Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Mimi nikianza huwa nasinzia hadi siku hizi nimeona niwe naifanyq ilii nisinzie haraka,Mengine niliofanya naona sija gain kitu ni yale power of subconscious mind sijui ku manifest yani vitabu vyote nme pitia lakini wapi acha ni meditate nisinzie apa
nilichojifunza huoni faida lakini jiangalie maisha yako ya kila siku yamebadilika? namna unavyichukulia watu kabla na baada ya meditation yana tofauti? jaribu binaurial beats🙉🙉
 
mkuu, hio astral nimesoma humu nikaona watu wakisema na kutadhaharisha baada ya kujua unaweza kufanya menditation ukiwa hata unelala au kukaa nikaona nakua comfortable kulala nikikaa nikameditate hapa kwenye eneo la third eye hua pananiuma nilivyojaribu kulala nikapata hio ya kuvibrate mguu wa kulia kuanzia nyayon na vibration ikapanda kwenye paja nikatoka kwakuhofia naweza kua nafanya astral projection na kuna namna flan nilikua nahisi kama mwili una joto nasisimkwa nikikaa lakini n nn hiyo?
Ni kawaida kuona dalili kama vibration na joto wakati wa meditation, hasa katika eneo linalochochea uzingativu "Third eye."

Hizo ni ishara za umakini mkubwa, lakini ikiwa unahisi hofu, fanya meditation kwa tahadhari na kwa njia nyingine kama kutulia kwenye kiti.

Hapo unastruggle na meditation tu, Infact bado hujafikia level ya Astral projection yaani hata kwa 2%.
 
sih
Ni kawaida kuona dalili kama vibration na joto wakati wa meditation, hasa katika eneo linalochochea uzingativu "Third eye."

Hizo ni ishara za umakini mkubwa, lakini ikiwa unahisi hofu, fanya meditation kwa tahadhari na kwa njia nyingine kama kutulia kwenye kiti.
ofii chochote, ni ghafla tu nakua kunaniuma what about rangi rangibnakua naona rangi ya zambarau mara nyingi yan kama fungu hivi la rangi hio mpaka najisemea napatia au nakosea??
 
sih

ofii chochote, ni ghafla tu nakua kunaniuma what about rangi rangibnakua naona rangi ya zambarau mara nyingi yan kama fungu hivi la rangi hio mpaka najisemea napatia au nakosea??
Ni meditation hiyo.

Cha msingi ishinde hofu ongeza uzingativu kwenye hizo rangi utafikia stage ya kuanza kuona mambo tofauti tofauti ambayo yaliwahi kukutokea.

Ongeza uzingativu hapo utafikia stage ya Factory data reset ya yale mambo ambayo huwa yanakuondolea focus.

Automatically utakuwa ni mtu mtulivu, unayefanya mambo yako kwa umakini na uzingativu sana mpaka utaanza kujishangaa.
 
Ya pumzi halafu unatakiwa usiwaze chochote.
Sio kwamba usiwaze chochote hapana.

Inatakiwa uiwaze hiyo pumzi, uitafakari jinsi inavyotoka nakuingia.

Unaweza jenga picha like ule ukungu wa asubuhi.

Unapovuta pumzi fikiria namna ile hali ya ukungu inaingia mdomoni mpaka kwenye mapafu na unapoitoa imagine ile hali kama ukungu inatoka nje.

Kitendo cha wewe kuwaza pumzi hakutaruhusu wewe kuwaza jambo jingine na kama ikitoke jambo limekuja ghafla usishindane nalo ila ongeza focus zaidi kwenye pumzi untill focus itakuhamisha mpaka kuanza kuona rangirangi katika usawa wa paji lako.

Hapo sasa automaticaly utakua umeacha kufikiria pumzi bali itakua unazifikiria zile rangi rangi, Sasa hapa focus kuangalia zile rangi zinataka zifanye nini uzingativu uwe mithili ya unatafuta shilingi msituni.

Hapo mwili utahisi utulivu mkubwa sana utakua unasikia kila kitu, mzunguko wa damu, mapigo ya moyo, na hapo ni kawaida sehemu nyingine za mwili kushtuka au kutetema sababu haujawahi pata utulivu wa aina hii.

Kwasasa kafocus mpaka ufikie hiyo stage then Utaleta mrejesho ili nione umefikia wapi!!
 
I find it hard to concentrate😔😔😔.
What do you focus on while meditating ? I just can’t stop thinking.
You can't stop thinking instead observe/witness them without any judgement, they will stop themselves. Kikubwa uwe ktk comfortable pose na mazingira ambayo Ni tulivu. Wengine wanatumia mbinu ya kufocus kwenye kitu kimoja mfano breathing, mwanga wa mshumaa au repeated words (mantra) n.k automatically thinking inadisappear yenyewe. Kadri ya utakavyokua unapractice utakua unaimprove. Inshort it takes time to master it.
 
Ushafk rufiji ...... Ok work hard...

check Uzi unistue blood 👊



Chagua inayokufaa blood 👊🏾👊🏾
 
Back
Top Bottom