Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni, hivi kweli Kibanga, unacheza mziki kwa hisia bila mdundo? ni ngumu kwa kweli.kweli kua uyaone.....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni, hivi kweli Kibanga, unacheza mziki kwa hisia bila mdundo? ni ngumu kwa kweli.kweli kua uyaone.....!
Unaanzaje kuwa kama mitandao ya simu broo!!!!!
Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha wageni kwa kigezo kuwa anaogopa kulala peke yake.... Jamani usiku sijalala...! Mwenzangu anasex na boyfrnd wake kwa simu hadi nikawa simuelewi... na kabisa anaonesha vitendo... nikahama chumba kumpisha cz akiambiwa vua nytdress ye anavua kweli... Dah!
Ha ha ha ha.. yaani unajua skype & viber zimeleta mapinduzi hata kama mpenzi wako yuko Guatemala huko.. mnapiga game safi kabisa..
Kwa muda ule wa uhitaji inaweza kuonekana kuwa ni solution ila iki replace mapenzi halisi kwa muda mrefu ni shidaa!!!!
Kila jambo lina faida na hasara!!
sasa kama anafanya kwenye simu ndo afanye na ww ukiwepo ni sawa kama anagegedana na huyo mpenzi wake mbele yako.....angeenda kwenye hiko chumba cha wageni akanyie upuuzi wake.....kakutia mihemeko tu maskini we !!!
We OLESAIDIMU mchokozi sana....sasa jamani huyo mdada hata kama kamzoea shostitio kuna mipaka...maana kanyimwa ustaarabu angehamia japo sebuleni basi kama anaogopa chumba kingine amalize mambo yake kanyimwa mshipa wa haya??etii anaambiwa vua anavua na miguno haaa hata mimi ningekuwa uncomfortable...Lakini watu na fani zao sio :eyebrows:Ha ha haaa mihemko ya maza hausi mpaka sredi! !!!!
Kumbe ndio sababu oook wewe umeleta chanzo cha hasira yake!!!!!!
ha!!kumbe baby wangu alilala kwako jana...ulinisikia?Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha wageni kwa kigezo kuwa anaogopa kulala peke yake.... Jamani usiku sijalala...! Mwenzangu anasex na boyfrnd wake kwa simu hadi nikawa simuelewi... na kabisa anaonesha vitendo... nikahama chumba kumpisha cz akiambiwa vua nytdress ye anavua kweli... Dah!
du siku yangu imeenda vizuri kwa kicheko cha sauti!!kudadeki yani anafundishwa usagaji.. unabahati ulihama angeambiwa mvue na mwenzio ungevuliwa nguo jana
Hata sukari nabutamu wake ina hasara mamy!!!!
Piga bhana baadae achana na kuwaza hasara!!!!![/QUOTE]
Mie sina uhitaji huo,nikihitaji ni kujigeuza tu kipande ile yuko basi!!!
Me nshakuja..imebaki kukaribishwa tu!hapana usije bwana
inategemea unafanya mara ngapi na kama kuna ulazima wa kufanya i.e mpenzi wako yuko mbali,otherwise kama hamna ulazima sio vizuri kufanya all in all kufanya kila mara ni mbaya hasa kwa upande wa mwanaume nahisi inaweza kumuathiri kisaikolojia na kama anafanya mara kwa mara in one way or another inaweza ikampunguzia hata nguvu zake za kiume so sihauri sana kama hamna ulazima.
ha!!kumbe baby wangu alilala kwako jana...ulinisikia?
kudadeki yani anafundishwa usagaji.. unabahati ulihama angeambiwa mvue na mwenzio ungevuliwa nguo jana
Team B lazima wajue inavyokuwa.Duh!umetisha
Mmmmh!!, mimi nilijaribu na mdada mmoja hivi nikawa naishia kupiga puchu tu, sitaki tena huo ujinga.
It is not, nimeona couple za kutosha tu wakipitia wakati mgumu baada ya kurudi kuishi pamoja.
Haina tofauti na masterbation, tena wengi baada ya simu anaendeleza kwa kuwatch porn. It is very bad kwakweli. Niliacha before it was not too late, it was kwaresma like this time, na nikamuomba Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa.