Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida


Unafanya biashara gani na wapi ulipo??

Kwa ujumla ulichoandika hakitekelezeki kwenye maisha ya mtaani.

Kwanza unatakiwa ufahamu hii rule 1 kuhusu wateja, kwamba WATEJA WANA TABIA YA KUAMBIANA/KUSANUANA/KUPEANA TAARIFA.

Mteja anaweza kuacha duka mtaani kwake akafata bidhaa duka mtaa wa 2 kisa tu punguzo la sh 50
 
Ili uweze kuwa mshaur mzur lazima ww mwenywe kile unachokishaur uwe umesha kifanya au unakiishi
Mkuu ulishawah kufanya biashara yeyote?
Tuanzie hapo kwanza
 
Ninayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock.
1.Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka.
2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani
3. Inaonyesha Kila bidhaa unayouza Ina faida ya sh. ngapi
4. Kama Kuna upotevu wa fedha inaonyesha.

INAFAA KUTUMIA KWENYE SMART PHONE AU COMPUTER

Ili kuitumia unatakiwa kuwa na rekodi sahihi za Kila manunuzi na mauzo ya Kila siku. Nicheki Whatsapp 0753546162
 
Biashara ya kupangiwe bei ni ngumu sana kutoboa hasa hizo za akina azam na mo itakuchukua miaka sana
Biashara ili ufanikiwe inabid bei uipange wewe mwenyewe na ndo maana maproducer hawa akina mo azam, wanzidii kukua tu kila siku na wakatii huo nyie wauzaji wadog mnaendelea kufunga tu maduka kila siku na kumtafuta mchawii nanii.
 
Ulivyoacha ukahamia kwenye biashara gani mkuu
 
Mafanikio ni nini mkuu?
 
Tatizo bongo watu tuna vichwa vigumu sana, mawazo ya kuhisi ukipunguza bei utauza sana ni mawazo ya kijinga sana.
maduka ya mtaani unaweza kuta mtu anuza hata laki 4 kwa siku alafu hata kula yake bado ni ya kusuasua achilie mbali maendeleo.
 
Miaka ya nyuma wakati nilipokuwa nasafiri kibiashara kwenda Dubai, Nilikuja kugundua Bidhaa tunazonunua Dubai kwa jumla Bongo ni rahisi zaidi reja reja kuliko hata huko Dubai kwenyewe. niliishia kuachana na ile biashara tu.
 
Miaka ya nyuma wakati nilipokuwa nasafiri kibiashara kwenda Dubai, Nilikuja kugundua Bidhaa tunazonunua Dubai kwa jumla Bongo ni rahisi zaidi reja reja kuliko hata huko Dubai kwenyewe. niliishia kuachana na ile biashara tu.
Biashara gani hyo boss...?
 
Biashara nyingine ni vijiwe tu
 
Mleta mada unazungumzi faida ipi hyo...?

-Gross profit

-Net profit

Faida haipigwi kwa staili kama hyo......unasahau kuna manunuzi,stock opening&closing n.k

Uzuri duka la mangi TRA hawalitolei macho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…