Usiwekeze kwa mtu ambae hana cha kupoteza , mtu ambae hajatia hata 100 usiweke pesa yako hapoUpewe maua yako kama ni kweli.
Muda pekee hautoshi, nae aweke pesa , sisi hapa tuna 50/50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwekeze kwa mtu ambae hana cha kupoteza , mtu ambae hajatia hata 100 usiweke pesa yako hapoUpewe maua yako kama ni kweli.
Tuelezea aina ya biashara ili tujifunze nasi.Usiwekeze kwa mtu ambae hana cha kupoteza , mtu ambae hajatia hata 100 usiweke pesa yako hapo
Muda pekee hautoshi, nae aweke pesa , sisi hapa tuna 50/50
Acheni kujidanganya ndugu.Mmefanya utafiti?Vibaka,magerezani wamejaa kina nani? Mitaani kulikokubuhu uongo uongo na utapeli wamejaa dini gani? Acheni sentiments za kidwanzi hili ni tatizo kote na hakuna mwenye afadhali,likemewe kwa nguvu zote.Hii imewasaidia sana. Kwa hili wamepiga gap kubwa sana kwa dini nyingine hizi za kwetu.
Kwa hiyo watanzania wote ni kati ya hao ndugu zako watano? Partnership inasumbua sana kwa Africa, lakini hata ughaibuni bado ni shida.Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda muwaogope sana kufanya nao partenership.
Utakufa kwa pressure stress au fatique hao watu bado hawajastaharabika kama Ulaya mnavo ona kwamba bishara zinazo shamiri sana ni zile za ubia/partnership na watu wana aminiana.
Watanzania/waswahili wenzetu wana kila aina ya vitabia vibomvu awe msomi au sio msomi kama haja wahi kuishi nje ya Tanzania usimuamini kibiashara. Wengi ni:
Ili limetokea kwangu ndugu na rafiki zangu zaidi ya watano the most recent ni huyu rafiki yangu wakaribu alio toka Norway baada mwaka jana ya kuka huko miaka zaidi ya 10 kukusanya mtaji. kamuka asubuhi mbia wake kakimbia na mtaji wote na ofisi imefungwa na simu zake zote hazipatikani.
- Waongo
- Sio waminifu kibiashara
- Wezi
- Wavivu wa kufanya kazi
- Matapeli.
- Wanapenda raha sana
- Hupenda kuongea sana na simu hata wakati wa kazi.
- Limbukeni
- Wana showoff za kishamba
- Wanaamini kwenye uchawi.
- Wanafiki nk.
Jamaangu kachanganyikiwa zaidi $35,000 zimepotea anajipanga upya tena kwasbb hawezi kurudi ughaibuni tena. Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako.
Hi ni sampling tu, wewe ukiwa nataka kujua maharage kama yameiva unabonyeza kila harage au unacheki mawili tu?Kwa hiyo watanzania wote ni kati ya hao ndugu zako watano? Partnership inasumbua sana kwa Africa, lakini hata ughaibuni bado ni shida.
Ahahah ahsante mkuu.Pole
2008 mimi nilikua class 2Ahahahahaha..nikiwa form 5 boarding, nilijichanga changa vile vi pocket money nikamuomba mama pale dukan kwake niweke vinywaji nikampa pesa ya kreti kama 7 kwa kuanzia (ilikia 2008)...eeehhh narud likizo ya mwisho kumaliza kidato cha sita kala pesa zangu zote....hakuliongelea hilo wala kuomba msamaha nami nikatulia kimyaaaa 😂😂😂
Hapo unamanisha nini kusema wewe ulikua class 2. ??????????2008 mimi nilikua class 2
Kwamba zile Karo, na tujipesa twa hapa na pale unadhani alitoa wapi au na yeye akianza kudai pesa za lactogen?Ahahahahaha..nikiwa form 5 boarding, nilijichanga changa vile vi pocket money nikamuomba mama pale dukan kwake niweke vinywaji nikampa pesa ya kreti kama 7 kwa kuanzia (ilikia 2008)...eeehhh narud likizo ya mwisho kumaliza kidato cha sita kala pesa zangu zote....hakuliongelea hilo wala kuomba msamaha nami nikatulia kimyaaaa 😂😂😂
Ukiona ujaelewa basi ujue sio ujumbe wako!Hapo unamanisha nini kusema wewe ulikua class 2. ??????????
Ahahahahah aiseee...but now tuko pamoja hapa JF. It is interesting.2008 mimi nilikua class 2
Ni kwel lakin mbona hata hizo pocket money ni wao ndio walikua wakinipa so ilihakiwa anitie moyo kwa kuona sichezei pesa wanazonipa bali nazi thamini. Ila yeye akaona kama sina matumiz nazo sijui??? 😅😅Kwamba zile Karo, na tujipesa twa hapa na pale unadhani alitoa wapi au na yeye akianza kudai pesa za lactogen?
Ofcourse ni wajibu wake kukupa ziwa na uji na hata kaptula yenye viraka ila moccasin, raba mtoni na saa ya kukonyeza hizo ni extra...; Kwahio Mkuu piga Kimya.... (ili mambo yaende huwa tunasema wakubwa hawakosei)
Funika Kombe Mwanaharamu Apite....
Shida sio kuiba. Mishahara tunalipana midogo halafu wale ma top wawili watatu wao ndio wanakatiana mafungu marefu. Shida huanza hapo ukigundua pia wanawapigaga nyie wa chini. 😀Watanzania wameshajenga culture ya kuiba sehemu ya kazi. Infact kuiba kazini inaonekana kama ndiyo ujanja na usipoiba unakuwa mjinga kwa jamii.
Basi tu pesa haikai na ilipata matumizi mengine, am sure angekuwa na za ziada angekuongezea au huenda yeye sio business minded kama wewe..., ukweli ni kwamba Biashara nyingi za Bongo ni zima moto hizo soda zipo dukani ili wageni wakija pia wanye kuliko kununua kwa mangi; sukari ikiisha ni dukani kwahio kanakuwa ni ka mradi fulani hivi kasikokuwa bali kanapigana tafu na wanafamilia (nipe nikupe)Ni kwel lakin mbona hata hizo pocket money ni wao ndio walikua wakinipa so ilihakiwa anitie moyo kwa kuona sichezei pesa wanazonipa bali nazi thamini. Ila yeye akaona kama sina matumiz nazo sijui??? 😅😅
💯🤝Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako