelea safari za mbali, barabara mbovu, kuvuka mito, kubeba mizigo au matumizi ya kikazi, LC300 bado ni mfalme. Ukiongelea matumizi ya kila siku, gharama nafuu za uendeshaji na comfort ya familia, Forester SJG inafanya kazi vizuri sana.
Mwisho wa siku, si kila comparison ni battle. Wakati mwingine ni kuelewa gari limeundwa kwa kazi gani. LC300 na Forester SJG kila moja ina nafasi yake lakini kwenye uwezo wa kiufundi na off-road serious, LC300 iko daraja lingine kabisa madogo na timu subaru acheni LC awe LC hata LC series ya nyuma inamkalisha huyo subaru wenu.View attachment 3546983
Wanabodi mliowahi kumiliki au kuendesha zote mbili kwenye mazingira ya Tanzania, mna uzoefu gani halisi? Tupeane uhalisia badala ya ushabiki wa brand.
sawa ila hata ukitumia logic ya kawaida tu bado haiwezekani kuziweka gari hizi kwenye mizani moja. Facts zenyewe zinakataa. Ukichukua kigezo kimoja tu cha horsepower, tofauti yake ni kubwa sana: moja ina hp 409, nyingine hp 250. Hapo tayari unaona haziko ligi moja.Motech-i anapambanisha haya magari kwenye suala la mbio tu, yaani kukimbizana barabarani mfano useme kuwe na ligi ya nani atawahi kufika Dodoma n.k
Labda uzi wako ungejikita hapo zaidi ya hizo physics nyingine ambazo yule fundi hakuwa anazilinganisha...
Isanga wewe ni mkongwe mwenzangu uwezo LC hata versions za nyuma unaujua umeshaendesha barabarani aina nyingi za gari sijui msimamo wako ila kwangu kufananisha LC 300s na kasubaru ni matusi, binafsi nimeshaendesha X5 versions kama 2 tofauti lakini siwezi kukubaliana na hawa GenZ labda ifanyike ligi kwenye open space moja huu ubishi uishe LC ile sio gari ni likitu fulani hivi kaa jini linalopita road!Subaru wametoa version mpya 6 generation na hybrid car ya 2025 N'yadikwa unaizungumzia hiyo ina 2.5L petrol maana naziona tu road hapa..
Mkuu naomba unisikilize vizuri hizi gari za vijana zipe heshima yao hasa hii ya 2025 tunaachwa usiweke ligi..Isanga wewe ni mkongwe mwenzangu uwezo LC hata versions za nyuma unaujua umeshaendesha barabarani aina nyingi za gari sijui msimamo wako ila kwangu kufananisha LC 300s na kasubaru ni matusi, binafsi nimeshaendesha X5 versions kama 2 tofauti lakini siwezi kukubaliana na hawa GenZ labda ifanyike ligi kwenye open space moja huu ubishi uishe LC ile sio gari ni likitu fulani hivi kaa jini linalopita road!
Mkuu naomba unisikilize vizuri hizi gari za vijana zipe heshima yao hasa hii ya 2025 tunaachwa usiweke ligi..
Pia zipo gari ndogo zinachanganya haraka sana kuliko hizi kubwa na Torque zake kubwa kuliko hii ndogo fatilia utakuja kunipa jibu mimi nakua na mashine road ila napitwa na gari ndogo ambayo kimaandishi hazifanani..
Nikiipata huku yard hiyo nayozungumzia ntaipiga picha unielewe vizuri..
Mkuu maelezo uliyotoa ni kweli kabisa , lakini kwenye suala la peformance Sjg inatoa upinzani mkubwa sana kwa Lc300 ni dhahiriWanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa kiufundi na matumizi halisi ya mazingira yetu ya Tanzania.
Kwanza kabisa, ni muhimu kuelewa haya ni magari ya madaraja mawili tofauti kabisa. Land Cruiser 300 ni full size heavy duty SUV iliyoundwa kwa kazi nzito, safari ndefu, kuvuta mizigo na kupita maeneo magumu. Subaru Forester SJG ni compact SUV yenye AWD nzuri sana kwa matumizi ya kila siku na barabara za mazingira yetu.
Hapo tu tayari tunalinganisha ndizi na nanasi!!
Ukianza na suala la nguvu na torque, hapa LC300 inaongoza bila mjadala. Sasa kule insta kuna dogo naona alipata 'D' ya fizikia naona anadanganya umma nikasema acha nami nitoe maoni yangu hapa!
Injini LC 300 series za V6 twin-turbo (hasa diesel 3.3L kwenye baadhi ya matoleo) zina torque kubwa sana inayofika karibu 700Nm (hii torque ni magari machache sana hapa bongo yanafikia US wanafikia hii sababu ya aina ya magari wanayopendelea kumiliki yaani premium higher performance vehicles).
Hii 700 si torque ya kimasihara asee! sio mchezo (kwa asieelewa torque hii ni kama nguvu ya mtu anayesukuma mlango mzito kadri anavyokuwa na nguvu ndivyo mlango unavyofunguka kirahisi).
Torque ya LC ni ya kuvuta trailer, kupanda milima na kusukuma gari zito kwenye matope au mchanga mzito bila kusumbuka. Sasa hii forester SJG hata ile ya turbo 2.0XT, ina nguvu nzuri kwa daraja lake lakini haiwezi kulinganishwa na torque ya LC300. Hii ni physics tu ya watengenezaji, si mapenzi ya brand naona dogo kule analeta tu mapenzi ya subaru!
Ukija kwenye mfumo wa uendeshaji, Subaru anajulikana kwa 'symmetrical AWD' yake ambayo ni bora sana kwa utulivu wa ndinga barabarani, mvua, kona na barabara za udongo zisizo kali. Lakini LC300 iko level nyingine. Ina low-range gearbox, diff lock, crawl control, multi-terrain select na mfumo wa E-KDSS unaosaidia suspension kujirekebisha kwenye off-road ngumu. Hii ina maana LC300 imeundwa kupita sehemu ambazo Forester itahitaji dereva awe makini sana au aishie kugeuza.
Ground clearance na uwezo wa kuvuka maji na matuta pia ni tofauti. LC300 iko juu zaidi, ina clearance kubwa na uwezo wa kuvuka maji marefu zaidi. Hii ndiyo sababu utaona mashirika, miradi ya ujenzi, safari za porini na hata watu wa mikoani wanaitegemea sana Land Cruiser. Ni gari la kuaminika kwenye mazingira ambayo barabara si lami tu.
Kwenye suala la kuvuta trela na kubeba mizigo, LC300 inaweza kuvuta hadi tani 3.5 bila shida. Hapa Forester haipo hata karibu. Forester ni nzuri kwa familia, safari za kawaida na matumizi ya mjini na highway, lakini si gari la kuvuta trela nzito au kubeba kazi nzito kila siku.
Lakini kusema SJG inaweza kuipiku LC300 kwa uwezo wa jumla wa kiutendaji na off-road ya kueleweka kama kule kwetu igowole, hapo tunakuwa tunajipa moyo tu. LC300 imejengwa kwa filosofi ya 'durability', torque na mazingira tata.
Kwa mazingira yetu kibongobongo, ukiongelea safari za mbali, barabara mbovu, kuvuka mito, kubeba mizigo au matumizi ya kikazi, LC300 bado ni mfalme. Ukiongelea matumizi ya kila siku, gharama nafuu za uendeshaji na comfort ya familia, Forester SJG inafanya kazi vizuri sana.
Mwisho wa siku, si kila comparison ni battle. Wakati mwingine ni kuelewa gari limeundwa kwa kazi gani. LC300 na Forester SJG kila moja ina nafasi yake lakini kwenye uwezo wa kiufundi na off-road serious, LC300 iko daraja lingine kabisa madogo na timu subaru acheni LC awe LC hata LC series ya nyuma inamkalisha huyo subaru wenu.View attachment 3546983
Wanabodi mliowahi kumiliki au kuendesha zote mbili kwenye mazingira ya Tanzania, mna uzoefu gani halisi? Tupeane uhalisia badala ya ushabiki wa brand.
Kwa maana ya hp unataka kusema land cruiser 1hd fte na hp zake 201 haiwezi ipita yutong kisa ina hp 360?Wanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa kiufundi na matumizi halisi ya mazingira yetu ya Tanzania.
Kwanza kabisa, ni muhimu kuelewa haya ni magari ya madaraja mawili tofauti kabisa. Land Cruiser 300 ni full size heavy duty SUV iliyoundwa kwa kazi nzito, safari ndefu, kuvuta mizigo na kupita maeneo magumu. Subaru Forester SJG ni compact SUV yenye AWD nzuri sana kwa matumizi ya kila siku na barabara za mazingira yetu.
Hapo tu tayari tunalinganisha ndizi na nanasi!!
Ukianza na suala la nguvu na torque, hapa LC300 inaongoza bila mjadala. Sasa kule insta kuna dogo naona alipata 'D' ya fizikia naona anadanganya umma nikasema acha nami nitoe maoni yangu hapa!
Injini LC 300 series za V6 twin-turbo (hasa diesel 3.3L kwenye baadhi ya matoleo) zina torque kubwa sana inayofika karibu 700Nm (hii torque ni magari machache sana hapa bongo yanafikia US wanafikia hii sababu ya aina ya magari wanayopendelea kumiliki yaani premium higher performance vehicles).
Hii 700 si torque ya kimasihara asee! sio mchezo (kwa asieelewa torque hii ni kama nguvu ya mtu anayesukuma mlango mzito kadri anavyokuwa na nguvu ndivyo mlango unavyofunguka kirahisi).
Torque ya LC ni ya kuvuta trailer, kupanda milima na kusukuma gari zito kwenye matope au mchanga mzito bila kusumbuka. Sasa hii forester SJG hata ile ya turbo 2.0XT, ina nguvu nzuri kwa daraja lake lakini haiwezi kulinganishwa na torque ya LC300. Hii ni physics tu ya watengenezaji, si mapenzi ya brand naona dogo kule analeta tu mapenzi ya subaru!
Ukija kwenye mfumo wa uendeshaji, Subaru anajulikana kwa 'symmetrical AWD' yake ambayo ni bora sana kwa utulivu wa ndinga barabarani, mvua, kona na barabara za udongo zisizo kali. Lakini LC300 iko level nyingine. Ina low-range gearbox, diff lock, crawl control, multi-terrain select na mfumo wa E-KDSS unaosaidia suspension kujirekebisha kwenye off-road ngumu. Hii ina maana LC300 imeundwa kupita sehemu ambazo Forester itahitaji dereva awe makini sana au aishie kugeuza.
Ground clearance na uwezo wa kuvuka maji na matuta pia ni tofauti. LC300 iko juu zaidi, ina clearance kubwa na uwezo wa kuvuka maji marefu zaidi. Hii ndiyo sababu utaona mashirika, miradi ya ujenzi, safari za porini na hata watu wa mikoani wanaitegemea sana Land Cruiser. Ni gari la kuaminika kwenye mazingira ambayo barabara si lami tu.
Kwenye suala la kuvuta trela na kubeba mizigo, LC300 inaweza kuvuta hadi tani 3.5 bila shida. Hapa Forester haipo hata karibu. Forester ni nzuri kwa familia, safari za kawaida na matumizi ya mjini na highway, lakini si gari la kuvuta trela nzito au kubeba kazi nzito kila siku.
Lakini kusema SJG inaweza kuipiku LC300 kwa uwezo wa jumla wa kiutendaji na off-road ya kueleweka kama kule kwetu igowole, hapo tunakuwa tunajipa moyo tu. LC300 imejengwa kwa filosofi ya 'durability', torque na mazingira tata.
Kwa mazingira yetu kibongobongo, ukiongelea safari za mbali, barabara mbovu, kuvuka mito, kubeba mizigo au matumizi ya kikazi, LC300 bado ni mfalme. Ukiongelea matumizi ya kila siku, gharama nafuu za uendeshaji na comfort ya familia, Forester SJG inafanya kazi vizuri sana.
Mwisho wa siku, si kila comparison ni battle. Wakati mwingine ni kuelewa gari limeundwa kwa kazi gani. LC300 na Forester SJG kila moja ina nafasi yake lakini kwenye uwezo wa kiufundi na off-road serious, LC300 iko daraja lingine kabisa madogo na timu subaru acheni LC awe LC hata LC series ya nyuma inamkalisha huyo subaru wenu.View attachment 3546983
Wanabodi mliowahi kumiliki au kuendesha zote mbili kwenye mazingira ya Tanzania, mna uzoefu gani halisi? Tupeane uhalisia badala ya ushabiki wa brand.
Mkuu maelezo uliyotoa ni kweli kabisa , lakini kwenye suala la peformance Sjg inatoa upinzani mkubwa sana kwa Lc300 ni dhahiri
, Lc300 anaachwa mbali na sjg
Lakini sio kwa
Mkuu pana vitu unachanganya nimesema Torque ndio inahusika na gari kuchanganya na si horsepower Scania G 460 ina horsepower 333 ila ina nguvu ya kuvuta mzigo mkubwa kuliko LC 300 yenye horsepower 409...hapo utakuta Scania Torque yake inasoma zaidi ya 1000 wakati LC imepunguzwa na unapoona Torque kwenye hizi gari ikisoma 5 jua kuna 000 mbele..sasa kwenye ishu ya mwendo nguvu ina sehemu ndogo sana ni kama Trekta ina HP kubwa ila haina nguvu ya kuchanganya haraka..Mkuu maelezo uliyotoa ni kweli kabisa , lakini kwenye suala la peformance Sjg inatoa upinzani mkubwa sana kwa Lc300 ni dhahiri
, Lc300 anaachwa mbali na sjg
Lakini sio kwa hizi zebye horsepower 409, uzoefu ulio nao ni wa pande chache jaribu siku moja utabadili mtazamo wako
Shida mnanunua magari kwa sababu umeyaona Serikali inayatumia ila ungekua na chaguo la kuona magari tofauti mengi usingeandika ulichoandika hapa...Nlwe na hela ninunue subaru? niache lc nitakuwa mwehu.