yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Ukisoma biashara u uchumi utajua kwanini bei inauzwa hivyo,...Nimejaribu kutoa sababu tu kwanini biashara za mitaani hazikui ama kuwapa watu mafanikio tembea mikoa Mingi biashara zipo sehemu za mijini wanakouza zaidi ya wilaya tatu hizi biashara za mitaani hata mamangi wamezikimbia siku hizi
Nimejaribu kutoa muongozo Nini kifanyike kwa hizi biashara za rejareja mitaani nyingi hazikui pia zinafungwa sababu faida ya asilimia 5-10 haijitoshelezi lazima ufunge tu biashara