Ma mtu nimekuwa jibwa tena!Utatapeliwa vibaya we mbwa
We shauri yako!Ma mtu nimekuwa jibwa tena!
shibela anajibu la hilo swaliShida Iko wap? Kwan Kuna aliyemzaa mwenzake?
Hata mimi nauliza swali hilo hilo mkuu.We ndege Nani kamzaa mwenzake Tena?
πππππShida Iko wap? Kwan Kuna aliyemzaa mwenzake?
Dah am speechless kitotoπSiku moja nikikuuona tena unatoka discount shopez au unakula kwiyooo m.b nitakuita Kwa sauti kwamba mbususu sio sumuππ
π π bahati nzuri shopping huwa ukija fanya huwa nakuona na ukienda kula pale nakuonaDah am speechless kitotoπ
Sasa kwanini hunishtui mkuu, unanichora tu eehππ π bahati nzuri shopping huwa ukija fanya huwa nakuona na ukienda kula pale nakuona
ππ Nakuzoom tuu.. ila next time nitakushitua tuuSasa kwanini hunishtui mkuu, unanichora tu eehπ
Haya poaa, kwani huwa unakua around daily? Ndiyo kijiwe chako cha kazi?ππ Nakuzoom tuu.. ila next time nitakushitua tuu
Mie mfanya usafi mle mkuuHaya poaa, kwani huwa unakua around daily? Ndiyo kijiwe chako cha kazi?
Mmh haya hongeraaMie mfanya usafi mle mkuu