Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmh!Ukiona mwanamme anakupeleka vichochoroni basi ujue huna thamani kwake na wala hakuoni wa mana..
Ukiona mwanamme anakupeleka vichochoroni basi ujue huna thamani kwake na wala hakuoni wa mana..
Kwaupande wangu sioni kama inaleta maana kwani ukifanya chooni,jikoni,sebuleni na chumbani haitoshi mpaka vichochoroni ili iweje huko ndio umuonyeshe kua kwannavyokupenda hata hapa naweza fanya au? huko kwengine mie naona Hashuo2 la watu wengine.Mbona mnayafanya mapenzi kuwa 'one sided'?
Kwani hamuwezi kukubaliana?..lazima uburuzwe?..
It sounds like anakupeleka uchochoroni anakuacha huko..si mnakuwa naye huko uchochoroni..ati!
Kwaupande wangu sioni kama inaleta maana kwani ukifanya chooni,jikoni,sebuleni na chumbani haitoshi mpaka vichochoroni ili iweje huko ndio umuonyeshe kua kwannavyokupenda hata hapa naweza fanya au? huko kwengine mie naona Hashuo2 la watu wengine.