Haya mambo kwenye karatasi ni mepesi ila ukiingia huko ground na factors za barabarani utakuta ni mbingu na ardhi.SJG ya Singapore mzee inakaa mbele ya LC300 bila shida kabisa . Kwa kigezo cha mbio tu . Sababu magari ya Singapore yana ECU tune ambayo stage 1 tune peke yake Subaru anafika 300-320Hp bila kugusa engine na SJG za Singapore Zina 260top speed
Sasa Kuna kitu tunaita power to weight ratio ngoja nikupe hesabu hapa japo LC ana HP na torque kubwa shida yake ni body lake ni zito.
Ukichukua SJG yenye 310 hp na uzito 1,650 kg:
Power-to-weight ≈ 188 hp/ton
LC300 409 hp kwa 2,500 kg:
≈ 163 hp/ton
Hapo tayari SJG ana advantage ya power-to-weight ratio.
LC300 ana torque 650 Nm, hivyo kutoka 0–100 au 60–120 ana pull kali sana.
Lakini baada ya 180 km/h, torque advantage inapungua na aerodynamic drag inaanza kuamua mshindi. Hapo SJG mwepesi anaweza kuanza kupita.
LC300 10-speed ime-tuned kwa comfort na torque management.
SJG CVT (ikiwa ime-tuned vizuri) inaweza kushikilia peak power band kwa muda mrefu kwenye top-end run.
Nani ananunua range rover kwa mbio za mtaani??Hayo malc300 kwenye mbio ni gari ya kawaida tu ndiyo maana zinapitwa hata na subaru wewe hujiulizi kwanini hao watu wa masubaru huwezi kuta wakishindani mbio na marange rover
Mimi nipe LC 200 ya petrol tu, mazingira yoyote yale, gari nitakayoshindana nayo ni customized special order kwa ajili ya mbio.Ikiwa kigezo ni KUCHANGANYA SPEED upesi wakati wa kuanza kuondoka……. Yes kuna magari mengi sana madogo yanaweza kuizidi LC300 kwenye KUANZA
LAKINI hii haiondoi ukweli kwamba LC300 ni gari BORA tena mbali kabisa kuliko Subaru SJG karibu kwenye kila idara…..,,, Hawapo Daraja moja hata kidogo
Mind you that
DAR to DOM
Ikiwa kila kitu kitakua sawa, mfano madereva wenye ujuzi sawa, barabara iwe nyeupe kama msafara wa rais😂,
Kuanzia Dar hadi kama kibaha hivi SJG itaongoza halafu taratibu zikianza kona na vilima hapo ndio LC300 atakuja kucover na kuipita SJG
Mwisho wa safari mshindi atakua LC300
Lakini ikiwa barabara itakua busy mara upunguze speed halafu uanze kuchanganya tena ku overtake, mijini nk……. Hapo Subaru ataweza kumsumbua LC300
Kwenye Rough road ndio kabisaaaa
Mfano Singida via Itigi to Mbeya…… yaani LC300 atakua kashafika mbeya kaoga na yuko zake baa ana bia kama ya 5 hivi ndio Subaru ataingia Mbeya
Kumbuka mjadala wa huko ig hauzungumzii Subaru za 2026, unazungumzia hizi Subaru second hand zinazoingia na umri wa watoto kwenda shule(7yrs+ ago) halafu ndo zishindanishwa LC300 za mwaka 2025?? kweli??Mkuu LC 300 ni ya miaka ya karibuni na Subaru pia ni ya mwaka 2026 ukisema una bet utaliwa mimi hizi gari naleta nyingi za wateja kutokea SA naposema nyingi namaanisha nyingi..
Mkuu wanafananisha kwenye mbioAcheni ufala wa kufananisha LC 300 na takataka za subaru.
Labda subaru waje na tolea jingine.
Waambieni vijana watakuja kufa wakiwa wachanga. Watu tumeanza kusukuma ndinga tukiwa 20s saiv tunakaribia 40s tunadunda.Mkuu wanafananisha kwenye mbio
Sawa mkuuWaambieni vijana watakuja kufa wakiwa wachanga. Watu tumeanza kusukuma ndinga tukiwa 20s saiv tunakaribia 40s tunadunda.
Ni mbingu na ardhiMkuu wanafananisha kwenye mbio
saw mkuu.Ni mbingu na ardhi
Umeelezea vizuriIkiwa kigezo ni KUCHANGANYA SPEED upesi wakati wa kuanza kuondoka……. Yes kuna magari mengi sana madogo yanaweza kuizidi LC300 kwenye KUANZA
LAKINI hii haiondoi ukweli kwamba LC300 ni gari BORA tena mbali kabisa kuliko Subaru SJG karibu kwenye kila idara…..,,, Hawapo Daraja moja hata kidogo
Mind you that
DAR to DOM
Ikiwa kila kitu kitakua sawa, mfano madereva wenye ujuzi sawa, barabara iwe nyeupe kama msafara wa rais😂,
Kuanzia Dar hadi kama kibaha hivi SJG itaongoza halafu taratibu zikianza kona na vilima hapo ndio LC300 atakuja kucover na kuipita SJG
Mwisho wa safari mshindi atakua LC300
Lakini ikiwa barabara itakua busy mara upunguze speed halafu uanze kuchanganya tena ku overtake, mijini nk……. Hapo Subaru ataweza kumsumbua LC300
Kwenye Rough road ndio kabisaaaa
Mfano Singida via Itigi to Mbeya…… yaani LC300 atakua kashafika mbeya kaoga na yuko zake baa ana bia kama ya 5 hivi ndio Subaru ataingia Mbeya
Niliona LC 200 VX-R 200 ina twin Turbo na top speed speed 260km/hr..Mkuu achana na ile mashine imeandikwa VX-R. OG sio badge. Hio mashine kuna mtu alikuwa na Golf GTi aliitafuta mpaka Golf inasoma 240kph LC imekaa mbele. Tena ile ilikuwa LC200.
I second your opinion.Labda tena labda unywaji wa mafuta. Lakini sioni chochote ambacho Subaru Forester inaweza kulinganishwa na LC300. Hio ni dharau lwa LC300.
Gari toleo jipya kushindana na gari toleo la miaka 7 nyuma hakuna mashibdano hapo wazee huyo Subaru anaonewa kwa umri wake atashindwa..Kumbuka mjadala wa huko ig hauzungumzii Subaru za 2026, unazungumzia hizi Subaru second hand zinazoingia na umri wa watoto kwenda shule(7yrs+ ago) halafu ndo zishindanishwa LC300 za mwaka 2025?? kweli??