Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

mimi sana tu sasa hivi kuna vitabu nasoma soma lakini nimefanya meditation manadiliko najiona nakua nanhuruma sana now a days, yan kuua mdudu washa ilikua kwangu sekunde tu sasa hivi nasema ana roho anapaswa kuishi namuacha, naweza lala late lakini kumi na mbili natakiwa kuamka bas nitaamka dakika mbili kabla, sipendi kujimix na watu ikitokea bas haraka sana nawaza kurudi nyumbani nikapumzike, hio ya kukaa nilikua siwez nikajaribu kulala nikahisi vibaration kwneye mguu wa kulia nikaacha haraka nikaogopa nisij potelea huko
Meditation inaurudisha mwili na akili kwenye utulivu wake wa asili ili upate nafasi ya kufikiri na kushughulika na Maisha kwa utulivu wa hali ya juu.

Endelea hivyo hivyo natamani siku1 ufikie uwe kama mimi.
 
mwanzon nilijua you just sit unafunga macho lol nimehangaika kujua nikawa nafuatilia sana threads yan serach engine yangu imejaa hizo mambo na nilikua najua nitaona hayo mauza uza watu walikua wanatoa ushuhuda sasa hivi nataguta kitabu cha astral dynamics cha somebody bruce najitahidi kwa kweli
 
Jitahidi lakini usitake kujitahidi zaidi mpaka kujaribu Astral projection.
 
Jitahidi lakini usitake kujitahidi zaidi mpaka kujaribu Astral projection.
mkuu, hio astral nimesoma humu nikaona watu wakisema na kutadhaharisha baada ya kujua unaweza kufanya menditation ukiwa hata unelala au kukaa nikaona nakua comfortable kulala nikikaa nikameditate hapa kwenye eneo la third eye hua pananiuma nilivyojaribu kulala nikapata hio ya kuvibrate mguu wa kulia kuanzia nyayon na vibration ikapanda kwenye paja nikatoka kwakuhofia naweza kua nafanya astral projection na kuna namna flan nilikua nahisi kama mwili una joto nasisimkwa nikikaa lakini n nn hiyo?
 
Mimi nikianza huwa nasinzia hadi siku hizi nimeona niwe naifanyq ilii nisinzie haraka,Mengine niliofanya naona sija gain kitu ni yale power of subconscious mind sijui ku manifest yani vitabu vyote nme pitia lakini wapi acha ni meditate nisinzie apa
 
Back
Top Bottom