Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

Usiwekeze kwa mtu ambae hana cha kupoteza , mtu ambae hajatia hata 100 usiweke pesa yako hapo

Muda pekee hautoshi, nae aweke pesa , sisi hapa tuna 50/50
Tuelezea aina ya biashara ili tujifunze nasi.
 
Biashara za kuaminiana Hapa Bongo
Fanya na wapemba, wasomali au wale waislamu Safi wale wanaosali swala 5 .

Naongea kutokana na uzoefu
sio Maneno ya kuambiwa au kuskia kwa watu.

NB: Mimi Ni mtu wa bara afu mkatoliki[emoji1431]
 
Hii imewasaidia sana. Kwa hili wamepiga gap kubwa sana kwa dini nyingine hizi za kwetu.
Acheni kujidanganya ndugu.Mmefanya utafiti?Vibaka,magerezani wamejaa kina nani? Mitaani kulikokubuhu uongo uongo na utapeli wamejaa dini gani? Acheni sentiments za kidwanzi hili ni tatizo kote na hakuna mwenye afadhali,likemewe kwa nguvu zote.
 
Mtu hujawai hata kufuga kuku au kuuza mayai utotoni alfu unakuan kupata dola 100000 kwanin usipigwe vzr

Biashraa lzm uwe na uzoefu hata na cjcjote ndio utawaelewa watu
 
Kwa hiyo watanzania wote ni kati ya hao ndugu zako watano? Partnership inasumbua sana kwa Africa, lakini hata ughaibuni bado ni shida.
 
Kwa hiyo watanzania wote ni kati ya hao ndugu zako watano? Partnership inasumbua sana kwa Africa, lakini hata ughaibuni bado ni shida.
Hi ni sampling tu, wewe ukiwa nataka kujua maharage kama yameiva unabonyeza kila harage au unacheki mawili tu?
 
Watanzania hawa wa sasa hata mtu akikupa promise usiamini; watu wanawaza kupiga; Taasisi na visheria za Serikali too many red tapes na kila mtu anaamini bakshishi / rushwa ni haki yake; yaani akifanya kitu lazima umlipe akikupa tender lazima mgawane (kwahio hata ukiwa huko ukatuma pesa huku kwa mdau wako huenda utendaji ukawa mgumu kutokana na mambo ya ajabu ajabu / unpredictability ya nchi yetu...)

Ila sifa hii sio sifa ya Watanzania enzi za Mwalimu (wale walikuwa waaminifu) wakti huu watu wanajiona wajanja kukuibia au kukuangamiza (partnership atataka aibe ili ajenge kwake / yake) In short if you can..., do it alone usichoweza bora ufanye outsourcing
 
2008 mimi nilikua class 2
 
Kwamba zile Karo, na tujipesa twa hapa na pale unadhani alitoa wapi au na yeye akianza kudai pesa za lactogen?

Ofcourse ni wajibu wake kukupa ziwa na uji na hata kaptula yenye viraka ila moccasin, raba mtoni na saa ya kukonyeza hizo ni extra...; Kwahio Mkuu piga Kimya.... (ili mambo yaende huwa tunasema wakubwa hawakosei)

Funika Kombe Mwanaharamu Apite....
 
Ni kwel lakin mbona hata hizo pocket money ni wao ndio walikua wakinipa so ilihakiwa anitie moyo kwa kuona sichezei pesa wanazonipa bali nazi thamini. Ila yeye akaona kama sina matumiz nazo sijui??? πŸ˜…πŸ˜…
 
Watanzania wameshajenga culture ya kuiba sehemu ya kazi. Infact kuiba kazini inaonekana kama ndiyo ujanja na usipoiba unakuwa mjinga kwa jamii.
Shida sio kuiba. Mishahara tunalipana midogo halafu wale ma top wawili watatu wao ndio wanakatiana mafungu marefu. Shida huanza hapo ukigundua pia wanawapigaga nyie wa chini. πŸ˜€
 
Ni kwel lakin mbona hata hizo pocket money ni wao ndio walikua wakinipa so ilihakiwa anitie moyo kwa kuona sichezei pesa wanazonipa bali nazi thamini. Ila yeye akaona kama sina matumiz nazo sijui??? πŸ˜…πŸ˜…
Basi tu pesa haikai na ilipata matumizi mengine, am sure angekuwa na za ziada angekuongezea au huenda yeye sio business minded kama wewe..., ukweli ni kwamba Biashara nyingi za Bongo ni zima moto hizo soda zipo dukani ili wageni wakija pia wanye kuliko kununua kwa mangi; sukari ikiisha ni dukani kwahio kanakuwa ni ka mradi fulani hivi kasikokuwa bali kanapigana tafu na wanafamilia (nipe nikupe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…