Kufanya kazi private sector bongo unatakiwa uwe na roho ngumu

Kufanya kazi private sector bongo unatakiwa uwe na roho ngumu

Sio roho ngumu bali roho pekee unayotakiwa kuwa nayo

Kwa mwaka serikali ikijitahidi sana inaweza kuajiri asilimia 25% tu ya wahitimu wa vyuo vikuu tena kwa "carry over" ya wahitimu ambao walishahitimu miaka awali
 
Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6.
Private bongo ni zaidi ya matatizo.
Na kwa wahindi sasa

Hiiii ni ngoma
 
Mazingira ya kufanya kazi Private kwa Tanzania ni magumu sana,

Sheria zinalinda zaidi makampuni, mwajiriwa una kinga ndogo kisheria.

Mishahara kiduchu tena ya kusubiri,

Kufukuzwa kazi ni muda wowote tu,

Kampuni zina watu wao hasa wanafamilia, ni ngumu sana kupata promotion au cheo kikubwa

Ni sehemu zenye figisu na michezo michafu

kufanya kazi private hasa hizi kampuni zisizo za wazungu yataka moyo 🔥
 
Inategemea uko private ipi? Wengine wa private wanakula tu mema ya nchi
 
Inategemea uko private ipi? Wengine wa private wanakula tu mema ya nchi
Maisha ya private upate kampuni ya wazungu utakula maisha, ila hizi kampuni za wabongo, wahindi, waarabu, wachina, n.k. nyingi yataka moyo kufanya kazi

Kampuni kama za mitandao ya simu, makampuni ya chai, migodini, n.k. pesa ipo
 
Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6.
Private bongo ni zaidi ya matatizo.
Nipo private sector lakini tangu nianze kazi sijawahi lipwa zaidi ya trh 30! mara zote tunalipwa kuanzia 23-26 kama haijaangukia kwenye weeend hizo tarh. hadi sasa mshahara tumeula tunacheza na advance tu na hatuwazi
 
Mwaka jana bwana nilikaa nusu mwezi sijaripwa mshahara wangu na bado nikawa nafanya kazi tu .ifike mahara serikali iingilie imagine kuna mda unawaza lbda nimedhurumika?
 
Back
Top Bottom