Kufanya masters/PhD vs kusoma vitabu kipi Bora?

I agree with u
 
Mkuu kwa nini unasoma electromagnetism ? Ukinijibu nitakusaidia kuielewa halafu ntakuongezea kitu hapa.
Kwa nini architecture haikukulipa, huku mimi nilijutia kukosa hio kozi.
Af umeenda kwenye makemikali, je ulitumia muda vizuri kusoma kitu usichokipenda?
 
Unapata faida gani kumridhisha mwanamke huku wewe ukikosa kuridhishwa?
 
Unapata faida gani kumridhisha mwanamke huku wewe ukikosa kuridhishwa?
There is no sexual pleasure for a man than to see a woman is sexually satisfied by you.
 
There is no sexual pleasure for a man than to see a woman is sexually satisfied by you.
Vitabu huwa unatoa wapi? Nadhani hata pale udsm au tanganyika libraly hawana kopi 400 za vitabu vya hesabu au pdf mkuu.Naomba unijibu swali langu kwa nini unasoma magnetsm.
Jaribu kusoma na quantum physics, mule ni hesabu tupu physics kidogo sana, una advantage ya kuilewa.ni kitu konki sana inayofikirisha ubongo.
 
Hujajibu hii comment, nitendee haki nimependezwa na andiko lako.
Kuna mtu anaitwa OSHO alisoma vitabu 100000 wazungu walikuwa wanamuogopa kama ukoma,angalia usije ogopwa na watu maana ukisoma sana vitabu utagundua watu ni wajinga sana.
Halafu kuna hatari ya kuwa chizi.
 
Asante kwa taarifa
 
Vitabu vingine naagiza nje
 
Kijana Tulia.. Hujui Hesabu Bado.. Labda ujue Historia ya Hesabu.
 
Mkuu hajui Hesabu Huyo..bhana.. Sijui anazjngumzia historia ya Hesabu huyo.. Differential equations zenyewe kuna ambazo zinanikimbiza.. Kuna Integration.. hapo sijagusa Mchawi Aljebra na Proba za Fourier series!
 
Kwa hiyo mkuu mahesabu ya kanuni za Fractal itakuwa inaya manya manya sana. Heko!
 
Nakupa option mkuu.
Hapa ni aliye soma PhD
Harafu hapa ni aliye soma vitabu.
Kazi kwako mkuu
 
Mkuu sijui kabisa electromagnetism lakini katika kusoma kwangu vitabu vingi sana nimegundua ni kitu cha ajabu sana na inawezekana bado sana binadamu hajaijua vizuri hiyo energy, nimegundua vitu vingi sana vya kisasa vilivyo advance msingi wake ni hiyo energy, sasa basi nataka nijue kidogo kuhusu hiyo hasa upande wa usafiri, kuna siri kubwa sana hapo ila lengo langu hasa ni kujua tu nielewe hiyo energy basi!

wakati nasoma architecture ilikua bado inalipa,nilivyoingia mtaani ikabadilika,ikatoka kwenye ma drawing boards to autocad,archcad,chief architect and revit...sasa hapa kikatokea kitu cha ajabu sana kila mtu akawa anaweza kuchora yaani ukiweza kuchora tu floor plan inakuinulia yenyewe kila kitu...

mkuu Architecture haina hela hata mia, hizo kampuni kubwa zote either zimefilisika au wamegeuka consultants na angalau kipindi cha jakaya walipata kazi kidogo ila bro ma architect wengi wanahustle mambo mengine kabisa mkuu..

sio sikuipenda archutecture mkuu mm nilikua naangalia maslahi bro, ile falsafa ya kwamba fanya kazi unayoipenda mi sinaga hizo mastyle..mi nacheki noti tu, machemical nilipata basic kampuni moja hv nilikua mtu wa sales nikajiongeza...mpaka sa hv nadeal na chemicals ila nafanya na ishu nyingine kibao za tofauti kabisa..najenga,nina kampuni kabisa ya ujenzi,nina magazine nzuri tu ya ujenzi,hizo chemicals, yaani nipo flexible sana....
 
Ngoja nikwambie mkuu, Mimi ni mtu social sana, ni heavy drinker, msosi napiga wa kutosha napata muda wa kupumzika wa kutosha, ila sasa hapa kwenye leisure time ndo huwa sipotezi muda kwa mfano social media ukitoa telegram na jamiiforums hizi nyingine situmii muda sana kama hamna cha maana, kwa hiyo nikiwa kwa mfano bar, kama sina wa kuongea nae naweza soma kitabu cha page 100-150 na kikaisha fresh kabisa na notisi nikahighlight maana simu yangu lazima iwe na kalamu hiyo ni lazma, nikiwa home naangalia sana series mno, ila lazma iwe ya aina yangu, currently naangalia 1. line of duty 2 blacklist 3 Luther 4 Ozark ....hizi naangalia cocurently..nadownload hii
naangalia ikiisha naangalia hii basi inakua burdan..

huezi kuwa chizi kama unajitambua unafanya nn maana kila kitu ukizidisha ni tatizo, mi hata totoz ikikaa sawa nanyoosha tu so sio mtu wa kucomplicate maisha kabisa sema...naumizaga kichwa kwenye hela hapo ndo huwa nafikiriaga kama mwehu...

Nina principle moja rahisi sana, nikiwa naongea na mtu nampima uelewa wake kirahisi, so kama ana uelewa kuliko mm huwa natumia huo mwanya kujifunza kwake ila kama ana uelewa mdogo najishusha nakua kama yeye na maongezi yanakua burdani kabisa..

ujuaji ndo utakufanya watu wakuogope na mbaya wanaweza hata kukuchukia kabisa.
 
Nakutahadharisha tu mkuu. Elimu ikizidi inakuwa janga.
Halafu hakuna chizi anaekubali kuwa yeye ni chizi. Kufanya hayo unayoyafanya hakukufanyi usiwe chizi.
Hata kusoma sana vitabu ni uchizi. Kama unasoma vitabu isivyo kawaida tatari channel zimejata mkuu unahitaji ushauri wa daktari.
 
Hongera mkuu. Architectute ilikuwa kozi of my dream but nikaangukia course ya ulalamishi kwa serikali.
Kuna mama mmoja marehemu anaitwa Zaha Hadid, naona ameshiriki project kubwa duniani ikiwepo uwanja wa ndege wa China. Sasa inakuwaje dada kama yule aweze kukubalika dunisni na wewe uishie bilabila. Je architecture ni kipaji au elimu au zali.
Unataka kuniambia majengo makubwa kama masoko ya kisasa ya magufuli kina nani wamedizaini, magorofa ya daresalamu hapo nk.
Majengo mazuri ya kisasa yanadizainiwa na lasaba?
 
mkuu unanilazimisha kuwa mm ni chizi anyway nafkiri nimekujibu...ila kama kuna lingine niulize
 
uliza kina suma varma wapo wapi,waliochora ppf tower,kawaangalie Md architect wakina dudley mawala hii miaka mitano ni kama walifunga ofice, zaha ni international architects kupenya ukafika pale sio mchezo ila jua tu architecture bongo ni ishu sana shida ipo kwa clients...
architecture ni kama football au soccer...kuna kipaji kama messi na kuna kipaji na hardworking kama ronaldo...
 
Hivi diamond kasoma vitabu vingapi?
Mark zuckerberg kasoma vingapi?Bakheresa,Msukuma na Fred vunja bei wamesoma vingapi?
Vitabu mia nne! kwa mada moja!hata kama utasoma kitabu kimoja kila siku,utakuwa umesoma vitabu 365 kwa mwaka!
We jamaa uliyoyaeleza hapa yana ukweli?!
Kuna vijana wanafanya IT renovation za kutisha mtaani lakini sio kwa kusoma mavitabu yote hayo.
Kusoma vitabu ni muhimu inategemea unataka ku accomplish nini.
 
Ur fucking kidding man,hata kama kuna watu wanafoji vyeti,uwezi kusema mfumo wa vyeti tuutoe,lazima kuwe na mamlaka zinazopima kiwango Cha uhodari uliofikia,uwezi kusema uende upige story tuuu watu wakupe kusimamia mradi kama wa bwawa la umeme la Nyerere,au udesign power plant kwa kusema tu Mimi nimesoma vitabu vingi!
Lazima watu wajue,shahada umepata wapi,wewe ni graduate engineer,professional engineer,au engineer mshauri.
Kama hujapita kwenye taasisi za Elimu ya juu,huwezi kujua umuhimu wake,
Juzi ulaya walikuwa Wana cerebrate uhodari wa Prof Ndulu katika uchumi,wewe unafikiri alifika hapo kwa kupiga story tu na kujisomea mavitabu akiwa ghetto Kwake?amepitia mifumo rasmi,akapewa kazi kwenye taasisi,akaonyesha maajabu,uprofesa na uhodari hauji hivi hivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…