Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Unaposema ^walizigundua^ wao, unaokosea sana. Hizi teknolojia kimsingi hazinaga mwenyewe, bali ni mwendelezo na uboreshaji tu toka karne na karne. Usikute wagunduzi halisi wa hizo teknolojia ni Waafrika, ila Wazungu wakazihodhi kimabavu, kama Wamarekani walikaliavyo jimbo la Hawaii kwa sasa.Mashine zote za uchimbaji madini walizingudua nakuanza kuzitumia wao kwanza inawezekana walipoona kwao madini yameisha ikabidi watafute madini nchi zingine waende wachimbe
Nyumbani Kuna wivu,
Kuna Ile comfort zone unakuwa nayo, yaani kwamba biashara ikibuma una option nyingine, uhakika wa kula n.k na hiyo itakubwetekeza
Na nchi yetu yenye tamaduni za kijana utafeli tu
Toka nyumbani, Tanzania kubwa Fanya maisha
kwakweli, popote zitakapokanyaga nyayo zako umepewa kumiliki. imaniJidanganye hivyo hivyo kutoboa unatoboa mahali popote