Kufanya mapenzi au kutembea (having an affair) na mke au mume wa mtu ni kosa kisheria?

hata m pia nimechoka kuisoma nimeishia njiani...SORRY mkuu!!
 
Hiyo ya kuzibua chamber ni muhimu sana, ila hiyo ya kumuua ni muhimu zaidi ili iwe fundisho kwa wengine..
Ukijua kusema haya na wewe ujue kujichunga usitembee na mume wa mtu au mke. Wa mtu.
 
Hongereni wanasheria kwa ufafanuzi japo natamani mfunguke zaidi maana haya mambo ya sheria za ndoa hatuyajui kabisa
 
Sasa ukimpiga jamaa ametembea na mkeo pia anaweza kufunguk lia mashtaka ya jinai ya Kujeruhi!
Kwa mlio owa unaweza ingia kwenye matatizo mara mbili

1. Umechapiwa mke
2. Jamaa kakushtaki umemjruhi na ukafungwa pia.
Maana kumbe vitu venyewe vinahitaji ushahidi wa live.

Kwa hiyo mliochangia happ kuu kuwa mtamdhulu mhusika na yeye anaweza tumia sharia ukaozea jela.
 
Ndio ni Kosa kisheria za Mungu na adhabu yake ni moto tu..
 
Kuzibua chemba ndo suluhisho
 
Moja ya hukumu mbaya sana hapa duniani ni visasi
 
MIMI NAFIKIRI ILI KUTHIBITISHA KAMA NI KOSA KISHERIA, MLETA THREAD TEMBEA NA MKE WA MTU NA UKAMATWE, HALAFU UTALETA MREJESHO KAMA NI KOSA LA JINAI/MADAI AU NI RUKSA
 
Ikiwa nimezifuma jumbe kwenye simu ya mke/mume wangu zikithibitisha walifanya ugoni, je sio ushahidi huo?
 
Ndugu wasomi wa Sheria,

Naomba kufahamishwa juu ya mada husika hapo juu.

Kama jibu ni ndiyo, adhabu yake ni ipi?


HAKUNA kosa lolote ikiwa washiriki mnaelewa mnachokifanya na kukubaliana kwa dhati. Ndoa ina changamoto yake, kuna wanaume tata wengi wa Dar wanaoa lakini jogoo hawiki, na wanafanya vile kwa sababu hawataki jamii iwashitukie, kivumbi kinakuja pale Mamaa anapotaka kale kamchezo. Mara jamaa atasingizia ohoooo mpaka stimu ipande ngoja nikupige deki na kukushindilia ndizi au dodoki. Mama akishajuwa jamaa yake yuko hivi kwanini asiwe na mtu wa uhakika pembeni kwa ajili ya stimu mwanana tu si ya matunda? Tuacheni hizi Imani potofu, tumepewa ili tupeane.....nawasihi tusinyimane ila tupeane kwa umakini.
 
Me naona upuuzi tu, kwahiyo ukiwakuta wanafanya ndo utapata ushahidi kwa kutumia nini? utawapiga picha wakiwa wamelaliana? Na wao watakuwa bado wanalalana wanakusubiri wewe upige picha! Yani ukutwe unabusiana na mke wa mtu useme sio kosa kisheria? Na kama mtu hata lipa hiyo fine atachukuliwa hatua gani?
 
Na je mwanamke akirudi kwao kwa maana yakuacha mji wake na mume na kuamua kujirudisha kwao. Hii haipelekei mume kudai mahali? Au hii si kosa kwa wazazi wa yule binti kukaa na mkr wa mtu?
Mahali= mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…