Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
💯🤝Mtu hujawai hata kufuga kuku au kuuza mayai utotoni alfu unakuan kupata dola 100000 kwanin usipigwe vzr
Biashraa lzm uwe na uzoefu hata na cjcjote ndio utawaelewa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯🤝Mtu hujawai hata kufuga kuku au kuuza mayai utotoni alfu unakuan kupata dola 100000 kwanin usipigwe vzr
Biashraa lzm uwe na uzoefu hata na cjcjote ndio utawaelewa watu
Mtanzania ni mnyabumbu 🤣🤣🤣Hata wahindi wana asili ya uaminifu. Mhindi hata akikupiga atahakikisha ameleta faida halafu anakata hapo kidogo. Mtanzania anakula mpaka mtaji.
Uko sahihi sana ahahahaah..nikaona isiwe tabuBasi tu pesa haikai na ilipata matumizi mengine, am sure angekuwa na za ziada angekuongezea au huenda yeye sio business minded kama wewe..., ukweli ni kwamba Biashara nyingi za Bongo ni zima moto hizo soda zipo dukani ili wageni wakija pia wanye kuliko kununua kwa mangi; sukari ikiisha ni dukani kwahio kanakuwa ni ka mradi fulani hivi kasikokuwa bali kanapigana tafu na wanafamilia (nipe nikupe)