Kufanya mapenzi kwenye chochoro

Kufanya mapenzi kwenye chochoro

king roja

Senior Member
Joined
May 4, 2012
Posts
141
Reaction score
7
Hivi jamani ningependa kushare jambo hili. Jamani ni sahihi kwa watu wanaesema wanapendana kufanya mapenzi chochoroni na je ndo inajenga heshima ukizingatia chochoro si sehemu ya stara. Nawasilisha
 
Ukiona mwanamme anakupeleka vichochoroni basi ujue huna thamani kwake na wala hakuoni wa mana..
 
ah wacha weee...moko za uchochoroni zina raha yake ila sasa sio kila leo bana. ile hali ya kuwa mwaweza onwa na watu inaleta msisimuko wa ajabu....ni kitu unachojaribu mara moja maishani mwako
 
kufanya mapenzi nje na sehemu mlioizoea inaleta ashki na kudumisha penzi.mapenzi ni popote hata iwe jikoni,choon,bafuni,ufukweni na nk, ili mradi msiwakere watu.usikaririshe kwenye 6by6 tu hata 2by3,hata mchangani mchezo unachezeka.
 
Ukiona mwanamme anakupeleka vichochoroni basi ujue huna thamani kwake na wala hakuoni wa mana..

Mbona mnayafanya mapenzi kuwa 'one sided'?
Kwani hamuwezi kukubaliana?..lazima uburuzwe?..
It sounds like anakupeleka uchochoroni anakuacha huko..si mnakuwa naye huko uchochoroni..ati!
 
Mbona mnayafanya mapenzi kuwa 'one sided'?
Kwani hamuwezi kukubaliana?..lazima uburuzwe?..
It sounds like anakupeleka uchochoroni anakuacha huko..si mnakuwa naye huko uchochoroni..ati!
Kwaupande wangu sioni kama inaleta maana kwani ukifanya chooni,jikoni,sebuleni na chumbani haitoshi mpaka vichochoroni ili iweje huko ndio umuonyeshe kua kwannavyokupenda hata hapa naweza fanya au? huko kwengine mie naona Hashuo2 la watu wengine.
 
Maadam umekiri popote kambi inawekwa..
i bet in a long run utaona pia umuhimu wa uchochoroni..
 
Me nazani binadam tumetofautishwa na wanyama. Wanyama wanaweza kufanya mapenz popote bila kujali lakin wanadam tumepangiwa mipaka. Chochoron si sehemu muhimu ya kufanya mapenzi
 
uchochoro sio aisee yan ni kushushana heshima,,,,,,mie akiniambia mambo ya chochoro napiga chini!!
 
Wapi Bishanga, njoo huku,uzoefu wako unahusika hapa!
 
Kuna mtu na mtu wa kupelekwa kichochoroni aisee hata gest za uchochoroni zinawenyewe
 
Vitu vingi vinavyotokea bila kujiandaa vinakuwaga vitamu sana....

Mfano kamboga kakipikwa kadogo basi ugali utalika kweli.....

Namaanisha mazoea yanafanya mapenzi yanakifu na kupoteza radha, jaribu uchochoroni halafu rudi tena hapa!
 
Jamani ni ukweli usiopingika ya kwamba chochoron si sehemu sahihi kwa mapenzi kwasababu lile ni tendo la kimaumbile ambalo linahitaji kushuhudiwa na walengwa wa tendo lenyewe na si kuwapa faida watu wengine wasiohusika
 
Jaman nahisi cpati maana halisi ya uchochoroni...au ctak kukubali picha inayojengeka akilini mwangu...
 
usipime, yana raha yake bwana. hata ofisini, acha kabisa, yaani ule wasiwasi wa kufumwa, fastafasta kuna raha kitu. We jaribu
 
Back
Top Bottom