Kufanya kazi Serikalini ni shavu sana

Kufanya kazi Serikalini ni shavu sana

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn

Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu.

Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe..

Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana sana..

Hii nchi ni yetu wote na msituone tulio nje wa system ni wajinga au mazoba

sijui tunatengeneza taifa la aina gani isee..taifa la majambazi na ujanjajanja wa kipumbavu..
 
Lakini sio Tamisemi
 
Umewaonea wivu ukitaka na wewe uwe mpigaji.
 
Sifa kubwa ni usalama wa ajira na uhakika wa kupata mshahara kila mwisho wa mwezi na mwishoni unapata kiinua mgongo pamoja na pensheni uzeeni mpaka kifo.
 
Kule kwingine ni majanga matupu, inafika mpaka bosi anatoa hela mfukoni mwake akupe mshahara, tena hela haijatimia anakuahidi atamalizia kesho. Kesho ukimfuata anakuambia nenda dukani kwa mke wake ukachukue mchele na sukari ukajikimu kwa mlo wa siku. Ni blablaa tu, mwisho unaamua kutokwenda kazini kabisa unatafuta kwingine kwenye nafuu. Kingine risk ya ajira haina usalama, ukikosana na bosi asubuhi, jioni huna kazi. Wana matumizi mabaya ya rasilimali watu katika miradi yao. Kila mara wanaajiri wafanyakazi wapya. By the way huko kwenye sekta binafsi ni kuwa kibarua tu, hakuna permanent employment huko
 
Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn

Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu.

Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe..

Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana sana..

Hii nchi ni yetu wote na msituone tulio nje wa system ni wajinga au mazoba

sijui tunatengeneza taifa la aina gani isee..taifa la majambazi na ujanjajanja wa kipumbavu..
Chama cha majambazi kinafurahi kusikia kauli za kinyonge kama hizi. Ndo maana wanajiachia tu. Ingekuwa wenzetu kenya hapo saizi kishanuka tayari
 
Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn

Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu.

Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe..

Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana sana..

Hii nchi ni yetu wote na msituone tulio nje wa system ni wajinga au mazoba

sijui tunatengeneza taifa la aina gani isee..taifa la majambazi na ujanjajanja wa kipumbavu..

Unawatukana walimu.
 
Kikwete alisema asilimia 20 ya kodi inaishia midomoni mwa watu

Magufuli alisema polisi wanachukua hela kidogo tu ya kuburashia viatu
Akaambiwa Makonda ni miongoni mwa wenye vieti feke magu akasema Makonda chapa kazi
Mtumishi wa serikali kuwa masikini ni uzembe wake
 
Mkuu umeandika kwa hisia kali sana daaah,,,ila ndo hivyo ccm wameshatuona mafala sana.
 
Back
Top Bottom