Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
Nilisoma points tu...sikusoma Intro[emoji6]Okay, kumbe hujasoma maelezo mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisoma points tu...sikusoma Intro[emoji6]Okay, kumbe hujasoma maelezo mengine
Utasikia anapigiwa simu,uko wapi?rudi haraka si unanijua!rudi sasa hivi #@"#@..Mkuu, uzuzu mwingine ambao wanaume wenzetu walio wengi wanaufanya sana kwa hawa viumbe ni kumpa attention mwanamke kupita kiasi hadi inafikia kipindi mwanamke anamuona bonge moja la fala! [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 umeua Dada.Mazuzu mkuje huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeua Dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2 & 3 siyo uzuzu.
Vingine ni uzwazwa
Hahahaaa. Umefanya vyema kwa kweliHahaha nimewaita dada ake
Hahahaaa. Umefanya vyema kwa kweli
Mimi ntakujengea kasri Shunie[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mm nataka zuzu wa kunijengea nyumba dada akee ukimpata unipe
Hahahaaa. Usijali mdogo wangu japokuwa kuna Mazuzu wengine akili zao wanazijua wenyewe yaani hawachelewi kuzibomoa nyumba pindi mahusiano yakifika tamati😂😂😂Hahaha mm nataka zuzu wa kunijengea nyumba dada akee ukimpata unipe
Hahahaaa. Usijali mdogo wangu japokuwa kuna Mazuzu wengine akili zao wanazijua wenyewe yaani hawachelewi kuzibomoa nyumba pindi mahusiano yakifika tamati[emoji23][emoji23][emoji23]