Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Kumpa hela ya nauli manzi kuja kukutembela ni uzuzu
 
Dunia ingekuwa mahali salama kuishi kama kila mmoja angemind biashara zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo zuzu tukiachana akitaka kubomoa nyumba tunamfunga
Hahahaaa. Usijali mdogo wangu japokuwa kuna Mazuzu wengine akili zao wanazijua wenyewe yaani hawachelewi kuzibomoa nyumba pindi mahusiano yakifika tamati[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom