RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,444
- 2,032
Mkuu, usiumie kichwa. LC300 ni next level. Ina speed sana kulinganisha na Land Cruisers za nyuma yake, na magari mengine mengi tu.Ikiwa kigezo ni KUCHANGANYA SPEED upesi wakati wa kuanza kuondoka……. Yes kuna magari mengi sana madogo yanaweza kuizidi LC300 kwenye KUANZA
LAKINI hii haiondoi ukweli kwamba LC300 ni gari BORA tena mbali kabisa kuliko Subaru SJG karibu kwenye kila idara…..,,, Hawapo Daraja moja hata kidogo
Mind you that
DAR to DOM
Ikiwa kila kitu kitakua sawa, mfano madereva wenye ujuzi sawa, barabara iwe nyeupe kama msafara wa rais😂,
Kuanzia Dar hadi kama kibaha hivi SJG itaongoza halafu taratibu zikianza kona na vilima hapo ndio LC300 atakuja kucover na kuipita SJG
Mwisho wa safari mshindi atakua LC300
Lakini ikiwa barabara itakua busy mara upunguze speed halafu uanze kuchanganya tena ku overtake, mijini nk……. Hapo Subaru ataweza kumsumbua LC300
Kwenye Rough road ndio kabisaaaa
Mfano Singida via Itigi to Mbeya…… yaani LC300 atakua kashafika mbeya kaoga na yuko zake baa ana bia kama ya 5 hivi ndio Subaru ataingia Mbeya
Mkuu achana na ile mashine imeandikwa VX-R. OG sio badge. Hio mashine kuna mtu alikuwa na Golf GTi aliitafuta mpaka Golf inasoma 240kph LC imekaa mbele. Tena ile ilikuwa LC200.Muache kutuchosha sasa lc 300 haina maajabu yoyote kwenye mbio hata muitete vipi mara mlimani sijui nini ,mara rough road
Umenikumbusha kuna jamaa yangu alikuwa na Disco 4 3.0Mkuu, usiumie kichwa. LC300 ni next level. Ina speed sana kulinganisha na Land Cruisers za nyuma yake, na magari mengine mengi tu.
Ila kwa upande speed, inazidiwa au inaweza kuzidiwa na magari mengine mengi tu. Hata ya Toyota, hasa yale yaliyotengenezwa kwa ajili ya mbio (e.g GR Corolla, GR Yaris, Rav4 Prime).
Ila haya yote hayatii mguu kwenye LC300 kama gari. Sababu haikutengenezwa kwa sababu ya kukimbizana. SUV zote hazijatengenezwa kwa mbio, physics (e.g higher centre of gravity, body on frame contruction, body roll, uzito mkubwa etc) yake inakataa.
SUV Inaweza kuwa na mbio kuliko gari dogo kwenye straight line, ila kwenye kona ikawa hatari kupita kwa kasi kubwa. Wakati gari dogo vile centre of gravity yake iko chini, linaweza kupita kwenye kona kwa kasi zaidi bila kuhatarisha maisha ya gari na dereva.
Isanga umeendesha LC 300. Unapozungumzia uwezo wa gari yaani speed na uthabiti wake barabarani huwezi kufananisha LC 300 na kibunju chochote cha Gen Z yaani hakipo kabisa nakataa na naweza kubet hata 20 M.Mkuu naomba unisikilize vizuri hizi gari za vijana zipe heshima yao hasa hii ya 2025 tunaachwa usiweke ligi..
Pia zipo gari ndogo zinachanganya haraka sana kuliko hizi kubwa na Torque zake kubwa kuliko hii ndogo fatilia utakuja kunipa jibu mimi nakua na mashine road ila napitwa na gari ndogo ambayo kimaandishi hazifanani..
Nikiipata huku yard hiyo nayozungumzia ntaipiga picha unielewe vizuri..
Mkuu LC 300 ni ya miaka ya karibuni na Subaru pia ni ya mwaka 2026 ukisema una bet utaliwa mimi hizi gari naleta nyingi za wateja kutokea SA naposema nyingi namaanisha nyingi..Isanga umeendesha LC 300. Unapozungumzia uwezo wa gari yaani speed na uthabiti wake barabarani huwezi kufananisha LC 300 na kibunju chochote cha Gen Z yaani hakipo kabisa nakataa na naweza kubet hata 20 M.
Yaani uchukue LC 300 457 horsepower na torque ya 790 uje ufananishe na Subaru SJG yenye hp 280? aah bwana tuongee kitaalamu tuache masikhara, LC 300 lile ni jini kama hujawahi liendesha azima au nenda Automark pale Dar kaombe test driving utakuja useme!
Hakuna kibunju chochote cha Gen Z kinasogelea ule moto, hapa tuongee kitaalamu sio kishabiki...nenda hata kwenye forums mbalimbali online utaona rating ya LC 300ds hilo dude mjapani kaweka bar hakuna anaefikia vile viwango
We unaleta za wateja, mimi nazitengeneza deile kiongozi njoo inbox nikukaribishe gereji Mwenge, jirani na Coca-Cola ulizia Atlantic kisha sema unamtafuta Mnyalu.Mkuu LC 300 ni ya miaka ya karibuni na Subaru pia ni ya mwaka 2026 ukisema una bet utaliwa mimi hizi gari naleta nyingi za wateja kutokea SA naposema nyingi namaanisha nyingi..
[emoji23][emoji23][emoji23]Waendesha Subaru akili yao muda wote inawaza mbio tu, ndio akili yao ilipoishia
Wee unaendesha ipi Mr miongozo??
[emoji23][emoji23][emoji23]Ikiwa kigezo ni KUCHANGANYA SPEED upesi wakati wa kuanza kuondoka……. Yes kuna magari mengi sana madogo yanaweza kuizidi LC300 kwenye KUANZA
LAKINI hii haiondoi ukweli kwamba LC300 ni gari BORA tena mbali kabisa kuliko Subaru SJG karibu kwenye kila idara…..,,, Hawapo Daraja moja hata kidogo
Mind you that
DAR to DOM
Ikiwa kila kitu kitakua sawa, mfano madereva wenye ujuzi sawa, barabara iwe nyeupe kama msafara wa rais[emoji23],
Kuanzia Dar hadi kama kibaha hivi SJG itaongoza halafu taratibu zikianza kona na vilima hapo ndio LC300 atakuja kucover na kuipita SJG
Mwisho wa safari mshindi atakua LC300
Lakini ikiwa barabara itakua busy mara upunguze speed halafu uanze kuchanganya tena ku overtake, mijini nk……. Hapo Subaru ataweza kumsumbua LC300
Kwenye Rough road ndio kabisaaaa
Mfano Singida via Itigi to Mbeya…… yaani LC300 atakua kashafika mbeya kaoga na yuko zake baa ana bia kama ya 5 hivi ndio Subaru ataingia Mbeya
[emoji23][emoji23][emoji23]We unaleta za wateja, mimi nazitengeneza deile kiongozi njoo inbox nikukaribishe gereji Mwenge, jirani na Coca-Cola ulizia Atlantic kisha sema unamtafuta Mnyalu. Humu ndani mnaongea kwa hisia sana. Toyota Land Cruiser 300 kwa upande wa Japan haina mpinzani, labda Lexus LX 600 tu na kidoogo Nissan Patrol V8 edition ya mbele hii waliyopewa wastaafu yenye twin turbo. Mashine pekee za kumkalisha LC 300 ni BMW X5 'M', Mercedes-AMG GLE 63 'S', Porsche Cayenne Turbo GT na Audi fulani hivi za hapa mbelembele au SUV electric kv BYD fulani hivi au Jetour G700 hii ina hp 900 na ushee huko. Gari sio HP tu, ni torque + HP. Msipangie magari ligi za hisia. LC 300 anakaribiwa na LX 600, ila kumkalisha vizuri ni hawa Wajerumani tu.
Subaru? yaani subaru yoyote ile hiyo ipeleke ligi ya Altezza na Polo [emoji28] kama mtu haielewi hii fact namvua vyeo vyote na heshima kwamba ni mtu anaeyajua magari!
Vijana mnachekesha sana no wonder panjai anawachania mikeka sana endesheni ma SUV mtagundua kiwango cha ujinga mlichonacho kuhusu performance vehicles kaka zenu na baba zenu tumetoka huko, endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe.SJG ya Singapore mzee inakaa mbele ya LC300 bila shida kabisa . Kwa kigezo cha mbio tu . Sababu magari ya Singapore yana ECU tune ambayo stage 1 tune peke yake Subaru anafika 300-320Hp bila kugusa engine na SJG za Singapore Zina 260top speed
Sasa Kuna kitu tunaita power to weight ratio ngoja nikupe hesabu hapa japo LC ana HP na torque kubwa shida yake ni body lake ni zito.
Ukichukua SJG yenye 310 hp na uzito 1,650 kg:
Power-to-weight ≈ 188 hp/ton
LC300 409 hp kwa 2,500 kg:
≈ 163 hp/ton
Hapo tayari SJG ana advantage ya power-to-weight ratio.
LC300 ana torque 650 Nm, hivyo kutoka 0–100 au 60–120 ana pull kali sana.
Lakini baada ya 180 km/h, torque advantage inapungua na aerodynamic drag inaanza kuamua mshindi. Hapo SJG mwepesi anaweza kuanza kupita.
LC300 10-speed ime-tuned kwa comfort na torque management.
SJG CVT (ikiwa ime-tuned vizuri) inaweza kushikilia peak power band kwa muda mrefu kwenye top-end run.
Bwashee niwe na ford everest hata ya 2022 halafu uje na hiyo subaru mwanzo utaanza kuona gari baadae taa kwambaali halafu hutaniona tena 🤠🤠🤠Subaru ni gari mazee sema wazee tunaona vijana wanaongea tu niliwahi kuwa na Ford ya 2024 naitafuta Daslm kutokea Tunduma nilipofika Iringa nikakutana na bwana mdogo mmoja ana Subaru moja matata sana ahaa kila nikitoa mguu yupo mpaka daslm wakati hiyo mashine gari nyingi zitasoma namba ilikua usiku nikasema hawa wadogo kumbe gari zao ni za ukweli pia..
Niliwahi kuleta Subaru moja siwezi kutuma picha maana nilishaiuza aisee nilitembea bila kuchoka kutoka Jozi mpaka Tunduma mwanzo nilijua ni gari nzito kumbe sio..
Hawa genZ wanazichukulia poa suvyaani LC300 atakua kashafika mbeya kaoga na yuko zake baa ana bia kama ya 5 hivi ndio Subaru ataingia Mbeya
Mkuu unaleta ligi za kutengeneza wakati nakwambia huko kwenye magari mimi nimemaliza maana naendesha gari kwa umbali mrefu ndio kipimo changu Tanzania nipo na Ranger na Hilux ya 2023 chaguo langu ni Range Vellar ya 2023 kuja juu ndio naisotea hiyo...We unaleta za wateja, mimi nazitengeneza deile kiongozi njoo inbox nikukaribishe gereji Mwenge, jirani na Coca-Cola ulizia Atlantic kisha sema unamtafuta Mnyalu. Humu ndani mnaongea kwa hisia sana. Toyota Land Cruiser 300 kwa upande wa Japan haina mpinzani, labda Lexus LX 600 tu na kidoogo Nissan Patrol V8 edition ya mbele hii waliyopewa wastaafu yenye twin turbo. Mashine pekee za kumkalisha LC 300 ni BMW X5 'M', Mercedes-AMG GLE 63 'S', Porsche Cayenne Turbo GT na Audi fulani hivi za hapa mbelembele au SUV electric kv BYD fulani hivi au Jetour G700 hii ina hp 900 na ushee huko. Gari sio HP tu, ni torque + HP. Msipangie magari ligi za hisia. LC 300 anakaribiwa na LX 600, ila kumkalisha vizuri ni hawa Wajerumani tu.
Subaru? yaani subaru yoyote ile hiyo ipeleke ligi ya Altezza na Polo 😅 kama mtu haielewi hii fact namvua vyeo vyote na heshima kwamba ni mtu anaeyajua magari!
Nitamuita Prondo akuelimishe mkongwe mwenzangu vizuri mi nimeshindwq inaonekana magari unayaendesha ila uwezo wake na tofauti zake za performance bado hunamanya ipasavyo. Kama huelewi uwezo wa LC 300 against Subaru! Nachelea kusema magari unajua kuyaendesha tu mkuu ila huyajui vizuri, jielimishe zaidi kiongozi. Wasalaam.Mkuu unaleta ligi za kutengeneza wakati nakwambia huko kwenye magari mimi nimemaliza maana naendesha gari kwa umbali mrefu ndio kipimo changu Tanzania nipo na Ranger na Hilux ya 2023 chaguo langu ni Range Vellar ya 2023 kuja juu ndio naisotea hiyo...
Nimiliki Scania kuanzia mbovu mpaka sasa nipo na G 460 na XT wewe ambae huyajui magari na kumiliki magari mazuri unifundishe mimi si utani huo huwa sipendi kuwaeleza kuwa huko tulishavuka ndio maana tunasema ya wateja ili uone unaeongea nae unaweza kumfundisha...Nitamuita Prondo akuelimishe mkongwe mwenzangu vizuri mi nimeshindwq inaonekana magari unayaendesha ila uwezo wake na tofauti zake za performance bado hunamanya ipasavyo. Kama huelewi uwezo wa LC 300 against Subaru! Nachelea kusema magari unajua kuyaendesha tu mkuu ila huyajui vizuri, jielimishe zaidi kiongozi. Wasalaam.
Hata unywaji wa mafuta wa LC 300 bado ni wa kawaida sana.Labda tena labda unywaji wa mafuta. Lakini sioni chochote ambacho Subaru Forester inaweza kulinganishwa na LC300. Hio ni dharau lwa LC300.
Kitendo cha kujaribu kufikiri kuwa unaweza kuishindanisha Subaru na LC 300 kwa criteria yoyote ile in terms of strength and performance ni sawa na kuwa na ujasiri wa kudhani unaweza kuogelea kutoka Dar to Zanzibar.Labda zingewekwa criteria zinazoshindanishwa hapa.