Kufanya mapenzi au kutembea (having an affair) na mke au mume wa mtu ni kosa kisheria?

Sawa. Saidia pia kujibu swali kama unaufaham kuhusu masuara la mahaRi
Sawa mkuu,, mke akiachika kwa kufukuzwa na mume hapo mwanaume hana haki ya kudai mahari lakini iwapo mke ndiye eliyevunja ndoa/kumkataa mwanaume ama kudai talaka basi huyo mwanaume ana haki ya kudai mahari yake aliyokuwa amelipa japo mwisho wa siku mwanaume anaweza kulipwa fidia kiasi kulingana na makadirio! Fidia haiwezi kuwa sawa na kiasi cha mahari ambayo mwanaume alilipa kwani inachukuliwa kuwa ukikaa na mke kuna uzalishaji Fulani anachangia kwenye pato la familia
 
Thanks mkuu, hii ni kwa mujibu wa sheria gan labda au mila?
 
Thanks mkuu, hii ni kwa mujibu wa sheria gan labda au mila?
Nimeshuhudia kesi za namna hii kadhaa katika ngazi ndogo ya mahakama mfano mahakama ya mwanzo, baraza la kata n.k...baada ya mivutano ya hapa na pale waliweza kuamua vile na wakati mwingine hata kama mwanamke kuvunja ndoa lakini cha ajabu mmwanaume anakosa kila kitu ..hii inategemea pia ni muda gani hao wanandoa wameishi pamoja
 
Suala la nani ana initiate suala.la talaka linaamriwa na nn? Mfano ktk mazingira ya mwanamke kuondoka na kurudi kwao na kuzamia huko mwanaume akienda mahakamani, maana yake ni mume anatoa talaka au mke amelazimisja talaka, na suala la fidia liko handled vp hapo, let say wameishi hata mwaka haujaisha.
 
Hahahaaa...kama ulikuwepo mkuu siku hizi ke ni wajanja sana! Mke anaenda kwao anakatalia huko hataki kusema sikutaki au nimekupa talaka akijua tu akifanya hivyo atadaiwa fidia aka mahari! Kwa maana hiyo huyo mke kalazimisha talaka ambapo vyombo husika vya kutoa maamuzi huamua kuubana upande wa ke ulipe fidia kwa makadirio kama nilisema mwanzo iwapo hao watu wameishi pamoja kwa muda mfupi mfano mwaka mmoja km ulivosema..asee kama hawa wanandoa waliishi kwa mda mrefu kidogo hapo mme asitegemee kupata kitu
 
Ni kwel mkuu kesi nyngi zipo hivo. Na je katika mazingira hayo, mwanamke anayohaki ya kuchukua milki yyte kwa mumewe anayodai kuwa ni yake au kama sehem ya mali anazogawana na mume wake katika kutengana? Ni wakat gan anaweza kupatiwa sehem ya mali aliyochuma na mamlaka ya kugawa hyo mali ipo kwa nani?
 
Kisheria mpaka sindano ipite tunduni, ndio tunampiga mawe baada ya ushahidi wa watu 4
 
Awe ndan ya ndoa halafu atumie IVF??
Hilo tifu jipya kabisa
Tifu jipya kwako na mkeo, ila yule mgoni wako anakua amejiokoa, yeye atasema alimuuzia mbegu kwa bei maalum kwenye kichupa, na hakulala nae
 
Sheria ndo inasema kama ni Hakimu wa kike atamtetea mwanamke??.

Dameges = Damages.
 
Mkuu hilo sijui likoje kisheria..
 
Offence zipo nyingi, sasa unataka kujua ipi swahiba?
 
ninaishi nae miaka 2; nasikia ukiishi nae miaka 2; anatambulika kama Mke.
Imekaaje kwenye ili; na ushahidi unakuwaje
 
Anaonesha kunidharau. Kama papuchi nilikuta inaliwa nami nikaichukua jumla ili isiliwe hovyohovyo. Sasa yeye aje tu na kibamia chake ajidai kupenda wake za watu? Lazima na yeye "nimuwowe"!
Kweli umenianzishia sikuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…