Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Namba 6 sijakubali mkuu. Ungesema kiunoni sawa. Lakini kuna tatizo gani kushika mikono na mwanaume mwenzio wakati mnatembea. Wakati mwingine rafiki yako anakuwekea mkono begani. Sioni tatizo. Au hujawahi kuwa na maswahiba?
 
Haipendezi mwanaume mzee kumsema kijana 'eti kwanini haoi' utamlipia mahari? tulia ajipange kwanza (rejea kaul za wasira kwa Nnasari)
 
Namba 6 sijakubali mkuu. Ungesema kiunoni sawa. Lakini kuna tatizo gani kushika mikono na mwanaume mwenzio wakati mnatembea. Wakati mwingine rafiki yako anakuwekea mkono begani. Sioni tatizo. Au hujawahi kuwa na maswahiba?

Kwa mtizamo wangu, out of salamu siwezi kumshika mkono mwanaume mwenzangu natembea barabarani
 
yani haipendezi kabisa mume unaoa only to find out that the woman you married is still married somewhere else
 
Uwiiii. Unanitisha babu
mnashikana hadi mabega?!

Anyway ni kacha tofauti tofauti.

Namba 6 sijakubali mkuu. Ungesema kiunoni sawa. Lakini kuna tatizo gani kushika mikono na mwanaume mwenzio wakati mnatembea. Wakati mwingine rafiki yako anakuwekea mkono begani. Sioni tatizo. Au hujawahi kuwa na maswahiba?
 
haipendezi mwanaume kutokuwa mbunifu kitandani, mapenzi sio ndani nje nje ndani mwanaume ubunifu....mwanaume ujue jinsi ya kumfikisha mkeo.....

Kwa leo inatosha acha nisave betri tanesco wasgachukua mali zao..... Oooopphhhhsss sorry ya mwisho....

HAIPENDEZI WANAUME KUFANYA KAZI TANESCO

HAIOENDEZI MWANAUME KUWA MUONGO

HAIPENDEZI MWANAUME KUWA TAPELI

HAIPENDEZI MWANAUME KUJIPENDEKEZA KWA BOSS ILI UPATE FAVOUR

kwenye red agree

tena haipendezi kabisa mwanaume kuwa na mke anayefanya kazi tanesco
 
yani haipendezi kabisa mume unaoa only to find out that the woman you married is still married somewhere else

Ndo ndoa za uchumba wa wiki mbili! Hapo mwanaume una tatizo
 
Haipendezi mwanaume unakaa bar unasubiri wanaume wenzako wakuagizie kinywaji
 
haipendezi mwanaume kukojoa hovyo barabarani.....au kutupa taka hovyo barabarani...

Wanaume wanaokojoa hovyo wangetakiwa kutangazwa news za usiku na kusafisha vyoo vya ubungo kama adhabu for two weeks
 
Haipendezi mwanaume unabip, unaomba salio kwa dem wako! Huo sio uanaume..
 
yani haipendezi kabisa kwa mwanaume kuendeshwa na mama mkwe

Usiombe uwe na wakwe wakorofi! Dawa ni kuwaacha kwao na kuwapa matumizi hukohuko. Home waje kusalimia tuu for few days
 
Back
Top Bottom