Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Wewe ni familia fanya jambo sasa....Daah!!
Tatizo somo ni refu sana blood. 😇
Una hrkt nyingi Ila sema neno familia 👊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni familia fanya jambo sasa....Daah!!
Tatizo somo ni refu sana blood. 😇
nilichojifunza huoni faida lakini jiangalie maisha yako ya kila siku yamebadilika? namna unavyichukulia watu kabla na baada ya meditation yana tofauti? jaribu binaurial beats🙉🙉Mimi nikianza huwa nasinzia hadi siku hizi nimeona niwe naifanyq ilii nisinzie haraka,Mengine niliofanya naona sija gain kitu ni yale power of subconscious mind sijui ku manifest yani vitabu vyote nme pitia lakini wapi acha ni meditate nisinzie apa
fanya mida ya usiku ambayo unajua hakuna mtu anaweza kukudisturb mchana obviously ni ngumuIle ndo unaanza meditation mara mtoto wa Jirani anakugongea mlango kukuambia Anko maji yameanza kutoka bombani baada ya kukatika kwa siku 4. Inabidi ukurupuke
Ni kawaida kuona dalili kama vibration na joto wakati wa meditation, hasa katika eneo linalochochea uzingativu "Third eye."mkuu, hio astral nimesoma humu nikaona watu wakisema na kutadhaharisha baada ya kujua unaweza kufanya menditation ukiwa hata unelala au kukaa nikaona nakua comfortable kulala nikikaa nikameditate hapa kwenye eneo la third eye hua pananiuma nilivyojaribu kulala nikapata hio ya kuvibrate mguu wa kulia kuanzia nyayon na vibration ikapanda kwenye paja nikatoka kwakuhofia naweza kua nafanya astral projection na kuna namna flan nilikua nahisi kama mwili una joto nasisimkwa nikikaa lakini n nn hiyo?
Mmhh, I didn’t kiss you 😏Don't kiss me, I heard most women got a snake tongue 🤣🤣
ofii chochote, ni ghafla tu nakua kunaniuma what about rangi rangibnakua naona rangi ya zambarau mara nyingi yan kama fungu hivi la rangi hio mpaka najisemea napatia au nakosea??Ni kawaida kuona dalili kama vibration na joto wakati wa meditation, hasa katika eneo linalochochea uzingativu "Third eye."
Hizo ni ishara za umakini mkubwa, lakini ikiwa unahisi hofu, fanya meditation kwa tahadhari na kwa njia nyingine kama kutulia kwenye kiti.
Hahahaaa na vimiguu vya kuku😂uchawi pilipili na kachumbari mihogo itakuwa mitam tu, ile mihogo inayokaangwa na mixer ya mafuta na maji.
Hapa niko Rufiji hapa nimepaki chuma, Napunga punga upepo bar fulani ya kihuni.Wewe ni familia fanya jambo sasa....
Una hrkt nyingi Ila sema neno familia 👊
Kamanda hata Mpera unafaa au mmea gani ?Jaribu kutumia mmea, huwa unasaidia kuzima kelele na kufungua kichwa
Ni meditation hiyo.sih
ofii chochote, ni ghafla tu nakua kunaniuma what about rangi rangibnakua naona rangi ya zambarau mara nyingi yan kama fungu hivi la rangi hio mpaka najisemea napatia au nakosea??
Ushafk rufiji ...... Ok work hard...Hapa niko Rufiji hapa nimepaki chuma, Napunga punga upepo bar fulani ya kihuni.
Ngoja nikutafutie uzi wowote upate mwangaza kwanza familia 👊🏾👊🏾
ile iliyochomekwa kichwani na firigisi😋Hahahaaa na vimiguu vya kuku😂
Sio kwamba usiwaze chochote hapana.Ya pumzi halafu unatakiwa usiwaze chochote.
You can't stop thinking instead observe/witness them without any judgement, they will stop themselves. Kikubwa uwe ktk comfortable pose na mazingira ambayo Ni tulivu. Wengine wanatumia mbinu ya kufocus kwenye kitu kimoja mfano breathing, mwanga wa mshumaa au repeated words (mantra) n.k automatically thinking inadisappear yenyewe. Kadri ya utakavyokua unapractice utakua unaimprove. Inshort it takes time to master it.I find it hard to concentrate😔😔😔.
What do you focus on while meditating ? I just can’t stop thinking.
Feeling shy ha!, wait till I grab your coldest spot.Mmhh, I didn’t kiss you 😏
Ushafk rufiji ...... Ok work hard...
check Uzi unistue blood 👊
unaishi wapi mamasamiaIle ndo unaanza meditation mara mtoto wa Jirani anakugongea mlango kukuambia Anko maji yameanza kutoka bombani baada ya kukatika kwa siku 4. Inabidi ukurupuke