Kufanya mapenzi au kutembea (having an affair) na mke au mume wa mtu ni kosa kisheria?

Kiujumla haina nguvu. Ndomaana mtu anapomfuma mkewe anachukua sheria mkononi kama kuzibua chamber, kuuwawa nk. Vases zakina Dr. Slaa ni chache sana

Acha kauli zakitukutu izo
 
Kiujumla haina nguvu. Ndomaana mtu anapomfuma mkewe anachukua sheria mkononi kama kuzibua chamber, kuuwawa nk. Vases zakina Dr. Slaa ni chache sana
Ha ha ha ha ha tenda za kuzibua chemba napewaga mm
 




.
Inauma wewe!!ata ukinilipa faini haitoshi achana na kupigiwa wife wewe
 
Wataalam, nina swali nje ya mada kidogo...

Je, mwanamke akivalishwa pete ya uchumba na mwanaume...

Je, mwanaume anakuwa ana haki zozote kwa huyo mwanamke kisheria?

Hakuna cheti cha uchumba ndio maana uchumba unaweza kuvunjika bila utaratibu wowote.
 
Ikitokea mwanamke amepata mimba ambayo sio ya kwangu(ikathibitika kwa dna baada ya mtoto kuzaliwa)
Je hicho hakiwezi kuwa kithibitisho japo mimi sikuona wakifanya?
 
Pole kwa uchovu
 
Kesi hii inapofikishwa mahakamani jambo LA kwanza ni kuachanishwa kama umefumania anagegedwa ndipo fidia inapofika kwa sababu amepoteza sifa ya kuwa mke, hata katoliki tunaamin Yale mafundisho ya Paulo kwa wakorintho kuwa MTU asimuache mkewe isipokuwa kwa uzinzi, kumbe uzinzi kinaondoa kile kipengele cha upendo na ndio maana kanisa linakubali kuwa hakukuwa na upendo toka mwanzo na ndio maana uzinzi unatokea kumbe basi ndoa haipo ile siku ile yalikuwa maigizo kwani shart LA ndoa ni Upendo, kuvumiliana kwa shida na kwa raha, upendo pia haugawanyiki.

Ninatoa tafasir ya kisheria kwa ndoa za kikatoliki ambaZo wanadai hazivunjwi, lkn huo ndio tunahita
The nullification of marriage
 
Na je mwanamke akirudi kwao kwa maana yakuacha mji wake na mume na kuamua kujirudisha kwao. Hii haipelekei mume kudai mahali? Au hii si kosa kwa wazazi wa yule binti kukaa na mkr wa mtu?
 
Hainaga makombo siyo!!
 
Inabidi nikae mbali na mke wa mtu maana hayo mambo yakulipana wakati yeye ndiye ananihonga nitatoa wapi hayo malipo!!!!
Mahakamani? Jamaa akikukamata lazima alipize apo apo kwako ili na wewe uone kipimo wakati shadede linazama makalioni. Nke wa Ntu ni hatari soomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…