Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Meditation ukiwa committed nayo itakufanya uweze kuijua kweli, ujijue wewe halisi (soul). It's a spiritual journey na sio religious journey, hata hicho unachokiita ushetani u takuja kugundua ni stori tu ambazo umesimuliwa/umefundishwa. The kingdom of God is within you, zama ndani yako utajijua wewe halisi ni nani.
Hii theory siishangai najua inakoelekea "that ur god inour own influence" inshort ur god. Sibishani lkn chunguza
 
Ni giza...
Nina miaka 11 sasa ndani ya meditation kutwa mara 3 kila siku , huo uchawi sijauona labda uelezeea wewe ilikuaje ukafanya meditation ukaona uchawi?

Halafu unaweza kuta wewe ni mkatholic unasali rozali ila unasema meditation ni uchawi
🤔🤔
 
Jifundishe kwanza nini maana ya meditation na dhumuni lake na faida zake kimwili , kuliko kuongelea kitu ambacho hata kukifanya haujawahi zaidi ya maneno ya kuokoteza tu.
 
Meditation. Ni ushetani.
Mtu kuingia katika trance under unknown spiritual guide. Nikuwa demon posessed.
Kwa namna yule Mhindi ikuwa anatufundisha nilikuja kujua si salama.
Endeleeni yatawakuta
Halafu kwa nini Wahindi ?kuna mavitu ya ajabu ajabu kama dini flani vile...nikama siri ya kudaivu ndani y kina kirefu cha maji...

Kuna centre nyingi mijini mitaa ya Uhindini
 
Jifundishe kwanza nini maana ya meditation na dhumuni lake na faida zake kimwili , kuliko kuongelea kitu ambacho hata kukifanya haujawahi zaidi ya maneno ya kuokoteza tu.
Martial art practioner ( Guji ruu) nisijue meditation? Nimefanya Yoga early stages, najua fundisha la kutibu maradhi kadhaa kwa Yoga meditation, najua ninachoongelea. Labda kama unamaanisha tafakari lkn sio kuwa nje ya mwili na kuwa ktk ulimwengu mwingine. Wewe elezea jinsi atakavyokuwa mtu akiwa amekuwa nje ya mwili halafu wakuchagua kwa hiari yao wachague , maana hata ushirikina na uchawi watu wanaamua kujifunza .
 
Nina miaka 11 sasa ndani ya meditation kutwa mara 3 kila siku , huo uchawi sijauona labda uelezeea wewe ilikuaje ukafanya meditation ukaona uchawi?

Halafu unaweza kuta wewe ni mkatholic unasali rozali ila unasema meditation ni uchawi
🤔🤔
Saa tisa nasali pia rosali
 
Martial art practioner ( Guji ruu) nisijue meditation? Nimefanya Yoga early stages, najua fundisha la kutibu maradhi kadhaa kwa Yoga meditation, najua ninachoongelea. Labda kama unamaanisha tafakari lkn sio kuwa nje ya mwili na kuwa ktk ulimwengu mwingine. Wewe elezea jinsi atakavyokuwa mtu akiwa amekuwa nje ya mwili halafu wakuchagua kwa hiari yao wachague , maana hata imushirikina na uchawi watu wanaamua kujifunza .
Kwa fikra zako wewe haujawahi kufanya meditation zaidi ya kusikia tu , au ulifanya kwa kutegemea jambo fulani na kusikia stories tu , meditation ni safari unayofanya kwa uzoefu wako mwenyewe na sio kwa imani ,ungekua angalau umefanya usingefikiri ukivyofikiri .

Jinsi meditation ilivyo moja kwa moja inakukataa kwamba wewe haujui hata meditation ni nini🤔
 
Ndugu min me kwa miaka 11 ya kufanya medttn, tusaidie kujua faida zake kiuhalisia mkuu.
 
Haya ngoja nikuache uendele kuaminisha kuwa hukufundishwa ulifanya tu mwenyewe , yaani imekutokea from nowhere. I beg you STOP IT. ACHA
 
Mkuu which demon possessed you, how were you acting after being attacked n how was it removed???
 
Ndugu min me kwa miaka 11 ya kufanya medttn, tusaidie kujua faida zake kiuhalisia mkuu.
Meditation ni wewe mwenyewe utulivu wako na mwili wako na uzoefu wako , mimi sina chakuongeza .
 
Juzi kati hapa najaribu kufanya hiyo nikasikia mlango bro mzigo wetu huu hapa na niichukue ya usafiri kabisa

Meditation nikamwambia hebu ngoja kwanza hela itanipa utulivu zaidi wa kukuelewa
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom