Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

Kufanya biashara ya ubia partnership na mbongo bora pesa yako ujenge nyumba ya wapangaji

Kuwajenga watoto tangu wakiwa wadogo... nimekuelewa mkuu.

Nimeona maelezo ya mzee Wa NJEE YA BOX (Mh. Kigwangala) mitandaoni, nimeona maelezo yake jinsi alivyoibiwa, na watu aliowaamini. Pia ulisoma michango (comments) za watu wengine nao wanalalamika kuibiwa na ndugu nk. Suluhisho kwa watu ambao hawajajengwa tangu wangali wadogo ni lipi mkuu, kwa uzoefu wako?
Kuhusu hao ambao hawajajengwa tangu wadogo ni ngumu sana lakini kama kungekuwa na sheria ngumu katika mahakama zetu
Ambao ndio chanzo cha wala rushwa

Mimi nimeishi na kutembea sehemu nyingi duniani
Kuna nchi zingine nimekaa miaka mpaka 10 huko middle east ambapo ukiiba unakatwa mkono

Kwa kweli unaacha gari milango wazi unaingia shopping na kurudi hukuti hata paka kaingia

Sisemi na sisi tuwakate mikono ingawa mnawachoma moto waizi wa kuku na kuwashangilia waizi wa billions

Kama mahakama wataacha rushwa na kufuata sheria na kuwafunga kila wanapopata ushahidi wa kuwaweka jela basi na iwe hivyo

Angalia suala la majizi ya bandari TPA mahakama bado wanavutana ili mwisho wawafutie kesi

Hawa ndugu wanaoiba pia nao ni mtihani mkubwa yaani unamtumia hela akujengee yeye anazila tu na kukupigia picha ya jengo la mtu huyo sijui utamfanya nini

Taumbeane tu mema ila kuamini hata ndugu huko ni ngumu labda muwe na uelewa mmoja
 
Na hao wapangaji labda wawe wahindi.

Mtu akifiwa hata na shemeji yake asiyeishi naye ni excuse ya kutokulipa kodi kwa wakati.
 
Pole sana mkuu yalimkuta mzee wangu na sisi tukarudia kosa
Wafugaji wengi wana tamaa sana yaani ikizaa tu anatamani

Sitaki hata kuwasikia [emoji1]
Kuna mmoja alimpa ndugu yake ng'ombe wa naziwa akakaanae miaka 5. Siku aliyoenda kumchukua alimruka wakaaanzisha kesi, sijui mwisho wao ulikuwaje maana nilihama kile kijiji.
 
Kuhusu hao ambao hawajajengwa tangu wadogo ni ngumu sana lakini kama kungekuwa na sheria ngumu katika mahakama zetu
Ambao ndio chanzo cha wala rushwa

Mimi nimeishi na kutembea sehemu nyingi duniani
Kuna nchi zingine nimekaa miaka mpaka 10 huko middle east ambapo ukiiba unakatwa mkono

Kwa kweli unaacha gari milango wazi unaingia shopping na kurudi hukuti hata paka kaingia

Sisemi na sisi tuwakate mikono ingawa mnawachoma moto waizi wa kuku na kuwashangilia waizi wa billions

Kama mahakama wataacha rushwa na kufuata sheria na kuwafunga kila wanapopata ushahidi wa kuwaweka jela basi na iwe hivyo

Angalia suala la majizi ya bandari TPA mahakama bado wanavutana ili mwisho wawafutie kesi

Hawa ndugu wanaoiba pia nao ni mtihani mkubwa yaani unamtumia hela akujengee yeye anazila tu na kukupigia picha ya jengo la mtu huyo sijui utamfanya nini

Taumbeane tu mema ila kuamini hata ndugu huko ni ngumu labda muwe na uelewa mmoja
Mkuu umegusia TPA. Vipi suala la kubinafsisha, ni sahihi?
 
Sio mbongo tu, Mwafrika kwa ujumla Uaminifu hasa katika mambo ya Pesa na ustaarabu ni sifuri Kabisa.
 
Ila sio wote miaka ya 2000 nilisha wahi kutumia babaangu mzazi $8000 anunue viti vya plastic na na vyombo awe anakidishia wana kijiji nyakati za sherehe na msiba kwasbb babaangu alikua kiongozi kwenye hiyo kata, cha kushangaza pesa aliipokea na akaitumia kuboresha nyumba ya bi mdogo wake, ila sikuchukia kwasabb hiyo pesa nilitaka iwesaidie nyumbani na yeye hajawahi kuligusia wala kuniomba msamaha hao ndo wazazi wetu wa Africa " a parent doesn't wrong"
Bongo bahati mbaya chief!
 
Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda muwaogope sana kufanya nao partenership.

Utakufa kwa pressure stress au fatique hao watu bado hawajastaharabika kama Ulaya mnavo ona kwamba bishara zinazo shamiri sana ni zile za ubia/partnership na watu wana aminiana.

Watanzania/waswahili wenzetu wana kila aina ya vitabia vibomvu awe msomi au sio msomi kama haja wahi kuishi nje ya Tanzania usimuamini kibiashara. Wengi ni:
  • Waongo
  • Sio waminifu kibiashara
  • Wezi
  • Wavivu wa kufanya kazi
  • Matapeli.
  • Wanapenda raha sana
  • Hupenda kuongea sana na simu hata wakati wa kazi.
  • Limbukeni
  • Wana showoff za kishamba
  • Wanaamini kwenye uchawi.
  • Wanafiki nk.
Ili limetokea kwangu ndugu na rafiki zangu zaidi ya watano the most recent ni huyu rafiki yangu wakaribu alio toka Norway baada mwaka jana ya kuka huko miaka zaidi ya 10 kukusanya mtaji. kamuka asubuhi mbia wake kakimbia na mtaji wote na ofisi imefungwa na simu zake zote hazipatikani.

Jamaangu kachanganyikiwa zaidi $35,000 zimepotea anajipanga upya tena kwasbb hawezi kurudi ughaibuni tena. Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako.

Serikali yenyewe partnership haiwezi? Sio issue ya Serikali, parnership ni Jambo gumu.

Kwa case ya jamaa issue sio partnership problem, issue ni jamaa ni mwizi kamwibia.
 
Hata ulaya wanapigwa vile vile...

Hapa Tanzania wapo nawajua wanafanya partnership na wamefanikiwa, na hizi mambo zako za kudharau ndugu zako uache.
Tatizo lipo kwenye sheria zetu katika kulinda biashara.

Ni bahati mbaya sana watu wanakosea kuchagua wenza wa kufanya nao biashara.

Ila kingine wengi wanaamini biashara ni walk in thr park, business is hard, very hard, ikiwa ya jumla ndio balaa zaid maana Kuna madeni na gharama nyingi ambazo hukuzitarajia, Sasa kwenye partnership tatizo huwa linaanza kwenye kueleweshana unforeseen costs.

Lakini nirudie tena, njia rahisi sana ya kuwa Tajiri na kufilisika ni kufanya biashara.
Mimi niko kwenye partnership, mimi ndie niko jikon, naeshirikoana nae wala hajawah fika hapa and we are doing soooo good
 
Hii ni kweli, ila pia tatizo lipo kwenu nyie wabia/partners pia.

Engage lawyer, engage Accountant, engage tax consultant, engage corporate intelligence analist fuata ushauri wao uone kama kuna shida itatokea. (Wataalamu wote hao wapo Tz)

Tatizo kubwa wengi wetu tunafanya mambo hasa biashara kienyeji sana, unaweza kukuta kampuni imesajiliwa na ina operate lakini haijawahi kukaa kikao hata siku moja, unajiuliza how?

Sasa mtu anakimbiaje na mtaji wa $35,000 uliopo kwenye biashara?, hiyo biashara ni lazima inaendeshwa kienyeji tu.

Lakini, pole sana Mkuu.
 
Sijadharau mtu mkuu ila huo ni ukweli biashara na mbongo maelezo ni mengi sana na mengi ni uongo ili akupige tu.
Biashara ya kibongo inaendeshwa kienyeji sana, makubaliano ni ya mdomo tu hakuna maandishi wala lo lote kwa hivyo ni rahisi kwa partner kukimbia na fedha.

Jengine ni kuwa mtu hana 'enterpreneurship skills' (mbinu za ujasiriamali) lakini bado unakwenda kumkabidhi duka la milioni 100 halafu kwa makubaliano ya mdomo tu ati akupe (mfano) milioni mbili kila mwezi. Hakuna mahesabu yanayoeleweka na baada ya muda mfupi duka limepotea.

Tatu ni kwamba baada ya muda mfupi anaona kama vile anakupa fedha za bure amesahau kuwa ule mtaji ni wako.
 
Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda muwaogope sana kufanya nao partenership.

Utakufa kwa pressure stress au fatique hao watu bado hawajastaharabika kama Ulaya mnavo ona kwamba bishara zinazo shamiri sana ni zile za ubia/partnership na watu wana aminiana.

Watanzania/waswahili wenzetu wana kila aina ya vitabia vibomvu awe msomi au sio msomi kama haja wahi kuishi nje ya Tanzania usimuamini kibiashara. Wengi ni:
  • Waongo
  • Sio waminifu kibiashara
  • Wezi
  • Wavivu wa kufanya kazi
  • Matapeli.
  • Wanapenda raha sana
  • Hupenda kuongea sana na simu hata wakati wa kazi.
  • Limbukeni
  • Wana showoff za kishamba
  • Wanaamini kwenye uchawi.
  • Wanafiki nk.
Ili limetokea kwangu ndugu na rafiki zangu zaidi ya watano the most recent ni huyu rafiki yangu wakaribu alio toka Norway baada mwaka jana ya kuka huko miaka zaidi ya 10 kukusanya mtaji. kamuka asubuhi mbia wake kakimbia na mtaji wote na ofisi imefungwa na simu zake zote hazipatikani.

Jamaangu kachanganyikiwa zaidi $35,000 zimepotea anajipanga upya tena kwasbb hawezi kurudi ughaibuni tena. Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako.
Umenena kweli mkuu,kakimbia nazo Bado atakuwa maskini!
 
Biashara ya kibongo inaendeshwa kienyeji sana, makubaliano ni ya mdomo tu hakuna maandishi wala lo lote kwa hivyo ni rahisi kwa partner kukimbia na fedha.

Jengine ni kuwa mtu hana 'enterpreneurship skills' (mbinu za ujasiriamali) lakini bado unakwenda kumkabidhi duka la milioni 100 halafu kwa makubaliano ya mdomo tu ati akupe (mfano) milioni mbili kila mwezi. Hakuna mahesabu yanayoeleweka na baada ya muda mfupi duka limepotea.

Tatu ni kwamba baada ya muda mfupi anaona kama vile anakupa fedha za bure amesahau kuwa ule mtaji ni wako.
Umesema ukweli mswahili ukimkabidhi mali zako au pesa akilala nazo siku mbili tu zinabadilika kua zake, sasa wewe unabadilika kua mdai wake, nayeye anaanza kujipa mwoyo huyu ntampoza tu...loh mbogo ni shida ndo maana mpaka leo hari zetu ni zile zile.
 
Umeongea kweli tupu. Mimi naongezea, hata waliovuka mipaka nao wengi wao ni wale wale tu!

Mfano tu, Mwijaku na baba levo wameenda sana ughaibuni, sasa unadhani kwenda ughaibuni kumewabadili lolote kimtazamo?

Sisi ngozi nyeusi shida sana. Ndio maana hatuwezi kusimamia hata biashara ya familia. Yaani huwezi kukuta familia moja inaendeaha biashara kwa pamoja kama walivyo wahindi, waarabu, wazungu n.k.

Sisi ni majungu tu ndio tunaweza
 
Kwanu huyu mwijaku hajawahi kuenda kuka kule kutafuta maisha zaidi ya tour ya mwezi au wiki, hapo bado hawajabadilika tabia, ila kuna waswahili tumeka zaidi ya miaka 10 mpaka 20 tabia zako zina badilika na kukifunza mengi bila hata kujua unaanza kuwaza kwamba na wenzako wako hivyo loh dhubutu mtu anakuja kwako na shida kukopa 50k kwamba atarudisha kesho, kesho yako ile anaisahau anakuja umuazime 100k eti amefiwa hata haya hawana wapumvavu sana.
 
Ahahahahaha..nikiwa form 5 boarding, nilijichanga changa vile vi pocket money nikamuomba mama pale dukan kwake niweke vinywaji nikampa pesa ya kreti kama 7 kwa kuanzia (ilikia 2008)...eeehhh narud likizo ya mwisho kumaliza kidato cha sita kala pesa zangu zote....hakuliongelea hilo wala kuomba msamaha nami nikatulia kimyaaaa 😂😂😂
Pole
 
Back
Top Bottom