mimi sana tu sasa hivi kuna vitabu nasoma soma lakini nimefanya meditation manadiliko najiona nakua nanhuruma sana now a days, yan kuua mdudu washa ilikua kwangu sekunde tu sasa hivi nasema ana roho anapaswa kuishi namuacha, naweza lala late lakini kumi na mbili natakiwa kuamka bas nitaamka dakika mbili kabla, sipendi kujimix na watu ikitokea bas haraka sana nawaza kurudi nyumbani nikapumzike, hio ya kukaa nilikua siwez nikajaribu kulala nikahisi vibaration kwneye mguu wa kulia nikaacha haraka nikaogopa nisij potelea huko