Mkuu sijui kabisa electromagnetism lakini katika kusoma kwangu vitabu vingi sana nimegundua ni kitu cha ajabu sana na inawezekana bado sana binadamu hajaijua vizuri hiyo energy, nimegundua vitu vingi sana vya kisasa vilivyo advance msingi wake ni hiyo energy, sasa basi nataka nijue kidogo kuhusu hiyo hasa upande wa usafiri, kuna siri kubwa sana hapo ila lengo langu hasa ni kujua tu nielewe hiyo energy basi!
wakati nasoma architecture ilikua bado inalipa,nilivyoingia mtaani ikabadilika,ikatoka kwenye ma drawing boards to autocad,archcad,chief architect and revit...sasa hapa kikatokea kitu cha ajabu sana kila mtu akawa anaweza kuchora yaani ukiweza kuchora tu floor plan inakuinulia yenyewe kila kitu...
mkuu Architecture haina hela hata mia, hizo kampuni kubwa zote either zimefilisika au wamegeuka consultants na angalau kipindi cha jakaya walipata kazi kidogo ila bro ma architect wengi wanahustle mambo mengine kabisa mkuu..
sio sikuipenda archutecture mkuu mm nilikua naangalia maslahi bro, ile falsafa ya kwamba fanya kazi unayoipenda mi sinaga hizo mastyle..mi nacheki noti tu, machemical nilipata basic kampuni moja hv nilikua mtu wa sales nikajiongeza...mpaka sa hv nadeal na chemicals ila nafanya na ishu nyingine kibao za tofauti kabisa..najenga,nina kampuni kabisa ya ujenzi,nina magazine nzuri tu ya ujenzi,hizo chemicals, yaani nipo flexible sana....