Hivi tunda komavu bivu lina sumu kweli?😂Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri.
shame on you!!
itoke wapi😀😀Hivi tunda komavu bivu lina sumu kweli?😂
Umeandika Point ya msingi sana ila ngoja tumsikie mleta mada anasemaje Papai bivu na Papai bichi lipi tamu kuzidi lingine au yeye ni bingwa wa kula mamapapai mabichi?Hivi tunda komavu bivu lina sumu kweli?😂
Basi uzi ufungwe mmemaliza maelezoitoke wapi😀😀
Mapenzi hayana umri!! Am 46yrs na nipo na Mwanamke mwenye 24yrsLabda useme mwanamke kutoka na kijana Mdogo ndio kama kuonja sumu. Kujidhalilisha.
Tena wakiwa rika tofauti.
Mfano, mtu mzima wa miaka 45 huko atoke na kijana wa 25+.
Ni aibu Sana.
Lakini sio kosa mtu kujidhalilisha mwenyewe faraghani kama sio kinyume na Sheria za nchi na imani
fafanua kidogo mkuu, sumu kivipi?.....yamekukuta yapi?.... 🙄hio sumu ni mbaya sana
Hatimaye tumefikiwa 😅Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri.
shame on you!!
Hivi tunda komavu bivu lina sumu kweli?😂
hapana kufanya mapenzi na mwanamke aliekuzidi umri/mzee ni kama kuonja sumuLabda useme mwanamke kutoka na kijana Mdogo ndio kama kuonja sumu. Kujidhalilisha.
Tena wakiwa rika tofauti.
Point yangu iko hapa.Mfano, mtu mzima wa miaka 45 huko atoke na kijana wa 25+.
Ni aibu Sana.
🤔Lakini sio kosa mtu kujidhalilisha mwenyewe faraghani kama sio kinyume na Sheria za nchi na imani