Hiyo ni kilasiku had Kuna wakati najiona ninezidisha sasaJe umewahi ku-manifest things?
Yaani kutengeneza picha fulani nzuri ya maisha yako ya baadaye like unaingia kwenye nyumba yako kali nje umepaki gari, Watoto wanakupokea kwa furaha 🧠
Something like that?
AiseeMara chache Sana, ila ninacho weza ni recuperation tu.
.method Kama kuimba wakti naoga kwa muda mrefu.
.kuongea mwenyewe hii ni tiba nzuri
. Kusikiliza muziki au kutazama filamu.
.kukaa kimya, naongea kichwani tu
Meditation inaurudisha mwili na akili kwenye utulivu wake wa asili ili upate nafasi ya kufikiri na kushughulika na Maisha kwa utulivu wa hali ya juu.mimi sana tu sasa hivi kuna vitabu nasoma soma lakini nimefanya meditation manadiliko najiona nakua nanhuruma sana now a days, yan kuua mdudu washa ilikua kwangu sekunde tu sasa hivi nasema ana roho anapaswa kuishi namuacha, naweza lala late lakini kumi na mbili natakiwa kuamka bas nitaamka dakika mbili kabla, sipendi kujimix na watu ikitokea bas haraka sana nawaza kurudi nyumbani nikapumzike, hio ya kukaa nilikua siwez nikajaribu kulala nikahisi vibaration kwneye mguu wa kulia nikaacha haraka nikaogopa nisij potelea huko
Kama unaweza kufanya hivyo uko karibu sana na kuweza kufanya meditation.Hiyo ni kilasiku had Kuna wakati najiona ninezidisha sasa
mwanzon nilijua you just sit unafunga macho lol nimehangaika kujua nikawa nafuatilia sana threads yan serach engine yangu imejaa hizo mambo na nilikua najua nitaona hayo mauza uza watu walikua wanatoa ushuhuda sasa hivi nataguta kitabu cha astral dynamics cha somebody bruce najitahidi kwa kweliMeditation inaurudisha mwili na akili kwenye utulivu wake wa asili ili upate nafasi ya kufikiri na kushughulika na Maisha kwa utulivu wa hali ya juu.
Endelea hivyo hivyo natamani siku1 ufikie uwe kama mimi.
Kwanza sijajua unafanya aina ipi ya Meditation, Aina kuu mbili kwa begginers ni Meditation ya Pumzi na Meditation ya Mantra[Kurudia rudia maneno].I find it hard to concentrate😔😔😔.
What do you focus when you meditate? I just can’t stop thinking.
Jitahidi lakini usitake kujitahidi zaidi mpaka kujaribu Astral projection.mwanzon nilijua you just sit unafunga macho lol nimehangaika kujua nikawa nafuatilia sana threads yan serach engine yangu imejaa hizo mambo na nilikua najua nitaona hayo mauza uza watu walikua wanatoa ushuhuda sasa hivi nataguta kitabu cha astral dynamics cha somebody bruce najitahidi kwa kweli
Ya pumzi halafu unatakiwa usiwaze chochote.Kwanza sijajua unafanya aina ipi ya Meditation, Aina kuu mbili kwa begginers ni Meditation ya Pumzi na Meditation ya Mantra[Kurudia rudia maneno].
Wewe unajaribu kufanya ipi?
Sasa huko uswazi si ungefanya meditation chap ukimaliza unaenda kuchukua mihogo au sambusa za jero.Mimi nilijaribu kama mara mbili nikashangaa ule utulivu ndio naanza kuwaza nikimaliza nikapike , sijui nifue, khaaa!
Meditation isn’t for everyone.
sio what ni how , au ongeza on hapo😂🤣I find it hard to concentrate😔😔😔.
What do you focus when you meditate? I just can’t stop thinking.
mkuu, hio astral nimesoma humu nikaona watu wakisema na kutadhaharisha baada ya kujua unaweza kufanya menditation ukiwa hata unelala au kukaa nikaona nakua comfortable kulala nikikaa nikameditate hapa kwenye eneo la third eye hua pananiuma nilivyojaribu kulala nikapata hio ya kuvibrate mguu wa kulia kuanzia nyayon na vibration ikapanda kwenye paja nikatoka kwakuhofia naweza kua nafanya astral projection na kuna namna flan nilikua nahisi kama mwili una joto nasisimkwa nikikaa lakini n nn hiyo?Jitahidi lakini usitake kujitahidi zaidi mpaka kujaribu Astral projection.
Haufahamu recuperation ni nini??, au method zake!!Aisee
Ila inakero mara utasikia kwa jirani kamziki unapenda 😂😂😂kasheshe huanza😂😂😂
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Sasa ndio nianze kuwaza mihogo ya wapi itakuwa mitamu😂😂Sasa huko uswazi si ungefanya meditation chap ukimaliza unaenda kuchukua mihogo au sambusa za jero.
Nimeruka on ngoja nikaiweke😍sio what ni how , au ongeza on hapo😂🤣
Don't kiss me, I heard most women got a snake tongue 🤣🤣Nimeruka on ngoja nikaiweke😍
uchawi pilipili na kachumbari mihogo itakuwa mitam tu, ile mihogo inayokaangwa na mixer ya mafuta na maji.Sasa ndio nianze kuwaza mihogo ya wapi itakuwa mitamu😂😂