Kufanya mapenzi au kutembea (having an affair) na mke au mume wa mtu ni kosa kisheria?

asante kwa maelezo kindakidanki
 
LMA CAP 29 on 1971

Imeeleza mtu anapo commit adultery lazima mahakama ijilize na ushahidi udhibitishe kuna wanandoa wengine wanaweza kukubaliana mwanamke akazini ili wapate watoto halafu mme anbadilika kwamba ni ugoni hiyo itaangariwa kisheria zaidi kam ni adultery itakuwa refund of bride price inarudishwa after issuing a decree of divorce on ground of adultery.

Hizo ni matrimonial offence hapo ni faini tu itategemea na hakimu kama ni wa kike itabidi amtetee mwanamke kwa hata milioni 50, anakugonga ili heshima iwepo kwahiyo usije ukadhani kitu cha masihala tu. We chepuka tu Ila siku wakikubamba ndo utaelewa SOMO. Hizi sheria ni evidence tu..... Kuna jamaa angu mmoja alifanya hiyo kitu alilipa million 1 bila maswali

Kitu kingine ni right to dameges after enticement hii nikitendo cha kumshawish mwn ndoa aachike zile SMS za mahaba wakati ata sio make wako wakikunasa faini utakayo kutana nayo itakuwa siri yako
 
Aisee hapo nisawa na kuuza mke wako mwingine ukanunue mpyaaaa
 
Wataalam, nina swali nje ya mada kidogo...

Je, mwanamke akivalishwa pete ya uchumba na mwanaume...

Je, mwanaume anakuwa ana haki zozote kwa huyo mwanamke kisheria?
 
Ngoja Wajuzi wa Sheria Wadadavue na kufanya reference kwenye vifungu vya sheria - sisi tunasoma tu tupate uelewa wa sheria. Hii ni elimu ya bure - hatulipii consultation fees.
 
Kiujumla haina nguvu. Ndomaana mtu anapomfuma mkewe anachukua sheria mkononi kama kuzibua chamber, kuuwawa nk. Vases zakina Dr. Slaa ni chache sana

Ha ha ha ha nimecheka sana kuzibua,kuuuwawa....ha hahaa mahakama ya mtaani hiyo inaitwa.
 
Ni kosa la madai, ndio maana wengine huwa wanaamua kabisa kumalizana na wagoni kuliko kumdai hela mtu aliyekulia mkeo, ni fedheha fulani. Ingekuwa kosa la jinai mtu anaenda jela, jamaa wangekomaa na wagoni wao wakafungwe walau waondoke uraiani roho isuuzike
 
Wataalam, nina swali nje ya mada kidogo...

Je, mwanamke akivalishwa pete ya uchumba na mwanaume...

Je, mwanaume anakuwa ana haki zozote kwa huyo mwanamke kisheria?
Hapo hata bila sheria. .. Hakuna uhalali wowote! Yaan karing tu unamvisha mtu Leo na kuwa Mali yako kweli? Hauko makini mkuu!!
 
Ujinga mtupu. Nikikufuma na mke wangu walaa sikufanyi jambo baya. Natenganisha kichwa na mwili. Weye si ndiyo unajidai unajua papuchi? Ok. Mimi fwala sana? Kwa nini usitafute wako? Umenidharau? Poa.
Hahahaaa..mkuu nani huyo anakuona wew fwala?!!!
 
Hapo hata bila sheria. .. Hakuna uhalali wowote! Yaan karing tu unamvisha mtu Leo na kuwa Mali yako kweli? Hauko makini mkuu!!
Kwahyo... leo hii nikichukua mwanamke aliyevalishwa pete ya uchumba na mtu mwingine.. nikaenda kufunga nae ndoa... hamna shida yoyote?
 
Hayo ma-procedure marefu hivyo kwakweli mi siwezi kuyavumilia, sihitaji kumdhibitishia yeyote yule kwamba nimewafumania, i shoot you on the spot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…