Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

Kuna shule moja hapa mwanza imepokea wanafaunzi 900 na nyingine 800 wapo madarasa Saba ama vyumba saba. Wengine wanakaa chini na wanaye mwalimu mmoja wa hesabu shule nzima one mpaka four.imagine hapo marking scheme Kama ticha akitoa zoezi itakuwaje.
Walimu wamebakiza kutangaza twisheni. Yaani mtt anaingia class saa mbili atoke 9.30 jioni aunge twisheni atomea Tena saa 12 jioni.
Yaani ticha muda huo wote hafundishi anatafuta vichwa vya twisheni anaponda pre form one kuwa sio wote wanaojua kufundisha.


Yaani yeye anaangalia pesa Kama ambavyo waziri akanunua gari la 600M kwa hela zetu watanzania na mwingine mktaba wa kukodi software ya kufuatilia umeme unaokatika kwa bilioni 69.ila shule Ina mwalimu mmoja tu na watt wengine wanakaa chini hawana madawati na Ni shule ipo inahesabiwa mwanza jiji jamani. Yaani saivi Kama madarasa na madawati na walimu imekuwa keep hawatoshi.


Serikali itangaze walimu wa crash program waliosomea sayansi advance na kozi za Engineering wapigwe crasha program wakaokoe hichi kizazi.
Mbona hela za kukodi software zinapatikana Ila za kuokoa hizi kizazi hazipatikani. Ila kweli uwe kiongozi lazima uwe muuaji. Hawa watt huko mbeleni wasipopata elimu Bora unategemea Nini huko wakiwa wakubwa kweli jamani.
 
Kuna shule moja hapa mwanza imepokea wanafaunzi 900 na nyingine 800 wapo madarasa manne. Wengine wanakaa chini na wanaye mwalimu mmoja wa hesabu shule nzima one mpaka four.
Picha weka picha km zilivyowekwa zile za Kilwa tuone km kweli au porojo ukiweza weka na video kabisa,
 
Ualim kwel ni wito maana sii kwa kuchanganyikiwa uko,[emoji16] mpka unaamua kucoment mwenyewe kwenye uzi wako hii hatari[emoji3][emoji3]
Sasa Kama hamchangii afanzaje?? Wajameni
 
Umemaliza mkuu, hakuna anayeweza kubishana na wewe. Kila la kheir!
 
uweke pesa yako ki vipi mbona hueleweki,kwa utaratibu upi?
Naona mwalimu mkuu anasema tu ili kutetea ka posho kake ,kuna mwalimu wa kuikopesha serikali !!? Aeleze vizuri ni utaratibu upi yeye hutumia kuikopesha serikali.!
 
Mwalimu ualimu mkuu unakupa stress sana. Omba mwisho mwema na wewe uupate. Lkn Soma kwanzaaa upate ka dip bac au kabachelor
 
Tate utajuta kuwa mwalimu wa primary
 
Mi nimeacha aisee....
Nachukua fursa hii kukupa hongera na pia kukutakia kila lenye kheri na fanaka ikiwa ni kweli usemalo .

Sasa nakuona ukizitimiza ndoto zako , sasa nakuona mabwana wakistick na wewe kwaajilo ya future .

Safi nimefurahi sana , Niko airport ya zamani sema neno nikufikie ule chochote na unywe chochote bill yangu mrembo

mpwayungu village hatimaye God has started to reply.
 
Mwinyi did a great job aliwapa TA
 
Masikini mwalimu mimi! Mbona hivi? Mungu tusaidie tutambulike na mchango wetu utambulike na maslahi yetu yafikiriwe.


Mama Samia naomba hata u-DAS
 
Masikini mwalimu mimi! Mbona hivi? Mungu tusaidie tutambulike na mchango wetu utambulike na maslahi yetu yafikiriwe.


Mama Samia naomba hata u-DAS
We jamaa unalia sana!

Kila siku unalalama mpaka huruma!

Pambana mwanaume! Au kajiunge na CCM upewe posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…