The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawazunguzia maafisa elimu kata au?Wengi wa watendaji viongozi ni wachumia tumbo na manamba Ili waendelee kula
Picha weka picha km zilivyowekwa zile za Kilwa tuone km kweli au porojo ukiweza weka na video kabisa,Kuna shule moja hapa mwanza imepokea wanafaunzi 900 na nyingine 800 wapo madarasa manne. Wengine wanakaa chini na wanaye mwalimu mmoja wa hesabu shule nzima one mpaka four.
Sasa Kama hamchangii afanzaje?? WajameniUalim kwel ni wito maana sii kwa kuchanganyikiwa uko,[emoji16] mpka unaamua kucoment mwenyewe kwenye uzi wako hii hatari[emoji3][emoji3]
Umemaliza mkuu, hakuna anayeweza kubishana na wewe. Kila la kheir!Huna akili....unapenda kudandia mambo mwalimu mkuu hela ya kuweka shuleni ili mambo yaende anatoa wapi???na ni mambo gani na kwa taarifa yako pesa ya elimu bure huchelewa wakati wa mwaka mpya wa bajeti tu so sijui utanmbia nini hapa kwa kifupi walimu wakuu hakuna pesa yao wanatoa kuweka shule ili mambo yaende acheni upotoshaji..
Naona mwalimu mkuu anasema tu ili kutetea ka posho kake ,kuna mwalimu wa kuikopesha serikali !!? Aeleze vizuri ni utaratibu upi yeye hutumia kuikopesha serikali.!uweke pesa yako ki vipi mbona hueleweki,kwa utaratibu upi?
Mwalimu ualimu mkuu unakupa stress sana. Omba mwisho mwema na wewe uupate. Lkn Soma kwanzaaa upate ka dip bac au kabachelorHuna akili....unapenda kudandia mambo mwalimu mkuu hela ya kuweka shuleni ili mambo yaende anatoa wapi???na ni mambo gani na kwa taarifa yako pesa ya elimu bure huchelewa wakati wa mwaka mpya wa bajeti tu so sijui utanmbia nini hapa kwa kifupi walimu wakuu hakuna pesa yao wanatoa kuweka shule ili mambo yaende acheni upotoshaji..
To yeye umezingua sana dada yangu. Why umeacha lakini? Serious?Mi nimeacha aisee....
Tate utajuta kuwa mwalimu wa primaryHii serikali imejaa ujanja mwingi. Inatoa posho kwa walimu wakuu/wakuu wa shule, na hai maafisa elimu kata; ili wawabane walimu wenzao!
Kiufupi ni kama tu ule utaratibu uliopo jela kati ya mfungwa na kiherehere.
Yaani ni mwendo wa kusagia walimu wenzao kunguni, mwanzo mwisho.
Nachukua fursa hii kukupa hongera na pia kukutakia kila lenye kheri na fanaka ikiwa ni kweli usemalo .Mi nimeacha aisee....
Mwinyi did a great job aliwapa TAWanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana.
Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa.
Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni mwalimu wa kawaida. Kuna watu huwaambiii kitu Ili waendelee kula.
Nimuombe Rais Mh Mama ufanye kitu
We jamaa unalia sana!Masikini mwalimu mimi! Mbona hivi? Mungu tusaidie tutambulike na mchango wetu utambulike na maslahi yetu yafikiriwe.
Mama Samia naomba hata u-DAS
🤣🤣🤣🤣🤣yupo kweli??Asione Mpwayungu tafadhari
Afisa Elimu ngazi ipi?Nje ya mada kidogo hv Afisa elimu analipwa posho laki ngapi?