Kufanya mapenzi kwa simu

Kufanya mapenzi kwa simu

Kwa muda ule wa uhitaji inaweza kuonekana kuwa ni solution ila iki replace mapenzi halisi kwa muda mrefu ni shidaa!!!!
Kila jambo lina faida na hasara!!
 
Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha wageni kwa kigezo kuwa anaogopa kulala peke yake.... Jamani usiku sijalala...! Mwenzangu anasex na boyfrnd wake kwa simu hadi nikawa simuelewi... na kabisa anaonesha vitendo... nikahama chumba kumpisha cz akiambiwa vua nytdress ye anavua kweli... Dah!

Duh alafu kumbe uyo Mwenzio nae ni member MMU, anakusoma ngoja urudi home, lazima mpashane, wadada tena.
 
Ha ha ha ha.. yaani unajua skype & viber zimeleta mapinduzi hata kama mpenzi wako yuko Guatemala huko.. mnapiga game safi kabisa..

Just a click away watu haaaao mabafuni then kila mtu kwa mishe! !!!!!
 
Kwa muda ule wa uhitaji inaweza kuonekana kuwa ni solution ila iki replace mapenzi halisi kwa muda mrefu ni shidaa!!!!
Kila jambo lina faida na hasara!!

Hata sukari nabutamu wake ina hasara mamy!!!!

Piga bhana baadae achana na kuwaza hasara!!!!!
 
sasa kama anafanya kwenye simu ndo afanye na ww ukiwepo ni sawa kama anagegedana na huyo mpenzi wake mbele yako.....angeenda kwenye hiko chumba cha wageni akanyie upuuzi wake.....kakutia mihemeko tu maskini we !!!

Ha ha haaa mihemko ya maza hausi mpaka sredi! !!!!
Kumbe ndio sababu oook wewe umeleta chanzo cha hasira yake!!!!!!
 
Ha ha haaa mihemko ya maza hausi mpaka sredi! !!!!
Kumbe ndio sababu oook wewe umeleta chanzo cha hasira yake!!!!!!
We OLESAIDIMU mchokozi sana....sasa jamani huyo mdada hata kama kamzoea shostitio kuna mipaka...maana kanyimwa ustaarabu angehamia japo sebuleni basi kama anaogopa chumba kingine amalize mambo yake kanyimwa mshipa wa haya??etii anaambiwa vua anavua na miguno haaa hata mimi ningekuwa uncomfortable...Lakini watu na fani zao sio :eyebrows:
 
Last edited by a moderator:
Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha wageni kwa kigezo kuwa anaogopa kulala peke yake.... Jamani usiku sijalala...! Mwenzangu anasex na boyfrnd wake kwa simu hadi nikawa simuelewi... na kabisa anaonesha vitendo... nikahama chumba kumpisha cz akiambiwa vua nytdress ye anavua kweli... Dah!
ha!!kumbe baby wangu alilala kwako jana...ulinisikia?
 
Sex thruu phone
Ina madhara???
Cc Mndengereko
inategemea unafanya mara ngapi na kama kuna ulazima wa kufanya i.e mpenzi wako yuko mbali,otherwise kama hamna ulazima sio vizuri kufanya all in all kufanya kila mara ni mbaya hasa kwa upande wa mwanaume nahisi inaweza kumuathiri kisaikolojia na kama anafanya mara kwa mara in one way or another inaweza ikampunguzia hata nguvu zake za kiume so sihauri sana kama hamna ulazima.
ila ninayo maelezo ya jinsi ya kufanya hiyo kitu (sex through phone) niliyaona mahali flani internet wish niyaweke ila nahofia nitaharibu hali ya hewa ama yatafutwa na mod au topic kuhamishwa jukwaa.
 
Mmmmh!!, mimi nilijaribu na mdada mmoja hivi nikawa naishia kupiga puchu tu, sitaki tena huo ujinga.
 
It is not, nimeona couple za kutosha tu wakipitia wakati mgumu baada ya kurudi kuishi pamoja.

Haina tofauti na masterbation, tena wengi baada ya simu anaendeleza kwa kuwatch porn. It is very bad kwakweli. Niliacha before it was not too late, it was kwaresma like this time, na nikamuomba Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa.

nataka kujiunga jukwa la wakubwa, nielekeze
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom