Kufanya masters/PhD vs kusoma vitabu kipi Bora?

una recomendation ya women anatomy mzee nifanye ka-assignment kangu..au tuanze na kama sutra original version ya hindus?
Ntaweka link mkuu
 
'' Mathematics is a sacred knowledge''
Hii statement ni kweli mtupu, mi nakumbuka toka shule ya msingi nilikuwa mweupe darasani kwenye kila somo kiasi cha kuamini form four ndo mwisho wangu lakini nilipofika form two nikapata tuition ya hesabu tu, aisee ilinifungua macho sana kwani kidogo nilichojua kwenye hesabu kikanifanya kujua masomo mengi sana mpaka advance nikachagulia kusoma masomo yenye pure math, chuo kwa kutumia maarifa ya hesabu nikapiga fresh bila kutikisika mpaka leo naamini maarifa mengi mapya nayoyapata yanatokana na kuijua math, ngoja nirudi kuendelea kuisoma hesabu kwenye vitabu maana nilijua nimemalizana nayo shuleni.
 
Kuna watu wanaimba tu na wanajenga majumba kilasiku, najua kilichojenga ni pesa na sio hesabu zako mkuu. Otherwise elezea vzr hesabu pekee zilijenga vip?
 
Kama kwa ajili ya kuelewa somo vitabu, ila kama kujaza makaratasi ndani soma PhD
 
Mathematics is the key of everything
 
hata mimi nimemuona muongo tu.
Halafu kusoma sana vitabu haina uhusiano wowote na mafanikio ya duniani.
Ingekuwa hivyo wakina bakhresa wangesoma vitabu vingi sana hadi wangegeuka wehu.
Haya kuna mtu kama kasheku msukuma hajasoma kabisa hivyo vitabu na anamiliki mabasi.
 
Miaka mitano
5 years ndugu ,sio easy kama unavyoandika
Kusoma mwenyewe sio rahisi kabisa
Kuna vitu vidogo vidogo mfano kutumia scientific calculator kusolve maswali mfano yale ya matrix 4x4 au umepewa equations zaidi ya 3 ambazo zimebeba variables zaidi ya mbili mfano x1,x2,x3 kupata thamani kutumia calculator lazima uwe na mtu atakae kuelekeza mambo ya calculating devices

Hata ishu ya mathematical table kutumia kupata majibu ya distributions tofauti tofauti kama ch-square, normal ,t-distribution, F.distribution, pia kwenye confidence interval bila mwalimu umesanda,. Hapo bado kusoma zile table za non parametric statistics ndio kabisaa utaona madudu

Halafu ishu ya kampuni nyingi wanahitaji mathematician/statistician/data scientist kudeal na large number of data so hata kama unajua hesabu kuliko hao maprofesa hawaangalii hayo maana kwa kichwa huwezi fanya chochote
Ndio maana lazima mtaalamu wa hesabu ajue some statistical parkeges mfano spss, R, stata etc hizo ndio zinazomsaidia kuprocess data nyingi kwa mkupuo .kama hujui inakula kwako
 
Mimi nimeweza mkuu penye Nia pana njia.. don't forget pia Kuna video nyingi sana tu za mafunzo ya hisabati.
 
Well sa
Well said
Wel

Well said.
School system gives us the basics and shows the direction. Extensive knowledge is in books through personnel in-depth reading and understanding.
 

Jamaa na kusoma kwake vitabu 400 kashindwa kutofautisha kati ya TAALUMA na UJUZI hii inaonesha kabisa wingi wa vitabu sio kuelimika
 
Brother una kitu unakijua! Ungefungua uzi juu ya hizi hustles,naamini kuna kitu tutajifunza
 
Usi ishi kwa kukariri mkuu

Nimekariri wapi mkuu?

Duniani kuna kitu kinaitwa utaratibu hichi ni kitu muhimu sana bahati mbaya nimekutana na mwana mahesabu asiyekifahamu/anayekipuuza.

Wakati msingi wa mahesabu ni taratibu. Mkuu taratibu na ziheshimiwe ndio maana kuna somo la ethics

Nitakupa mfano mwingine rahisi kabisa, mtu kusoma quran au biblia na kukariri swala na sala za dini hizi hakumfanyi kuwa muumini hadi atakapo fanya yafuatayo ama ku silimu, kubatizwa au kuokoka.

Sasa hauwezi kuwa Professional na Expert mpaka upitie mambo fulani fulani ndio maana watu wanakwenda kusoma hizo Masters na PhD
 
Binafsi nakubaliana kabisa na wazo lako mkuu, kimsingi mada si uliyoyapata kulingana na unachokijua ambacho umejifunza kupitia vitabu, Jambo la msingi na la kuzingatia ni kuwa SHULE(degree,Phd nk) pekee havitoshi kumfanya mtu awe na hiyo power anayoihitaji (competent) kwenye Jambo Fulani bali mpaka afanye jitihada za makusudi kujua mambo kiundani, na jitihada hizo ni KUJISOMEA vitabu vingi sana.

Let's try to be positive, tusi attack mfano wako bali tuchukue ushauri kuwa KUJISOMEA ni bora zaidi baada ya KUFUNDISHWA.

Sisi wengine inabidi tuchague maeneo yetu ya ukamilifu (areas of strength) na kujiwekeza huko kutafuta maarifa kama ambavyo mkuu amechagua eneo lake la hesabu.
 
Izo hesabu za advance mpaka PHD level na hivo vitabu 400 ,ulivo soma tu ukaelewa au kun mtu alikufundishaa?
 
Waliosema knowledge is power is true ..aisee at the beginning nilikuwa mvivu Sana wa kusoma lakini baadae nikajikuta nimevutiwa kusoma machapisho mbalimbali hasa ya maarifa ya dini.na kazi ...kwenye dini nikawa interested na hizi abrahamic religions (islam christian and judaism ) ..na zaidi christianity.. honestly ukisoma unajua vitu na inaongeza confidence..kabla nisome nilikuwa na mshaka sana juu ya exploitative nature of christianity ila sikuwa na evidence but now I have got knowledge am free ...nasisitiza Sana watu wasome aisee biblia watu hawaijui hata hawa wachungaji nao hawaijui na historia yake hawaijui ila wanaitumia kukusanyia sadaka za wasiojua biblia...
 
Izo hesabu za advance mpaka PHD level na hivo vitabu 400 ,ulivo soma tu ukaelewa au kun mtu alikufundishaa?
Both . Nilifundishwa plus kusoma mwenyewe. It took me five good years and was studying maths and maths only
 
Ur the true son of ur father
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…