MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Mwanaume wa namna hiyo hafai kabisa
Mwanaume wa namna hiyo hafai kabisa
Namba 6 sijakubali mkuu. Ungesema kiunoni sawa. Lakini kuna tatizo gani kushika mikono na mwanaume mwenzio wakati mnatembea. Wakati mwingine rafiki yako anakuwekea mkono begani. Sioni tatizo. Au hujawahi kuwa na maswahiba?

haipendezi mwanaume kutokuwa mbunifu kitandani, mapenzi sio ndani nje nje ndani mwanaume ubunifu....mwanaume ujue jinsi ya kumfikisha mkeo.....
Kwa leo inatosha acha nisave betri tanesco wasgachukua mali zao..... Oooopphhhhsss sorry ya mwisho....
HAIPENDEZI WANAUME KUFANYA KAZI TANESCO
HAIOENDEZI MWANAUME KUWA MUONGO
HAIPENDEZI MWANAUME KUWA TAPELI
HAIPENDEZI MWANAUME KUJIPENDEKEZA KWA BOSS ILI UPATE FAVOUR
yani haipendezi kabisa mume unaoa only to find out that the woman you married is still married somewhere else
Huwa ni mtindi from Tanga fresh.
kwenye red agree
tena haipendezi kabisa mwanaume kuwa na mke anayefanya kazi tanesco