Hii hatari sana.
Kunajama yangu alikuwa anaishi mbali na mpenzi wake ilikuwa inawachukua mpaka mwaka kuonana.
Basi kikubwa alichokuwa anakifanya kwa mpenzi wake ni sex kupitia simu ule muda wa usiku,
Huo mchezo ukawa umezoeleka sana kati yao, kwa vile walikuwa wanaufurahia hawakujua madhara yake,
Ikafika muda wa yule jamaa kurudi baada ya muda mrefu kupita akiwa hajakutana na mpenzi wake.
Kilicho mtokea yule binti baada ya kukutana kimwili na mpenzi wake hakuwa anayafurahia tena mapenzi tayari alikuwa amesha athirika na usagaji wa kidigital kupitia simu, kitu pekee alichokuwa akikifurahia ni kuchezewa kwa vidole sehemu zake za siri basi hapo kwa maelezo yake alikuwa anahisi raha sana.
Mwanzo wa mapenzi yao walikuwa wana fikishana vizuri sana wakati wa tendo kwa mujibu wa maelezo yake,
kila mmoja alikuwa anaridhika wakati wa kugegedana.
Hii tabia kwa namna nyingine ni usagaji maana kinachofanyika pale ni binti kujifanyia romance katika mwili wake kotoka na maelekezo kutoka upande wa pili akiambiwa shika sehemu fulani anashida, sugua hapo anasugua weka kidole huku anaweka ili mradi tu wazungu wamwagike.
Pia hakuwa tayari kuiacha kwani niwazi inaonekana ilimvutia, japo walijaribu kukaa mara kadhaa na mpenzi wake kuzungumzia hiyo hali ila mwenzake bado hakuona sababu ya kusitisha utamu aliojizoelea, hali ikazidi kuwa mbaya zaidi baada ule mchezo kuchukua sura mpya ikafika hatua akawa anawafanyia na mwezake aliokuwa akilala nao hostel wakawa vinara wa usagaji hapo chuoni kwao.
Taarifa zikaenea sana hapo chuoni ikafika hatua uongozi wa chuo ukafahamu juu ya uwepo mchezo wa usagaji, hatua zaidi zikachukuliwa dhidi yao maamuzi yakatolewa baada ya vikao uongozi ukaamua wafukuzwe chuo.
Na huo ndo ukawa mwisho wa masomo yao kwa kile chuo.
Ebu angalia jinsi mapenzi ya simu kwa watu wawili yalivyo tengeneza mtandao mpaka umekafikia hatua ya kusababisha majanga.
Kwa haraka haraka unaweza kuhisi huyu binti labda ni mchezo aliokuwa nao kabla lakini hapana, jaribu kufikiria mara mbili zaidi, hiyo tabia hakuwa nayo imetokana na huyo mpenzi wake.
Kunahaja ya kwendelea kumridhisha mpenz wako kwa style hiyo?
Tumia aneno ya faraja yenye kumpa matumani na kumwepusha na vishawishi ukiwa mbali nae kama kweli unampenda.
Kila jambo lina pande mbili jifunze kupitia hapa.