The Conspiracist
Member
- May 12, 2019
- 60
- 102
Wonders never end!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu watakupa msaada gani mkuu, jana tu ulifurahia EU kuijadili Tanzania 🇹🇿 leo wabunge wa chama kinachopinga uchaguzi kimepeleka timu uwanjani.Nguvu ya wazungu itatoka wapi?? Wazungu wenu waambieni wajue hii ni Tanzania 🇹🇿 na watanzania wako nyuma ya viongozi wao.Hakuna chama kitakuja kukishinda CCM as long as polisi wako upande wao.
Wananchi option yetu sasa ni msaada wa wazungu hakuna namna, na kwa hili nawaunga mkono Lissu & Zitto kwa 110%.
Executive decision nikuwafukuza wote na yule wa mpanda.
Matumaini, imani na subra za wanachama na watanzania zitadumu. Kinyume chake hakuna ataekuja wakuwaamini cdm na ijiandae kuwa NCCR mageuzi
Heshima na Nidham katika jambo lolote nikuamini, kusimamia nakuishi kile mnachokihubiri. Kinyume chake ni kuanguka.
Hivi kuna mtu anaamini Mnyika na Mbowe hawajui haya?
Yani Mdee afanye vitu kama hivi bila baraka za Mbowe?
Anachofanya Mnyika ni kuwa confuse wafuasi wao wasijue washike lipi lakini ukweli ni kwamba kila kitu kina baraka za Mbowe na Mnyika
CHADEMA haiwezi kufa sababu ya usaliti wa wajinga wachacheMkuu leo ndio rasmi cdm imegeuka kuwa NCCR, tutabaki wapinzani wa kweli bila kutegemea chama chochote cha siasa.
Anatetea wasaliti wenzake huyu mpuuzi bado anaota uteuziWe ndo mjinga, vyama vina taratibu na katiba.kuwatetea kina mdee utakua punguani na mbakaji.
Hovyo kabisa umesoma ila hujaelimika, yangetokea ccm usingeleta huu upuuzi na uchafu humu
CHADEMA haiwezi kufa sababu ya usaliti wa wajinga wachache
Niliwahi kuipenda ile CHADEMA ya Dkt. Slaa, yule ndiye alikuwa katibu mkuu mwenye maono.Chadema ikufaga 2015, sioni kama kuna Chadema tena,, tamaa iliwaponza 2015 kwa kutoheshimu waliojenga chama na kualika watu wa CCM.
Na liwe funzo, kukubali kila mara kukumbatia watu wanaotoka vyama vingine.
Upinzani mpya utainuka tu, siku akina Mbowe watakapoachia madaraka na kuwaachia vijana wenye mawazo mapya.
Angalau Tundu Lissu na Mnyika wana anauwezo kupeleka chama hatua nyingine.
Ila wajifunze kwenye makosa.
Pia wajifunze kusolve issue zao za ndani kabla hazijaenda public. Sikuona sababu ya Bawacha kwenda faster bungeni kabla hawajakaa vikao vya ndani kwamba itakuwaje! Huko ni kuua chama.
Kwa ujumla sioni chadema tena.
Bora vyama vyote vya upinzani vife, kizaliwe chama kimoja chenye nguvu!
Peleka umbea huu CCMNiliwahi kuipenda ile CHADEMA ya Dr.Slaa, yule ndiye alikuwa katibu mkuu mwenye maono.
Nyakati zake CHADEMA ilikuwa ni ya mipango, mikakati na yenye ushawishi kwa vijana, wasomi na ilibeba uhalisia wa jina lake.
Baada ya kumsaliti Dr.Slaa 2015 CHADEMA ilijifia, walipoteza ushawishi tena kwa wanachama wake. Hasa baada ya Lowassa kurudi CCM.
Sasa hivi CHADEMA kimekua chama cha kuombea Tanzania na wananchi wengi ambao hata siasa hawazishabikii iangukie kwenye matatizo ya uchumi, diplomasia. Yaani ni kupinga kila kitu kwa sababu tu ya mtazamo wa JPM.